Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Katika kuonesha hilo mnaloliita maridhiano, lazima kwanza kutikiri watu waliuawa na risasi za moto na nani? Swali hilo likijibiwa ndiyo hapo tutahitaji tume huru ya uchunguzi ambayo haihusiki na...
3 Reactions
3 Replies
205 Views
Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali yetu tukufu chini ya amiri jeshi wetu MKuu Daktari Samia Suluhu Hassan kwa kusimam imara katika kuilinda amani ya nchi hii...
1 Reactions
113 Replies
2K Views
Kwenu kilaza mkuu AG na vilaza wengine mliojazana kwenye Serikali isiyo halali ya Samia na CCM. Nyaraka zilizowasilishwa ICC zimeeleza wazi Serikali ya Samia na CCM inafanya enforced dissaperance...
3 Reactions
9 Replies
341 Views
Kifungu cha 89 2(a) cha kanuni ya adhabu kimeweka wazi kabisa kuwa kutishia kuua ni kosa na mtu anapaswa kufungwa mwaka mmoja. Mbona huyu sheikh amepewa kadi ya njano na huku amefanya makosa...
2 Reactions
12 Replies
542 Views
Samia anaongea na wazee kwamba wazee ndio wamshauri yeye au yeye ndio anaenda kushauri wazee.
0 Reactions
15 Replies
304 Views
Tanzania bwana, viongozi kila siku wanaimba nchi yetu kuna uhuruwa vyombo vya habari na hakuna gazeti la Bongo lililoandika kuhusu aliyoongea fr Dkt. Kitima jana na Msigwa kila siku anakesha...
3 Reactions
17 Replies
443 Views
Hamjambo wote! 1. Ndugu zangu Watanzania, mnakumbuka miezi ya nyuma kidogo niliandika nyuzi takribani tatu mfululizo nikiisihi serikali kumiachia Tundu Antipas Lisu. 2. Nafikiri wengi wenu...
13 Reactions
42 Replies
1K Views
Wakuu, Watu wote wanaopinga kile kilichosemwa na na Father ni maqdui wakubwa wa nchi wenye nia ya kuficha uchafu wote uliofanywa na serikali. Yaani kwa lugha rahisi unaweza ukasema wanaopinga...
6 Reactions
5 Replies
235 Views
Kwa kweli sitaongea mengi kuhusu jambo hili, ila itoshe kusema kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwenye bahati sana katika maisha yake na historia yake inaonesha nafasi nyingi kubwa za kiuongozi...
1 Reactions
9 Replies
499 Views
1. Tume ya Nyalali 2. Tume ya Bomani ya Ardhi 3. LRCT – Mapendekezo ya Katiba 4. Tume ya Haki za Binadamu – Kisanga 5. Tume ya Sheria Kandamizi – Kisanga 6. Tume ya Uchaguzi – Ramadhani...
0 Reactions
5 Replies
212 Views
TEC na watu wote wapumbavu walitaka jeshi la polisi liache vijana huru kuanzia ile tarehe 29 September mpaka pale ambapo ofisi zote za umma Dar es salaam zingekuwa majivu. Walitaka polisi...
4 Reactions
15 Replies
480 Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, amesema kikao chake na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, kilichofanyika...
25 Reactions
63 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa...
10 Reactions
142 Replies
4K Views
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani...
2 Reactions
1 Replies
307 Views
"Unajua ukitenda haki amani itakuwepo, utake usitake. Lakini usipotenda haki amani hutaipata. Haki ya namna gani? Haki ni vitu vile vya msingi ambavyo binadamu yeyote angependa kupata lakini sio...
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Damage control ni neno linalotumika kumaanisha juhudi zinazofanywa ili kupunguza madhara, kudhibiti hali mbaya, au kuokoa taswira/nafasi baada ya jambo baya kutokea. Baada ya mauaji ya halaiki...
8 Reactions
14 Replies
622 Views
Wimbo maalum kwa ajili ya wasanii wetu wana mambo mengi ya kujifunza kutokana na tukio lilitokea.
1 Reactions
0 Replies
154 Views
Jana mida ya saa tisa hivi mchana. Wapasua matofali wetu wakawa wanafanya doria na lihelikopta lao moja kuukuu limechoka choka hivi. Wanapita kwa chini chini mpaka wanaonekana makomandoo wao...
65 Reactions
97 Replies
5K Views
Tanzania haikuwa na reform wala uchaguzi. No reform no election kwa namna hivyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Mliokuwa mnauliza itatekelezwa vipi sasa jibu ni Watanzania wenyewe...
2 Reactions
3 Replies
294 Views
DeletedMember281674
Leo tarehe 02 December nimeota Viongozi watatu wakijiuzulu nyadhifa zao Pili, kuhusu utekaji na mauaji hili nimeota halitatolewa maelezo. Maana yake Hana taarifa kuhusiana na hilo, hajui kama...
3 Reactions
11 Replies
446 Views
Back
Top Bottom