Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh, wakati wa uzinduzi wa Hoteli ya Jaz Elite Aurora...
0 Reactions
18 Replies
945 Views
Hakuna ubishi. Samia Suluhu Hassan ni mmojawapo wa watawala wanaochukiwa ndani ya nje. Japo anao machawa wake wanaomtetea na kuwaona wanaomchukia kama wasaliti na wenye makosa kwa sababu wazijuazo...
4 Reactions
8 Replies
226 Views
Samia amewekwa na wananchi? Ibara ya 8 ya katiba ya JMT inawapa wananchi mamlaka ya kuweka watWala. Rais Samia alishakataliwa na Wananchi. Yupo madarakani kwa nguvu za jeshi na polisi.
1 Reactions
0 Replies
105 Views
Wapo wanaodhani Kanisa ni jengo tu. Historia inasema vinginevyo. Kanisa Katoliki si chama cha siasa, lakini likiguswa vibaya, huamsha nguvu ya wananchi kuliko risasi. Hebu tuangalie mifano ni...
12 Reactions
28 Replies
912 Views
Yohana Mbatizaji alisisitiza na kuhubiri juu ya Toba. Akawahimiza wayahudi kumsubiri mesiah Yaani Yesu. Kubwa kuluko yote alipinga maovu ya watawala na kuwaeleza ukweli juu ya uovu wao...
0 Reactions
3 Replies
128 Views
https://youtu.be/vnNAjzF05cY?si=5A3MnmDOll83sAOB Kumekucha.. Hukumu ya kumwaga damu ya raia wasio na hatia zaidi ya 10,000 kwa siku zisizozidi 4 tu (29/10 - 3/11/2025) iliyofanywa na Samia na...
48 Reactions
185 Replies
5K Views
Jamani hongereni na majukumu ya kifamilia. Nauliza tu, hivi tangu kuzaliwa kwa chama CCM kimetengeneza au kuzalisha maditekta wangapi mpaka sasa? Siku za usoni namwoona Daudi Bashite ataongeza...
0 Reactions
4 Replies
118 Views
Upinzani Tanzania ulale pema peponi. Hakuna tena matumaini ya kufufuka. Alisikika kiongozi wao akiomba jumuia za Kimataifa kuongoza nchi kwa serikali mseto ila CCM wasiwepo kwenye huo mseto...
0 Reactions
26 Replies
436 Views
Google map wamekwisha update Picha zao za satellites Hizi ni picha mbili za eneo moja ndani ya miezi kadhaa, Picha ya upande wa kushoto ni ramani mpya. Hili eneo la chini ni eneo katika msitu wa...
9 Reactions
55 Replies
2K Views
10 January 2026 MAZITO YAFAFANULIWA https://m.youtube.com/watch?v=sVw34Jl61eg Advocate Gaston Shundo Garubindi anajibu masuala mbalimbali ktk interview exclusive na Jambo TV yanayogusia ikiwemo...
4 Reactions
5 Replies
416 Views
Kwa nini ionekane ni kosa kwa Kanisa kukemea mauaji? Kwani nini
2 Reactions
3 Replies
270 Views
  • Redirect
https://www.indexoncensorship.org/2026/01/tanzanias-samia-suluhu-hassan-named-tyrant-of-the-year/
1 Reactions
Replies
Views
Wanabodi, Kwa maslahi ya Taifa, should we demand more transparency and the right to information kwenye teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?. Should we adopt the...
14 Reactions
88 Replies
5K Views
  • Closed
Taarifa za Hivi Punde, leo Januari 10, 2026 Clemence Mwandambo mkazi wa Mbeya aliyekamatwa tarehe 29.12.2025 amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Temeke Jana tarehe 9 Januari 2026 na Jeshi la Polisi...
2 Reactions
13 Replies
495 Views
Polisi kushikiria mwandambo bila kumpeleka mahakamani wala kumpa dhamana wala kujilikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki. Inakuwaje mtu anatekwa kituo cha polisi ? Kuna vitendo...
5 Reactions
7 Replies
239 Views
Mheshimiwa Esther Matiko huenda akatimkia CHAUMMA kuunga mkono juhudi za Mgombea Urais wa Chama hicho Salum Mwalimu.
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Hongera Mh waziri Mpya wa mambo ya ndani . Ila kuhusu ajira za Police ,boresheni msichukue watu ambao wana ufaulu hafifu. Hii inashusha heshima ya jeshi na kuonekana ni kimbilio la waliofeli...
2 Reactions
17 Replies
342 Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo ziko kwenye magazeti mawili, Gazeti la Nipashe la kila Jumapili na gazeti la Mwananchi la kila...
9 Reactions
59 Replies
4K Views
Wanabodi Mimi ni mwalimu wa somo linaloitwa karma humu jukwaani. Karma ni kuhukumiwa kwa mawazo yako, maneno yako na matendo yako, wazungu wanasema, what goes around, comes around. Nashauri...
27 Reactions
72 Replies
5K Views
Viongozi wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Josephat Isango- Mwenyekiti wa baraza la Vijana wa CHADEMA, Mkoa wa Singida, na Patrobas Paskali Katambi Mwenyekiti wa Chama wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…