Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Najiuliza Lile kusanyiko la watu walio kwenda kwa balozi wa Vaticani kwenda kumshitaki faza Kitima na Askofu Rwaichi lilikuwa halali? Pale waliopo kufanyika ni karibu kabisa na MAKAO MAKUU ya...
13 Reactions
23 Replies
582 Views
Huyu tapeli ana rekodi mbaya kwenye utapeli wa ardhi na madawa ya kulevya. Nawasihi BASATA au Tume ya uchaguzi (NEC) msimruhusu kamwe ajihusishe na uchaguzi mkuu wa 2025. -- TAMASHA la kuombea...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu. Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli...
23 Reactions
46 Replies
862 Views
๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐— ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—”๐—ข๐—ก๐—š๐—ข๐—ญ๐—” ๐— ๐—ž๐—จ๐—ง๐—”๐—ก๐—ข ๐—ž๐—”๐—ญ๐—œ ๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ, ๐— ๐—”๐—ก๐—”๐—œ๐—•๐—จ ๐— ๐—”๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi Waandamizi wa Serikali uliofanyika...
0 Reactions
3 Replies
203 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ndugu Salum Mwalim ataongoza ujumbe wa viongozi na wanachama wa Chama hicho kwenda katika maziko ya Hayati Edwin Mtei yatakayofanyika...
1 Reactions
2 Replies
286 Views
MATUMIZI YA NISHATI SAFI YANALENGA KUPUNGUZA VIFO VYA WAMAMA WANAOPIKIA MKAA NA KUNI, UTAFITI UNAONESHA KILA MWAKA WAMAMA ZAIDI YA 33,000 KILA MWAKA WANAKUFA KWAAJILI YA KUPIKIA KUNI NA MKAA...
3 Reactions
63 Replies
3K Views
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 22, 2026, imekutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais โ€“ Menejimenti...
2 Reactions
14 Replies
668 Views
Bongo zozo amepost picha ya watoto wake na kuandika "madini niliyoiba" huku akiweka wazi kuwa watoto wake wamepolwa uraia wa Tanzania na serikali. Aidha maneno yake ya "madini niliyoiba" yamezua...
21 Reactions
105 Replies
3K Views
Yale mauaji ya October 29 yaliyo ongozwa na Polisi wetu kuanzia aliesababisha mpaka alieshiriki kuua hapaswi kua Ofisini sasa hivi.Aliekua anampa report Rais kua wale ni raia kutoka nchi jirani...
2 Reactions
0 Replies
172 Views
๐—๐—˜, ๐—ฆ๐—˜๐—ฅ๐—” ๐—ญ๐—” ๐—จ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” ๐—ญ๐—œ๐— ๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—ง๐—” ๐— ๐—”๐—š๐—˜๐—จ๐—ญ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—จ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—œ? Tangu kupata uhuru, sera za uchumi za Tanzania zimepitia mabadiliko makubwaโ€”kutoka mfumo wa ujamaa wa ๐—จ๐—ท๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ, hadi uliberali wa soko...
1 Reactions
0 Replies
128 Views
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Januari 19, 2026, imekutana na Wananchi wa Wilaya ya Temeke kwa lengo la...
1 Reactions
5 Replies
431 Views
Nilipoona mtandaoni tu yakuwa siku yako ya KUZALIWA utaisherekea kwa kupanda miti, hapo hapo nikaanza mazoezi ya kunywa maji nikojolee miti yako istawi vyema. Unasherekea miaka ya kuishi ili hali...
1 Reactions
3 Replies
196 Views
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 22, 2026, imekutana na viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa...
1 Reactions
16 Replies
623 Views
  • Redirect
Ujui yakuwa ccm walipokosa RUSHWA WALIITUMIA mtutu wa bunduki kuua watu na kuwazika kwenye shimo Moja kama Taka taka? Leo hii unamshangaa mtoto wa mhagama kituumiwa kutoa 500m Ili arisi nafasi ya...
1 Reactions
Replies
Views
Mmeyabana ga mengi ya Rais Magufuli na Nyerere hata la kuamia Dodoma nalo pia?
0 Reactions
0 Replies
172 Views
Mpaka anaondoka Mbowe ilikuwa ni sehemu ya CCM kudanganya jumuia ya kimataif kuwa kuna upinzani nchini. Ilikuwa ipo kibiashara zaidi ili kunufaisha matumbo ya mabwanyeye waliojipachika jina kuwa...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Naamini Jamii Forums ni kisima cha Maarifa ni kwamba huwa kuna Mkataba kati ya Airtel na Mteja hizi Agreement mara nyingi huwa ni ndefu na zimeandikwa kwa maandishi madogo lakini pia zinatumia...
0 Reactions
5 Replies
676 Views
Kampuni ya airtel sio kampuni ya kisiasa tunajua kilichotokea ni shinikizo na hii haifanyi kampuni imuunge mkono bali amejiongezea kesi madaraka yanaisha haya mtaona airtel ikimfungulia kesi hii...
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa...
2 Reactions
14 Replies
384 Views
Balozi wa Marekani Burkina Faso, Joann Lockard, ameomba kuonana na Captn. Traore, ila Captn akamjibu ana shughuli nyingi na akamtuma Waziri wake wa Mambo ya nje,mwezi huu. Utakumbuka nimeripoti...
3 Reactions
2 Replies
222 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ