Mahakama ya Rufaa Tanzania wamekuwa wakijinasibisha kuwa wanatumia kanuni ya FIFO (First In and First Out) kushughulikia mashauri ya madai mahakamani jambo ambalo si kweli.
Nina madai ya rufaa...
1. Majuzi nilipata msiba wa Kaka yangu hapo Muhimbili basi akapelekwa Mochwari.
2. Siku ya kutoa maiti kwa ajili ya ibada na Maziko (mhudumu anataka TSH 200,000) mbali na zile gharama ambazo...
Behewa namba 14 kwenye treni ya Mwendokasi halina hewa.
Kwa mujibu wa mhudumu, tangu asubuhi, leo Oktoba 3, 2025 behewa hili limepata hitilafu na halijatengenezwa hadi sasa na hawajui...
DAWASA sijui kazi yao nini, watu tulitegemea kipindi hiki cha uchaguzi angalau wangetudanganya na kutoa maji lakini wapi kuanzia awamu ya Mkapa, Kikwete maji ni shida sana angalau kipindi cha...
Hali ya upatikanaji wa Maji kwa sasa kwa Mji wa Geita ni asilimia 75 kwa Wakazi wasiopungua 360,000. Mji wa Geita ni moja ya miji ambayo inakuwa kwa kasi hasa kwa shughuli za kiuchumi na...
Hii ni hospitali binafsi iko opposite na Mount Meru-Arusha, kwanza kukaa mkabala na mount Meru ni kimkakati kupata wateja. Haya mahospitali hayana madaktari walioajiriwa wanategemea madaktari wa...
Hivi TUGHE hamzioni barua za vitisho toka kwa waajiri kuwalazimisha watumishi na wanafunzi kuhudhuria mikutano ya kampeni ya mgombea wa CCM?
Barua za waajiri zinawataka watumishi kuhudhuria...
- Tatizo hili linaendelea hata baada ya kukamilika mradi wa maji wa tanki la bangulo uliogharimu bilioni 36.8 na maji hamna Kinyerezi.
Wakazi wa Kinyerezi wapo katika wakati mgumu maji ya Dawasa...
Kumekuwepo na changamoto kubwa ya upatikanaji wa kadi za Mwendokasi. Abiria wanaokwenda kwenye vituo vilivyotajwa kama vile Kimara na Gerezani tunaambiwa kwamba kadi zimeisha. Hali hii imeathiri...
Siku ya ya leo tangia asubuhi hatuna umeme huku Arumeru mkoani Arsha, tatizo ni nini? Mbona hakuna hata taarifa, sasa leo tutakula wapi, kula yetu ni umeme. Tafadhali turudishie umeme.
Kama kuna Wizara ambayo imeshindwa kazi hapa mkoani na Jiji la Dar es salaam ni wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano.
Nadiriki kusema Wizara hii imejaza vilaza walioko katika utendaji, kuanzia...
Mh. Rais ktk serikali yako waziri pekee aliye karibu na wananchi wako ni Dr. Dorothy Gwajima wengine hata matatizo yaandikwe mara ngapi huwezi kusikia wakijibu kero wananchi.
Hili la watoto wa...
Mabasi ya kutoka Mbeya hasa yanayosafiri Usiku hayafuati ratiba ya safari, kwa mfano kuna siku nilipanda basi kutoka Mbeya kwenda Morogoro walisema linaondoka Saa 12:00 Jioni ila tuliondoka Saa...
Kama kuna aibu inayoinyemelea Halmashauri ya Mji Kibaha ni ubovu wa miundombinu ya barabara zake, na hasa zilizopo katikati ya Mji (Kata ya Maili Moja).
Hii ni kero ya muda mrefu sana, kwa...
Hii hospitali ya Mnazi Mmoja ina umuhimu mkubwa sana jijini hasa kwa wananchi wa chini. Jamani uongozi mjitathmini.
Watumishi wengi mno ni kama mko pale kupoteza muda.
1. Huduma ya madaktari...
Mikoa mingi nchini Tanzania leo imekumbwa na tatizo la kukosekana kwa umeme kwa muda wote wa siku, jambo lililosababisha usumbufu kwa wananchi na shughuli za kimaisha.
Wengi wanajiuliza ni nini...
Tatizo la bima kwa sasa limekuwa sugu kwakuwa hakuna hatua zozote zilizochukuliwa imekuwa ikifanyika kila mwaka wanafunzi wanapitia changamoto ya kukosa matibabu kwa wakati na bima wamelipia...
Wahitimu wa Chuo kikuu Mzumbe kampasi ya Upanga Dar Es Salaam wapo katika wakati mgumu baada ya chuo hicho kushindwa kuwapa vyeti vyao vya kuhitimu bila maelezo yanayoeleweka.
Hatua hiyo imekuja...
Utangulizi
Moshi mjini, maarufu kwa mandhari yake ya kuvutia na utamaduni wa kipekee, sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya usafi.
Kituo cha mabasi kilichoko katikati ya mji kimekuwa kielelezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.