Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Diwani wa kata ya Mchikichini Nurdin Bilal Juma, maarufu kama Shetta, ametangazwa rasmi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam leo Desemba 04, 2025, baada ya kupata ushindi katika kikao cha...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Baada ya kuona Watanganyika hatukutaki, baada ya kuona Dunia imekukataa naona usivyo na akili umeamua kupandikiza mbegu ya udini ili ututoe Watanganyika kwenye mstari. Usichokijua ni kwamba...
28 Reactions
57 Replies
1K Views
NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake...
7 Reactions
85 Replies
3K Views
Salaam! Ilitabiriwa tangu 2020 kwamba uchaguzi wa mwisho secular ni ule wa Lowassa vs Magu. Baada y hapo, kuanzia 2021 Hadi 2030 ni mkono wa chuma tu na kukimbizana. Move background ni...
8 Reactions
16 Replies
827 Views
MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC). Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba...
10 Reactions
151 Replies
4K Views
Mchungaji Hananja Aongea kwa uchungu mtoto wangu Anamajeraha Amejerihiwa NUSU AFE Kuweni na Utu. Ikumbukwe kuwa huyu mchungaji ndie aliefungua kampeni zao hapo Dar
13 Reactions
32 Replies
1K Views
Ni wazi sasa Tanzania tumeshaamua kufuata upepo wa mashariki kibiashara na kisiasa. Niko nchi fulani ya Asia nakutana na wachina wengi sana aisee wanaipenda sana Tanzania kuja kuwekeza hata hawana...
1 Reactions
11 Replies
260 Views
Jon mrema amefunga comments ktk Twitter ktk account yake. Kaandika mambo mengi lkn ukitaka kukoment amezuia. Hata wapinzani wa ccm wanafunga comments?
3 Reactions
14 Replies
453 Views
Kuna namna fulani TEC jana kupitia press conference ya Padre Kitima walicheza karata zao vizuri dhidi ya serikali, finally, wananchi wamesikia, CCM imesikia, Afrika imesikia na Dunia imesikia...
43 Reactions
85 Replies
3K Views
Kutoka kwa Fergus Kell wa Chatham House Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba yameibadilisha Tanzania. Ukandamizaji wa waandamanaji uliofanywa na vyombo vya usalama — licha ya serikali kukataa —...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Je Risasi gani itazuia Uhai na Uzima wa milele baada ya YESU KRISTO kurudi na kutufufua ??. YESU ni HAKI ,YESU ni Kweli ,YESU asema , aipendaye Nafasi yake ataipoteza , na Yeyote atakayetoa...
4 Reactions
19 Replies
428 Views
Nimeogopa sana! Nimeogopa kupita kiasi... Banda yote kushindikana sasa wanataka kutumia kete ya dini! Mungu atusaidie sana Walianza na figisu za kawaida Wakaja na siasa majitaka Wakaanza kurubuni...
57 Reactions
148 Replies
4K Views
Tofauti na TEC na CCT ambao wote kwa nyakati zote wanapokuwa na jambo la jumuiya huzungumzia 'WANANCHI' Tafsiri ya watu wote Wa imani zote Wa Kaliba zote Wa mutazamo yote Wa jinsia zote nk...
3 Reactions
12 Replies
361 Views
Utamaduni wa Tume kufanya kazi kwa siri haufai, hasa ikiwa inafanya kazi kuichunguza serikali Tume ya Jaji Chande kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, 2025 hadi November 3 , 2025 inapaswa kuwa wazi...
2 Reactions
25 Replies
727 Views
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano mkubwa wa Mabunge unaotarajiwa kufanyika kwa siku sita mkoani Arusha na kuhusisha Maspika...
0 Reactions
8 Replies
503 Views
Uongozi wa Kiislamu umejengwa juu ya hekima, usawa, subira, na uchamungu. Migogoro ya kijamii iwe ya kifamilia, kijiji, kiuchumi, au kiimani—inatakiwa kutatuliwa kwa njia zinazolingana na Qur’an...
0 Reactions
5 Replies
313 Views
Wakuu, nimeona niweke hili wazi kabisa kwa sababu mambo yanayojitokeza mitandaoni na mtaani si ya kubeza. 1. Kila mtu anapenda kuona mabadiliko na maendeleo, lakini hakuna kinachojengwa kwenye...
1 Reactions
4 Replies
199 Views
Wakili Peter Madeleka akizungumza na DW leo Novemba 4, 2025 ameeleza kuwa kesi ya Mange inayohusu utakatishaji fedha linalohusisha shilingi milioni 138.5 za Tanzania ni kinyume na sheria kwa maana...
1 Reactions
3 Replies
303 Views
Wakazi wa Kata ya Ihahi, Wilaya ya Mbarali, wameishukuru Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), kwa hatua ya kujenga miundombinu ya Umwagiliaji ikiwemo mifereji kupitisha maji...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Back
Top Bottom