Siyo siri kwa sasa hivi, kiwango cha uelewa na kufikiri kwa mantiki kwa viongozi wetu kimepungua sana miaka ya karibuni.
Sioni kiongozi THINKER, na mwenye uwezo wa kuufikiria umma wa kawaida...
Ndugu zangu Watanzania,
Filimbi imepulizwa Rasmi kuanza Mchakato wa Kujaza nafasi ya Ubunge katika jimbo la Ismani Iliyoachwa Wazi na Marehemu William Lukuvi Aliyefariki Dunia Wiki Chache...
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, ametoa onyo kali kwa baadhi ya wananchi na wanasiasa wanaochochea chuki dhidi ya vyombo vya ulinzi na usalama nchini, akitaja...
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, amekabidhiwa uenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa kipindi cha mwaka mmoja, akichukua nafasi hiyo kutoka CHADEMA baada ya chama hicho...
Serikali imepokea rasmi hoja ya ajira za muda (part-time) kwa Vijana iliyowasilishwa na Mbunge wa Kisarawe, Dkt, Selemani Jafo, na kuanza mchakato wa kuichakata ili kubaini namna bora ya...
Wafanyabiashara katika Stendi ya Kaloleni, iliyopo Kata ya Mji Mpya, Manispaa ya Morogoro, wamelazimika kufunga baadhi ya Maduka yao wakilalamikia kupungua kwa Wateja, hali inayotokana na daladala...
Kufunga Ziwa Tanganyika sio suala geni kwa nchi zinazomiliki sehemu ya Ziwa ambazo ni Tanzania, DRC, Burundi na Zambia. Huwa ni kuanzia May - August hizi nchi hufunga ziwa.
Faida zake kuu ni...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Facebook, Taji Liundi amechapisha kuhusu muenedno wa hoja za Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kuonekana kulenga kuwashusha hadhi wananchi...
Wiki iliyopita kulikuwa na mkutano wa kukutanisha washika dau wa Benki ya dunia na mfuko wa kimataifa wa fedha.
Lakini kupitia hapo Serikali ya Tanzania ilipata wasaa wa kukutana na wawakilishi...
Italifaa vipi taifa letu kuwa na maridhiano na Lissu akawa nje bila kuwa na katiba mpya?
Tunapaswq kuwa na katiba ambayo Rais akitumia vobaya madaraka yake kwa manufaa yake,. rafiki zake na ndugu...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, huo ndio mtazamo wangu na pia ni ushauri wangu kwa chama iwapo Tundu Lissu ataachiwa kutoka gerezani.
Tundu Lissu akiwa gerzani shida, akiwa nje shida...
Hivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile...
Nchi inahitaji checks & balances kutoka kwa wapinzani makini. Kundi la wanaCHADEMA lilioenda CHAUMMA lilifanya hiyo kazi kwa weledi mkubwa.
CHADEMA ya enzi za Mbowe ilikuwa inafanya shughuli za...
Hii ilikua jana , huyu Polisi alizikusanya Bajaji na kuchukua Rushwa ya kati ya 3000 hadi 5000 kwa Bajaji, Takribani Bajaji 6 wakati huo zilikua zimekamatwa hapo
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa Vijijini kimetangaza rasmi kuanza kwa zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Ismani, kufuatia kifo cha...
Ndugu zangu Watanzania,
Huu hapa ni ujumbe wa shukurani kutoka kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania kwenda kwa chama cha madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na...
Huwa najiuliza sana sipati jibu
1. Sijui kwanini sio verified member wa JF.
2. Sijui huu woga umetokea wapi?
3. Naamini anatumia I'd ambayo not verified. Kwanini atumie I'd iliojificha?
Mbona dk...
Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo amesema ana matumaini makubwa na Tume ya Jaji Chande inayochunguza Matukio ya Vurugu wakati na NA baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
CHUNGUZ Imani na...