Waziri wa Mazingira, Mhe. Masauni
Mheshimiwa Masauni,
Waziri wa Mazingira,
Uchafu ni kitu chochote kilicho kwenye nafasi isiyo yake.
Mfano, uchafu wa kimazingira unaojulikana kama "kelele" ni...
Wakuu salam,
Naamini wote mpaka sasa tufahamu kuhusu suala la Sativa kutekwa mpaka kupatikana jana akiwa ameteswa sana, pamoja na maelezo yake ya awali kwa polisi.
Edga Mwakabela (Sativa)...
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu sana ya wastaafu walio fukuzwa jeshi, walio staafishwa kwa ugonjwa, waliofariki wakiwa kazini na waliostaafu kwa taratibu za Kawaida za Jeshi la Wananchi wa...
Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa...
Heri ya pasaka wanajamvi. Habari za usiku huu.
Mkuu wa wilaya amezidi ubabe. Anawafanyia ubabae watumishi wa umma na anajidai hakuna wa kumgusa hata akifanya lolote. Kwani analazimisha...
Tundu Lissu has just been collected by official motorcade from the Keko prison.
Not so sure where exactly is he being taken
———
UPDATE:
My insider indicates that he has been moved to Ukonga...
Habari za leo ndugu viongozi wa elimi Mkoa wa Kilimanjaro?
Siku ya jana viongozi wa Maafisa elimu Kata Mkoa(wenyeviti wa Halmashauri zote na Mkoa) tumepokea maelekezo kutoka kwa REO kutuomba...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, kiongozi akila rushwa katika shughuli za kiserikali, aliyepokea rushwa hana uthubutu wa kumchukulia hatua mtoa rushwa.
Wachina wanajulikana, na siyo siri, kutoa...
Chama Kikuu cha Ushirika Mkoani Shinyanga (SHIRECU) inadaiwa kipo kwenye mchakato wa kuuza maghala yake yaliyopo Kurasini Jijini Dar es Salaam kwa bei ya 'kutupa' (bei hisiyo na thamani halisi)...
Habari
Kumekuwa na tabia tokea uandikishwaji wa daftari la wapiga kura lianze, wajumbe wa CCM wanapita majumbani kukusanya namba za vitambulisho hasa kwa wamamaa, tunajiuliza wanazipeleka wapi?
Hii ni baada ya wananchi kuhoji matumizi ya fedha hizo bila majibu kwa kipindi cha zaidi ya miaka 15, ndipo wameamua kuitisha mjadala kwenye group la CCM Musoma Mjini ambapo mbunge wa jimbo hilo...
Utangulizi
Soko la Mbuyuni, lililojengwa katika Manispaa ya Moshi, limekuwa kivutio cha mjadala mzito miongoni mwa wakazi wa eneo hilo.
Kwa dhamani ya bilioni 2, wengi wanajiuliza ni wapi fedha...
Mimi ni mpitaji wa barabara hii kila siku.
Tokea walipojenga hiyo barabara wale jamaa zetu wa KONOIKE ya Japan, mwaka 2012, pamejitokeza tatizo kubwa la maji ya mvua kubwa kupita maeneo kadhaa...
Rais ametangaza kuwa nchi yetu kwa kushirikiana na majirani zetu tunaenda kupitia upya mipaka yetu ya majini na nchi kavu. Hili jambo siyo dogo, ni zito sana na lina potential ya kusababisha...
Mkurugenzi wa Moshi Manispaa amekabiliwa na malalamiko kutoka kwa madiwani wa manispaa hiyo kuhusu utendaji mbovu wa miradi ya maendeleo, hususan ujenzi wa soko la Mbuyuni.
Madiwani hao...
Hii nimeiona kwenye Group linajiita MATAGA ila CHADEMA wamo kibao. Nikaona niwatumie hapa nanyi muione.
====
"CCM Mkoa wa Mbeya wanatamba kuwa Ziara ya Rais Samia Wilaya ya Kyela ilifana sana...
Habari zenu wakuu,
Tukubaliane tu kwamba utalii unatutangaza, unatuingizia fedha za kigeni, kuinua uchumi na kutoa ajira. Lakini utalii usiposimamiwa vizuri madhara yake ni mtambuka na ni makubwa...
Wale wezi wa kura wasioheshimu sanduku la kura,wanaishi kwa mbeleko
Msijione washindi kwa wizi wa kura kimsingi mnaua morali ya wapiga kura kushiriki katika chaguzi mbalimbali hapa nchini...
Wadau, niko Tanga mjini hapa na katika pitapita zangu nimekutana na vijana wakizungumza kwa furaha kwamba kesho hakuna shule ni mapumziko. Nikafikiri nimepitwa na nyakati kuna holiday halafu...
Zoezi la uandikishaji Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ambalo limefanyika kwa siku mbili katika Wilaya ya Uyui hapa Tabora lilipokelewa vizuri na Wananchi na inawezekana mwitikio umekuwa mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.