Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

“Niliishiwa na nguvu wakati aliponiambia kama unaitaka hii nafasi basi lazima tukutane kimapenzi kwanza ndio uipate,” anasema Sharifa. Kitu pekee kilichomjia kichwani kwake ni kuliweka jambo hilo...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Longdon kata ya Sokoni One Jijini Arusha, wamedai kuwa hawatashiriki uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa eneo hilo kutokana na...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Viwandani kata ya Unga Limited Jijini Arusha, wametishia kutompa kura za ndio mgombea wa uenyekiti wa mtaa huo kupitia chama hicho...
1 Reactions
2 Replies
787 Views
Zitto Kabwe amesema kuwa ofisi ya mtaa ni ya raia wote, baada ya kukuta CCM wamejenga Jiwe la Umoja wa Vijana CCM mbele ya ofisi ya serikali ya mtaa ya Bujimile, kata ya Nyamhongolo huko Ilemela...
2 Reactions
17 Replies
934 Views
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amewaelekeza wasimamizi wa uchaguzi katika mamlaka za serikali za Mitaa kuendelea kuhamasisha na kuweka mabango yanayoelekeza vituo vya...
0 Reactions
3 Replies
481 Views
Imeelezwa kuna uwepo wa mgogoro wa viongozi wa CCM katika Mtaa wa Nera, Kata ya Isamilo, Manispaa ya Nyamagana. Hayo yanajiri baada ya viongozi kutohitaji uwepo wa jina la Mwenyekiti aliyemliza...
1 Reactions
2 Replies
498 Views
Nakupongeza sana Fr. Kitima kwa kutoa Elimu ya Uraia kwa Waamini wako. Waamini wengi hawajihusishi na Siasa kwa kudhani kwamba ni dhambi, kumbe sivyo. Tunapoelekea kufanya uchaguzi wa serikali za...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Tanzania ni taifa ambalo katika miaka kadhaa nyuma lilikumbwa na mauaji makubwa ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) haswa kipindi cha uchaguzi kilipokuwa kinakaribia. Licha ya matukio hayo...
1 Reactions
1 Replies
418 Views
Wakati zoezi la uchukuaji fomu za kugombea uenyekiti na ujumbe wa serikali za mitaa likiendelea nchini, wakazi wa Mtaa wa Kambarage mjini Njombe wameomba kampeni za kistaarabu zisizo na lugha za...
0 Reactions
1 Replies
356 Views
CPA Amos Makalla ametoa angalizo kwa vyama vya upinzani hususan CHADEMA kuwa kimeanza kutafuta visingizio vya kishindwa uchaguzi wakati ambapo hakijajiandaa kabisa na uchaguzi. “unachokipanda...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Mtendaji wakitongoji cha Idugumbi kata ya utengule usongwe Jimbo la Mbeya vijijini amekimbia Ofisi nakuzima simu zake zote. Kumekuwepo na huu mchezo ofisi za vijiji na mitaa kufungwa muda ambao...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, wananchi wamehimizwa kushiriki kikamilifu katika kampeni za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi. Wito huo...
0 Reactions
2 Replies
402 Views
Waziri Mchengerwa ni kiongozi ulijibebea sifa nyingi kutokana na utendaji wako Hivyo Kwa tu wa chini yako kuharibu mchakato huu muhimu Kwa maendelea ya vijiji na Miata ni busara achia ngazi...
2 Reactions
20 Replies
984 Views
Katika Dunia ya Leo Mtendaji anaogopa kugawa Fomu za uchaguzi Kwa Chadema? Huu ni Upumbavu uliotukuka utakaosababisha Watanganyika waamini ni kweli Chadema ina Wanachama milioni 17 Inakera sana 😂
9 Reactions
43 Replies
1K Views
Wakuu, Jana nilikuwa naangalia takwimu za Watanzania ambao wana matatizo ya moyo kitaalamu Cardiovascular Disease (CVD) Kulingana na report kutoka kwenye tovuti ya Geospatial Health, 13% ya...
0 Reactions
0 Replies
332 Views
Wakuu nawasalimu. Kama taifa tupo katika kipindi cha uchaguzi Mkuu na Serikali za Mitaa ambao umepamba moto kwa hivi sasa. Huu ndio wakati wa Vyama vya Siasa nchini kukuza ushiriki wa wanawake...
0 Reactions
5 Replies
560 Views
Yunus Nurdin amechukua fomu kugombea Uenyekiti wa Kijiji cha Mihima kilichopo Jimbo la Mtama Mkoani Lindi. Yunus na wenzake walikuwa CCM, wamejiunga ACT wazalendo na kupokewa na Makamu Mwenyekiti...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Pazia la kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika mwaka huu 2024 limefunguliwa Jana Oktoba 26, 2024 kwa mujibu wa TAMISEMI. Zoezi hilo...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Kwa miaka mingi tangu nianze kushiriki chaguzi ze serikali za mitaa, sijawahi kuona uchaguzi ambao CCM itashinda vijiji, mitaa, na vitongoji vyote kama mwaka huu. Ukitaka kujua hili tazame...
2 Reactions
14 Replies
966 Views
Salaam Wakuu, Kwa mujibu wa Taasisi ya Kitaifa ya Kidemokrasia (NDI), katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, wanawake waliochaguliwa kwa nafasi za ubunge ni asilimia 9.5, wabunge wa viti maalumu ni...
1 Reactions
1 Replies
352 Views
Back
Top Bottom