Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika akiongea katika mdahalo uliofanyika kidigital kupitia mtandao wa Zoom mapema leo.
2 Reactions
7 Replies
211 Views
Rais Samia kushiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa leo Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe - Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/NZ57idJKHwQ?si=S2Y-6Mx9OoOrpMT6 Uzinduzi...
5 Reactions
277 Replies
14K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanganyika, John Heche, amesema leo saa nane mchana watatuma ujumbe kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari, akisisitiza kuwa nchi inahitaji uongozi thabiti huku...
18 Reactions
71 Replies
3K Views
Watu waliouwawa Oct 29 sio wale waliochoma moto vitu, hili suala la kusingizia walichoma vitu ni la kupumbaza tu, kwanza kuchoma vitu adhabu sii kifo. Adhabu ya kuchoma vitu adhabu sii kifo...
5 Reactions
8 Replies
227 Views
Mtangazaji machachari wa kituo cha runinga cha Clouds Media Sam Sasali akimuhoji Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika Mdahalo wa The Cafe Talk...
12 Reactions
66 Replies
4K Views
Unajua hata kama unanufaika na mfumo basi tambua tu kwamba Kuna maisha Duniani na hupita na kufuatiwa na nyumba ya milele katika usingizi wa umauti. Kweli unaandaa press kwa Kodi za Wananchi...
8 Reactions
11 Replies
659 Views
1. CDF 2. IGP
6 Reactions
12 Replies
297 Views
Maelezo yake yalijaa vitisho mwanzo mwisho. Pia alionekana kulazimisha watanzania waamini kuwa bandari inapata faida baada ya kununuliwa na DP World. Hiyo faida ya bandari siyo ya watanzania, ni...
22 Reactions
49 Replies
3K Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Bajeti ya Serikali ya 2025/26 itakayosomwa kesho Juni 12, 2025 ni bajeti ya uchaguzi kwa sababu Serikali imeanza safari ya kugharamia uchaguzi wake...
8 Reactions
76 Replies
4K Views
Pia anatajwa kama kiongozi wa UVCCM kata ya Kindai, Singida. Ushahidi huu hapa Je ni nani anayemtuma na anataka nini?
14 Reactions
74 Replies
3K Views
Gazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya. Britanicca
41 Reactions
154 Replies
8K Views
Angalizo: Mods Msiunganishe Huu Uzi . Kutoka kwenye Bajeti ya Tanzania 2025/26 ya Shilingi Trilioni 56.4 ikiwa ni ongezeko la makadirip ya awali ya Trilioni 55. Uchambuzi wake Kwa muktadha wa...
8 Reactions
95 Replies
3K Views
Hii naomba muichukue kama ilivyo kwani ni swala la muda tu. Itakuwa ni kama vile Lissu alipoenda kusalimiwa pale Nairobi baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la Farao wa wakati ule. Muda utaongea.
6 Reactions
7 Replies
225 Views
Salaam Wakuu! Mwenye CV ya huyu Mtanzania mwenzetu, tafadhali aiweke hapa.
13 Reactions
62 Replies
6K Views
Waziri wa fedha wakati akiwasilisha bajeti ya taifa amewataka wananchi kuilinda amani na wasikubali mksingi ya taifa ikatikiswa kwani mataifa yaliyofanya mazaha na jambo hilo iliingia kwneye...
2 Reactions
25 Replies
782 Views
Katika maisha yangu yote ya kusoma sayansi ya biologia, hakuna topic ambayao mpaka sasa nimeshindwa kuielewa kama EVOLUTION. Hii ndio topic inayojaribu kuaminisha watu kuwa ulimwengu na viumbe...
16 Reactions
35 Replies
2K Views
Hili liwe onyo kwa Wajinga wenzao kote tunakopita, ukijaa kwenye mfumo wetu utapigwa. Chadema inataka Amani lakini haitavumilia ujinga wa yeyote yule.
44 Reactions
120 Replies
7K Views
Kampeni hiyo imezimika kama moto wa mabua mitandaoni, field na ground baada ya wanainchi kuipuuza kizalendo zaidi. Hali hiyo imekuja baada ya gen z wa Kenya kuacha tena kusambaza hiyo ujinga...
4 Reactions
103 Replies
3K Views
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu...
7 Reactions
119 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…