Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. "Oktoba 29 tulitumia nguvu kubwa Kwa sababu ya Vurugu, mlitaka tutumie nguvu ndogo ili iwaje" 2. "Waliohamasisha maandamano Oktoba 29 ni Kwa sababu ya shida za maisha, na walifanya hivyo ili...
6 Reactions
64 Replies
2K Views
Wanasema kaa kimya kuficha ujinga wako ila kwa hawa masheikh naona wameamua kuanika ujinga wao, Wanasema kwamba wakatoliki wanataka nafasi zote kubwa Serikalini ndio maana walimfanyia figisu...
2 Reactions
10 Replies
326 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano uliofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)...
0 Reactions
2 Replies
292 Views
Hayo mambo ya Kuandamana Kwa mabango na wahuni wanakuja na machine za moto kuuwa Watanganyika, hilo halipo na wazalendo hawataliruhusu Hakuna haja ya kusubiria 9D Muda wa Maneno imekwisha Sasa...
17 Reactions
35 Replies
2K Views
Ustadhi huyu anasema wakatoliki wao wanataka vyeo vikubwa viwe vya wakatoliki, hata Baraza la Mawaziri lililoteuliwa na Rais Samia, waislam ni wachache kama robo, baraza limejaa wakristo ambao...
2 Reactions
5 Replies
262 Views
Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohammed Chande Othman ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu(Oktoba 29, 2025) leo...
5 Reactions
108 Replies
3K Views
GT Leo tarehe 1 Dec watu wanashusha nodo kama hawana akili nzuri yote haya ni kufanya counter attack ya hotuba ya kesho. Nadhani waandaaji wa hotuba ya Samia wanakazi ya kufanya maana matamko ni...
44 Reactions
55 Replies
3K Views
Mama Samia tatizo sio Tanzania ni wewe binafsi! kesi ni zako , lawama ni kwako sio nchi!!. Serikali yako ndiyo inateka, imeuwa vijana, ina ufisadi mkubwa, inaiba kura kwa Watanzania. Usilaumu...
7 Reactions
5 Replies
274 Views
Shuhudia Wananchi Jijini Dar es salaam wakipinga kwa umoja kushiriki maandamano yanayotajwa kupangwa Disemba 9 mwaka huu na kama inavyosambazwa hapa mitandaoni ambapo tunashuhudia viasharia...
1 Reactions
7 Replies
327 Views
Mimi siishi kwa misisimko. Nina akili sana, kwahiyo sihitaji uchambuzi wenu. Samia ni Rais bora sana ingawa alikuwa weak ila kadri zinavyokwenda ameimarika sana. Ule udhaifu ulisababishwa na...
1 Reactions
16 Replies
405 Views
Rais Samia amesema vurugu zilizotokea Desemba 29 na kuendelea siyo desturi wala utamaduni wa Watanzania. Ameongea kuwa inatia uchungu kuona wachache walioratibu fujo zile wakitaka watanzania...
2 Reactions
9 Replies
344 Views
Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo...
13 Reactions
148 Replies
4K Views
1. Maridhiano 2. Ahadi ya Katiba Mpya. 3. Hadaa na ulaghai mwingi anaodhani utawafanya waTanzania wavumilie utawala wake mbovu Asichoweza kuzungumzia: 1. Mauaji ya waTanzania 2. kukiri na...
19 Reactions
22 Replies
710 Views
PRESS RELEASE ‼️UTARATIBU WA SERIKALI YA MPITO‼️ Tumetafakari kwa umakini na tumeazimia ✊🏽 👉🏽 Sisi Wananchi wa Tanzania tunasisitiza kwamba hakukuwa na uchaguzi uliofanyika nchini Tanzania...
61 Reactions
107 Replies
4K Views
Mjibu kwa ufasaha, one point after another. Bila jaziba, dharau wala mipasho kama alivyotumia yeye. Consult wataalamu wa kila uwanja wa weledi. BILA KUCHELEWA as the saying goes: Strike the Iron...
3 Reactions
3 Replies
193 Views
"Tulifanya kikao hapa tuliwashauri serikali tarehe 30 mwezi wa nne usiku wake ambapo waliamua kuniua mimi, ndiyo tulipitisha yale maazimio na uzuri yamekabidhiwa serikalini mwezi wa nane tarehe...
36 Reactions
76 Replies
3K Views
  • Closed
Wanaharakati uchwara waliwajaza mihemko vijana kwamba waende kufanya fujo, mwishowe wameishia kupoteza maisha na wakina maria wamebaki wakila maisha, ewe kijana maisha yako ni ya muhimu sana kwa...
2 Reactions
53 Replies
804 Views
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia taifa katika Mkutano na wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 2, 2025 amesema vijana wengi waliandamana bila kujua haki...
3 Reactions
28 Replies
793 Views
Back
Top Bottom