Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo hii Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na muwakilishi wa Rais wa China XI JI PING ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya watu wa china ndugu WANG YI. Mambo muhimu...
1 Reactions
21 Replies
691 Views
Kama hatufuati katiba ni kajitabu tu, inamaana hakuna raisi, hakuna polisi wala hakuna nchi wala serikali kila mtu kivyake katiba ndio msingi. Watu wasio na akili waambieni katiba ndio msingi...
1 Reactions
5 Replies
186 Views
Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake...
1 Reactions
39 Replies
596 Views
  • Redirect
Ameandika John Heche kwenye akaunti yake ya mtandao wa Instagram leo Januari 12, 2025 "Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwasasa kimegeuka kuwa kama shule ya msingi. Wakati UDASA wana kongamano lao...
0 Reactions
Replies
Views
Wana bodi, japo tuko kwenye harakati za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge, kuna swali linanitatiza kuhusu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ambapo majibu yake sahihi, pia yanaweza kuwa ni...
2 Reactions
54 Replies
54K Views
Wana JF. Usiku wa tarehe 12 Januari 1964 kundi la watu 300 walikitwaa kisiwa cha Unguja wakiongozwa na mtu asiyekuwa maarufu kipindi hicho, aliyekuwa akiitwa John Okello, John Okello alikuwa...
7 Reactions
73 Replies
23K Views
Majaliwa na mipango kuwekwa washauri wa rais ni kuwapumbaza walidaiwa kumpinga nyuma ya pazia hizo nafasi ni hewa tu huwezi kumshauri samia chochote. Samia hashauriki chochote amewaweka hapo...
2 Reactions
5 Replies
262 Views
Nasikitisha Genius Prof Kabudi kuwa Chawa wa hawa jamaa! Dah
3 Reactions
7 Replies
388 Views
Tamko la waziri wa China ni la unafki nchi kuingiliwa na mataifa mengine ikiwa na wauwaji sio kosa huo ndio urafiki wa kweli. Nchi kuingiliwa ikiwa na demokrasia na hakuna utekaji wala mauwaji...
2 Reactions
9 Replies
247 Views
UCHUMI TANZANIA 2026 Januari 2026 unaonyesha kuwa uchumi wa Tanzania upo katika kipindi muhimu cha mpito, ambapo ukuaji wa jumla wa uchumi ni imara, lakini kuna changamoto za kimuundo katika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais Samia sidhani kama hata course ya Umumugambo anayo lakini analaumiwa. Nchi kila sehemu Ina vijitu vinatwa usalama wa taifa Nyerere aliviwekega mpaka barabarani na vilifanya KAZI nzuri sana ...
1 Reactions
6 Replies
169 Views
Serikali haramu iache upumbavu usituite tuna amani wakati mnateka na kuuwa watu kila siku amani ya nyoko mme teka mpaka maiti mlizouwa. Mpaka maiti zilizo uwawa zimeshikiliwa mateka mnasema...
1 Reactions
3 Replies
136 Views
Professor Kabudi sasa ni wakili wa wauaji wa Oct 29
9 Reactions
28 Replies
708 Views
Nimefikiria sana kabla ya kuandika singa hii, kwa vile wengi wameshaandika juu ya maudhui. Lakini, kama mfuatiaji wa karibu wa yale yanayoendelea Burkina Fasso, wivu, uchungu na tafrani...
5 Reactions
6 Replies
288 Views
Dada #cherry_hollister na mumewe hawajulikani walipo kwa zaidi ya wiki moja sasa. Nyumba yao ilivamiwa na watu waliofunika nyuso zao ambao walivunja geti na kuingia ndani kisha kung'oa CCTV...
1 Reactions
17 Replies
907 Views
Nauliza tu nijue, mshauri wa Rais analipwa na nani? Au hawalipwi wanakula posho TU? Kwa Nini alimpiga chini kassimu Majaliwa na Leo anamsogeza Tena? Au anamwonea wivu alivyonawili?
5 Reactions
17 Replies
418 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Agnes Amos Liku, Miaka 35, Mkazi wa Mwanzongumu, Kata ya Msimbu, Wilaya ya Kisarawe kwa kutoa taarifa za uongo kuwa amejifungua mtoto katika Zahanati ya...
3 Reactions
33 Replies
894 Views
Ndugu zangu waislam na wakristo Watu wa mungu hawaogopi kufa wala kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli na hao ndio walio changia nchi kupata uhuru hapo awali. Mungu ataki waoga anataka...
5 Reactions
13 Replies
273 Views
  • Featured
Tangu Nicolás Maduro achukue hatamu za uongozi mwaka 2013, Venezuela imepitia misukosuko mikubwa ya kisiasa na kijamii ambayo imesababisha shutuma nzito za ukiukwaji wa haki za binadamu...
21 Reactions
68 Replies
3K Views
KUWA MWEMA ISIKUFANYE USITUMIE AKILI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wema usio na akili ni uovu. Ni upumbavu. 2. Unapomfundisha mtoto wako mambo Mema yaani kuwa Mwema usiache kumfundisha...
3 Reactions
8 Replies
238 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…