Linaiva jikoni linasubiri kupakuliwa tuu! Hakuna uhuru wa kuua raia wako namna ile tena raia asiye hata na panga halafu usimame kujifanya oooh! Hii ni nchi huru wasitupangie nyokoooo , utatolewa...
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame(CCM) amesema kuwa sakasaka lililotokea wakati wa uchaguzi mkuu Oktoba 29 na siku zilizofuata, kuna watu walikuwa wanatembea na mabegi...
Kipande cha video ambacho kinaonesha wanaodhaniwa kuwa ni waumini wa kanisa katoliki wakiwa kwenye foleni ya kuchukua fedha.
Soma Pia: Waumini 120 wa kanisa 'katoliki' walivalia njuga suala la...
Wakuu
Mama yake na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba (Humphrey Polepole) ameomba arudishiwe mwanawe akiwa mzima na kama lolote baya litamkuta huko alipo basi atajua cha kufanya.
Mama...
https://youtu.be/vyZooTgyRao?si=eR2nc0nkKUx65ioe
Huyu jamaa anaitwa Vusi ThembeKwayo. Ni m - South Africa.
Recently, alikuja kutembelea Tanzania kwa shughuli zake.
Hata huko nyuma, amekuwa...
Imepita zaidi ya miezi mitatu tangu aliyekuwa “balozi” wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM atoweke. Tukio hili, kwa wengi, lilikuwa tone la mwisho kukata...
Mmoja wa watangazaji kutoka redio ya kenya (radio 47) amesema hapa Tanzania hadi watoto wammemktaa Rais Samia Suluhu Hassan. Je, unakubaliana na mtangazaji huyu au la?.
Duru za kisiasa zimeweka wazi kuwa Maduro amesalitiwa na watu wake wa karibu. Maduro amefuatiliwa na mashushu wa Marekani kwa muda mrefu kiasi kwamba wakajua hadi siri zake za ndani . Inasemekana...
Wanaukumbi.
Tangu mwaka 1957, TEC imekuwa ikiishi kwenye kivuli cha nguvu na heshima. Machoni pa umma, ni taasisi ya kiroho inayohubiri maadili na utulivu wa taifa.
Lakini ndani ya kuta zake...
Nyomi la watanzania wameonekana leo Tarime wakiwa wameandamana na jeneza wakiimba Samia muuaji baada ya mwenzao kuuawa.
Aidha kumekuwepo na mwendelezo wa mauaji na utekaji nchini Tanzania wa...
Wanaua mmoja wanaongezeka maelfu ya wananchi wanazidi kuchochea moto siku yao ya mwisho imefika.
Kutekwa na kuuawa kwa watanzania kote nchini hakujasaidia bali kumeongeza mzozo na upinzani zaidi...
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗔𝗦𝗛𝗜𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗢 𝗖𝗛𝗔 𝗕𝗔𝗥𝗔𝗭𝗔 𝗟𝗔 𝗔𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗦𝗔𝗟𝗔𝗠𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗔𝗨, 𝗔𝗨𝗡𝗚𝗔 𝗠𝗞𝗢𝗡𝗢 𝗝𝗜𝗧𝗜𝗛𝗔𝗗𝗔 𝗭𝗔 𝗔𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗦𝗢𝗠𝗔𝗟𝗜𝗔
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit...
Matukio ya utekaji, ufiraji, utesaji, kuua na mauaji ya Kimbari Oktoba 29 na kuendelea, yameshaanza kuonesha athari zake kwa wstawala ndani na nje ya nchi.
Watamzania wameendelea kuikataa...
Zaidi ya waumini 100 wa Kanisa Katoliki wamekabidhi Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania barua rasmi ya malalamiko kwa Papa dhidi ya Askofu Mkuu wa Dar es Salaam, Jude Thaddeus Ruwa’ichi, na Katibu...
Nimekuwa nikifuatilia mgogoro wa RPC Mponjoli Mwabulambo na ndugu Msukuma nikakumbuka Miaka Miwili iliyopita nliishi Jijini Mbeya na nikafanikiwa kukaa mpaka Tukuyu kikazi kwa Mwaka Mzima...
Tahakiki ya Tamko la Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, kwa Wahariri, 25 Novemba 2025: Mazingira, Maudhui, Mapengo, Tathmini na Mapendekezo
1. UTANGULIZI KUHUSU TAMKO
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu...
Leo jioni Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amepost propaganda mfu wanazozitengeneza huko CCM kuwakebehi na kuwajengea picha mbaya Wanamageuzi wa kweli wa Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema eti...
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha...