Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Hili ni bandiko la pongezi kwa jeshi letu la polisi. Wewe kama ni mmoja wa wale wenye allergy na pongezi zozote kwa awamu hii ya tano, naomba nikushauri, uishie hapa ili tusiharibiane...
28 Reactions
178 Replies
19K Views
Hii tabia imekithiri inatutesa sana wazazi maana unakuta mtoto ni STD 4 au STD 7 shule wanajipangia utaratibu wa kuwafundisha mpaka JUMAMOSI hii inatutesa sana wazazi maana heka heka utafikiti na...
13 Reactions
47 Replies
787 Views
Mmoja wa waumini wanaokadiriwa kufikia 100 waliokwenda kuwashitaki Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa’ichi, O.F.M. Cap., pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu...
22 Reactions
79 Replies
2K Views
Hivi karibuni, mchambuzi wa masuala ya kibiashara na mikakati ya uwekezaji Vusi Thembekwayo ametoa uchambuzi mzito kuhusu hali ya Tanzania baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Vusi, ambaye amekuwa...
3 Reactions
3 Replies
278 Views
Taarifa zinazosambaa kama moto wa nyikani zinaeleza kwamba Majina ya Wakatoliki feki yameanza kuvuja., Yumo Kidawa wa Mwananyala Komakoma akiwa kavalia kijora cha njano (kumbuka kwamba Wakatoliki...
26 Reactions
61 Replies
2K Views
madola 5 ya kijeshi, yakiwa na maelezo ya mwaka yalipoanza kutawala kwa nguvu na mwaka yalipoporomoka: 1. Dola la Roma (Roman Empire) Mwanzo wa utawala wenye nguvu: 27 KK (chini ya Augustus...
3 Reactions
16 Replies
418 Views
Adolf Hitler alizaliwa na kubatizwa katika Kanisa Katoliki la Roma. Alizaliwa mwaka 1889 katika Austria, nchi iliyokuwa na Wakatoliki wengi, na katika ujana wake alihesabiwa rasmi kama Mkatoliki...
3 Reactions
10 Replies
222 Views
Napata picha mbaya sana ya hii chuki. Haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru. Leo hii askari polisi au MwanaCCM akipata ajali watu wanafurahia afe. Akifariki mwanaCCM au chawa wa CCM watu...
5 Reactions
9 Replies
315 Views
GT Wameturahisishia sana. Tutaanzia.hapo airport kudai miili ya vijana wetu waliouawa na samia. Hatuwezi kukaa kimya kwa drama za kipuuzi. samia must go
6 Reactions
5 Replies
152 Views
Wanatumia x ili kupasha habari watu kimakosa.
3 Reactions
7 Replies
223 Views
Balozi Emmanuel John Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuandikia ujumbe huu nikikuomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa uvunje ukimya ulisaidie taifa. Nchi yetu...
6 Reactions
29 Replies
819 Views
Msanii Izzo Bizness, ameachia wimbo wake mpya 'Tusijisahau' akiwataka wasanii hususani walioshiriki katika kampeni za kuinadi Serikali KATILI ya CCM, wasijisahau. Wasanii walioamua kusimama na...
9 Reactions
3 Replies
232 Views
GAZETI la JAMHURI lililokuwa na mwendelezo wa Mahojiano maalum na Mzee wa Warioba yaliyofanywa na Mhariri Manyerere Jackton bahati mbaya leo nimelitafuta kwenye meza za magazeti sijafanikiwa...
6 Reactions
5 Replies
391 Views
Katika historia ya Tanzania, uongozi umejengwa juu ya misingi ya amani, umoja wa kitaifa, na heshima ya mamlaka ya dola. Hata hivyo, kama ilivyo kwa mataifa mengine, kauli ya “Mene, Mene, Tekeli...
2 Reactions
0 Replies
195 Views
Habib Mchange katika siku za karibuni ametajwa sana kuratibu na kugharamia mikutano ya waandishi wa habari inayolenga kuwashambulia kwa kashfa viongozi wa Dini ya Kikristo nchini Tanzania...
4 Reactions
13 Replies
362 Views
Katika kipindi cha One Against One kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na mwanahabari mwandamizi Habibu Mchange, Mchange amesema kuwa mwenyekiti wa Chadema na makamu wake John Heche ndio...
2 Reactions
33 Replies
946 Views
  • Redirect
Wale waliojiita ni wakatoriki kweli ni marofa na njaa wakiitwa hivi wasikasirike wamekuwa vichekesho hawatorudia tena baada ya walicho kipata
0 Reactions
Replies
Views
Utabiri CCM itandoka kabla ya TEC kwasababu mmoja ni ya wezi nyingine ni ya jamii na ukweli. Wovu haujawahi kushinda HAKI. Iko siku tutakuwa na TEC lakini Chama Cha Mapinduzi kitakuwa na jina...
4 Reactions
6 Replies
259 Views
GT Habari ndiyo hiyo huko chamani kwa sasa ni mwendo wa kuwindana tu. Hamuwezi kuelewa kwa sasa ila kadri siku zinavyosonga mtaelewa. Ndo mtajua kwa nini Mpango aliachia umakamu wa Rais pia Samia...
6 Reactions
22 Replies
856 Views
Kama tuna ushahidi kuwa miundombinu yetu na ya watu binafsi iliharibiwa kwenye vurugu za Oktoba 29 lazima walioiharibu na waliopanga uharibifu wakamatwe na kuadhibiwa mara moja ili iwe fundisho...
-2 Reactions
105 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…