Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Wakuu Mtakumbuka baada ya prof. Kabudi Palamagamba kupata teuzi ya kuwa waziri wa katiba na sheria hapa nchini alianza kwa kasi kubwa na ya ajabu, waswahili wengi tulimuunga mkono na tukawa na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Tanzania imekuwa ikishambuliwa na vyombo vya habari vya kimataifa kuhusu mambo mbalimbali kisiasa,kijamii na kiuchumi kwa maoni yangu vyombo hivyo ni mawakala wa mataifa makubwa na makundi...
6 Reactions
88 Replies
6K Views
Hivi wanaojiunga na CCM ni kutoka CHADEMA peke yake watu wa kutoka vyama vingine hakuna. Ama hii ni dalili kwamba CCM inatishika na CHADEMA na ndiyo maana kwenye mikutano yao wanaona ni fahari...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari ya leo wakuu. Mheshimiwa Zitto Kabwe azidi kumuandama mheshimiwa Rais kua anawahadaa wanachi kwamba miradi anayosema itagharamiwa na fedha za ndani ni uongo mtupu. Mfano Zitto anasema kua...
11 Reactions
127 Replies
11K Views
Lengo la kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini ni kusikia kauli za upande wa pili za ukosoaji ili serikali ijisahihishe na itekeleze wajibu wake inavyopaswa ili ipate Imani ya wananchi...
20 Reactions
48 Replies
4K Views
  • Redirect
Kuna tetesi kuwa Dr. Luis Shika aliyetaka kununua nyumba za Lugumi ana matatizo ya akili. Ni vizuri Jeshi la Polisi kumfanyia vipimo katika uchunguzi wao. Huyu Bwana amesoma mno hadi karukwa na...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
My Take Kigwangala movie yake kama ya Bashite na wauza madawa ya kulevya. Huyu anaweza kuwa waziri wa hovyo kuliko waliowahi kupita. Bora hata waliopita walipiga hela. Huyu ataondoka na lundo la...
14 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nimemsikiliza kwa makini sana Hussein Bashe kwa uchambuzi mzuri alioufanya kuhusu trend ya uchumi hapa nchini, inasikitisha sana tena sana. sasa nikajiuliza Hivi ingekuwaje maneno haya angeongea...
15 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Gazeti la mtanzania limezungumza na Dr slaa ambaye kwa sasa anafanya kazi kama afisa mwandamizi katika supermarket huko nchini Canada! Dr slaa pia kaeleza kuwa ili uishi canada lazima ufanye kazi...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Na Mjukuu wa Njelekela MASWALI KWAKO. 1- Hivi kwenye ile Orodha ya Mafisadi Papa [List of shame] jina la Lowassa ililiwekwa namba ngapi vile? 2-Hivi unakumbuka kwamba ulitwambia wezi wa kuku...
0 Reactions
Replies
Views
Ndugu wana JF wenzangu, kutokana na UKAWA kumwalika Lowassa kuungana nao naye kufanya hivyo kupitia CHADEMA imenipa swali moja muhimu ambalo pengine tunaweza kulijadili Pamoja. Swali lenyewe ni...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Wakati Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA), akitarajiwa kifanyiwa operesheni ya 15 wiki hii, taarifa mpya ambazo gazeti hili limezipata zinadai kuwa Mbunge huyo tayari ameanza...
20 Reactions
251 Replies
29K Views
  • Redirect
KESI 17,959 za makosa ya simu na mitandao ya kijamii zimeripotiwa tangu Januari 2015 hadi Juni 2017. Aidha, kesi 7, 889 ndizo zilizopelekwa mahakamani mwaka 2016. Hayo yamebainishwa na Mkuu...
0 Reactions
Replies
Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Mawaziri na Naibu Mawaziri wajiepushe na utoaji wa matamko yasiyotekelezeka ili kuepuka mikanganyiko Serikali. Ametoa kauli hiyo jana jioni wakati akifungua...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Zuberi Mwombeji awakamate maafisa wanne na kuhakikisha wanapelekwa Masasi chini ya ulinzi...
3 Reactions
55 Replies
7K Views
NA. Juma George Kumekuwa na tabia za ajabu za baadhi ya VIONGOZI wa kisiasa kuona wanaishi ulimwengu wao wa pekee kuliko watu wengine nchini. Tabia hii imeshika kasi na sasa wanakusudia kutugawa...
22 Reactions
125 Replies
11K Views
Makampuni makubwa ya kigeni kuwekeza Kilwa Masoko Makampuni ya Ferrostaal kutoka Ujerumani na Haldor Topsoe kutoka Denmark zimepata usajili kwa ajili ya kuzalisha mbolea aina ya Yurea Kilwa mkoani...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Afrika hupoteza dola bilioni 200 kila mwaka kutokana na kuibiwa na makampuni makubwa ya Ulaya na Marekani kutuibia kwa njia ya mikataba na magendo. Haya yamefichuliwa na nyaraka maarufu za...
0 Reactions
1 Replies
672 Views
  • Redirect
Habari zenu jukwaani. Dr slaa anafanya kazi supermarket kama ofisa mauzo wa vyombo vya nyumbani huko Canada. Anasema ili uishi huko ni lazima kufanya kazi. Adai hata watumishi wa serikali nchini...
0 Reactions
Replies
Views
Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine kwa mchango wake mkubwa katika kutokomeza magonjwa ya Nchi za kitropic. Kabla...
36 Reactions
151 Replies
15K Views
Back
Top Bottom