Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakazi wa Kata ya Ihahi, Wilaya ya Mbarali, wameishukuru Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), kwa hatua ya kujenga miundombinu ya Umwagiliaji ikiwemo mifereji kupitisha maji...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus Chipando, maarufu Baba Levo aagiza Halmashauri kuacha kuanzisha kodi mpya kwani “Zinawaumiza Wananchi” bali watengeneze vyanzo vipya vya mapato ambapo...
1 Reactions
13 Replies
503 Views
Haya ndiyo maneno ambayo vijana wengi wanashindwa kuyameza kwa sababu yana ladha kali kuliko ukoko wa ugali wa Mpangala. Ukisusa JKT, mfumo unacheka. Kicheko cha mfumo hakisikiki masikioni...
0 Reactions
1 Replies
212 Views
1.Wazee wanaoishi kwa kuombaomba mitaani waliotelekezwa na ustawi wa jamii 2.Waliodhurumiwa pesa zao baada ya kufanya biashara na serikali 3.Waliofukuzwa kazi serikalini kwa uonevu bila sababu za...
0 Reactions
3 Replies
230 Views
Kwanini viongozi wengi wa Kiafrika ikiwemo nchi yetu ya Tanzania hukengeuka pale wanapopata nafasi ya kuongoza nchi zao? Wasalaam Wakuu! Ni swali linaloumiza kichwa na kutufanya tutafakari kwa...
1 Reactions
1 Replies
232 Views
Nimeshanga sana kusikia kuwa Mch Hananja ana mwanae anayesoma Udsm. Alipigwa risasi Mgongoni na ana jeraha kubwa. Huko nyuma alimtakia Askofu Gwajima kuwa aache matusi madhabahuni. Kisa tu...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, amewatuliza wakazi wa mkoa huo kufuatia taarifa za madai ya njama za makundi kutaka kufanya vurugu kama zile za kipindi cha uchaguzi. Amesema wananchi...
1 Reactions
3 Replies
158 Views
HALI YA KISIASA NA HAKI ZA BINADAMU BAADA YA UCHAGUZI TANZANIA Ghana imeona kwa wasiwasi mkubwa hali ya kisiasa na haki za binadamu inayoendelea kwa kasi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
12 Reactions
33 Replies
1K Views
Kesi ya utakatishaji wa fedha kiasi cha Shilingi milioni Tsh 138.5 dhidi ya mwanaharakati maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Mange Kimambi, ambaye anaishi Marekani inatarajiwa kutajwa leo Desemba...
2 Reactions
11 Replies
679 Views
Watangazaji wa Radio 47 ya Kenya Mbaruk Mwalimu na Billy Miya wakiongelea mambo yanayoendelea kwenye siasa za Tanzania.
3 Reactions
7 Replies
381 Views
Sikusikiliza hotuba nzima ya jana kwa hiyo kila ninapopata vipande vipya napata mshangao mpya. Katika hotuba yake ya jana, Samia aliwakosoa watu wanaoshangaa na wanaosema 98% alizopata hawezi...
12 Reactions
33 Replies
850 Views
Kukubali kushindwa ni hatua moja ya kuwa mshindi wa kweli. Ni njia ya kujifunza, kukua, na kuona mambo ambayo zamani hukuweza kuyaona. Katika nchi hii, hakuna chama kikubwa na chenye historia...
2 Reactions
1 Replies
192 Views
  • Poll Poll
Inasikitisha media zote kuanzia Television stations, magazeti na online TV msiripoti Hata kifo kimoja kwa vurugu za uchaguzi? Al Jazeera wanatangaza watu zaidi ya 10,000 wameuliwa ila bongo...
21 Reactions
58 Replies
2K Views
Kila siku videos zinazotolewa kabatini zikionesha matendo ya kikatili ya askari polisi dhidi ya wananchi, napata wasiwasi kuwa haya maandamano yanayoratibiwa sio tu ya amani kama jinsi...
18 Reactions
43 Replies
1K Views
Wakati kukiwa na malalamiko ya wananchi na jumuiya ya kimataifa kuhusu hatua zilizochukuliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzima intaneti intaneti siku ya uchaguzi Oktoba...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
“Mara nyingi watoto wetu wa sasa wanafahamu mambo mengi, hiki ni kizazi cha teknolojia; si enzi za Mama Terry…tunapaswa tuzungumze nao na pia tuwasikilize, siyo mtu aongee halafu kesho au saa nane...
8 Reactions
20 Replies
769 Views
David Misime: Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania Jeshi la Polisi Tanzania linaendelea kutekeleza majukumu yake ya msingi ya kulinda maisha ya watu na mali zao sambamba na kuhakikisha hali ya...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Kwa kiburi kabisa, akiwa mbele ya Camera anasema kwa kujiamini kabisa eti nguvu ndogo ndo ipi? Kwa akili zake kabisa akaona yale ndo aongee mbele ya camera tena akiwa anarekodiwa? Kwa hiyo...
6 Reactions
36 Replies
640 Views
Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) na Mika Chavala @mikachavala ambao wanakabiliwa na mashtaka ya uhaini tayari wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa...
3 Reactions
13 Replies
742 Views
Naona CCM wanaendelea kukazia kwamba vijana tulilipwa na NGO's kufanya maandamano mbona hawasemi walipora uchaguzi na kuuwa wenzetu :FeelsWeirdMan: ------------ Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha...
1 Reactions
23 Replies
580 Views
Back
Top Bottom