Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (Mb) amesema Serikali haitavumilia kuona viongozi wanabagazwa mitandaoni, na kusema wanayo teknolojia ya kuwabaini...
Sheria za jeshi za kumpigia saluti mtu ziwe na uwiano sawa na mtu anayestahili sio mnapigia saluti mpaka asiyestahili.
Sheria za kupigia saluti mtu zinazingatiwa zaidi kuliko za yule anayestahili...
Mtu mwenye moyo wenye nyama lazima uwe na maumivu kiasi cha kutokuwa na ushirikiano na wauaji waliomchukua mtu uliyekuwa unatembea nae masa 24 na kufanya harakati.
Kwa nini uende kwenye ufunguzi...
Ukiistajabu ya Bilioni 200 za RAIS Samia kwa vijana wa taifa la Tanzania alizo zitoa Jana usiache kustaajabu la Milioni 500 za Hayati Magufuli ambazo alizitoa akiwa Rais kwa vijana wa chato na...
“Rais Samia Kumteua Mtoto wake (Wanu Hafidh Ameir) Kuwa Naibu Waziri imekuwa Nongwa kila siku Mnasema Mtandaoni, Eti Nchi imeuzwa, Hivi kweli mkimuangalia Abdul na wema wake ule anavaa Sandal na...
Chama cha CCM kimeharibika wahuni wamekivamia na wananchi wamekikataa lazima tutakifuta.
Kama kina waharifu na wananchi wamekikataa hakitaweza kusalia kwa muda mrefu kitafutwa sio kwamba mimi...
Changamoto ya Mawasiliano ukiwa Karikoo katikati ya Soko ni kubwa mnoo kiasi kwamba inakulazimu utoke Dukani kwako au Ofisini kwako ukasimame nje barabarani ili uweze kupiga au kupokea simu...
Wakuu,
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ameitaka jamii kutambua kuwa shirika hilo ni mali ya umma na si mali ya chama chochote cha siasa.
Hata...
Wewe kataa kwenda Ubalozi.
Danganya unataka kuendesha biashara zako binafsi (utaeleza ni biashara gani).
Danganya pia kuwa unauguliwa na kaka yako.
Ukiweza, wambie siafu (chawa) wako kuwa...
Sisi Watanganyika, mamilioni kwa mamilioni, Tunayo mengi ya kutufanya tufurahi tunaposikia viongozi wowote wa CCM wanapopatwa mabaya, sisi kwetu ni sherehe
Kila mtu anayejihusisha na CCM...
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye ametahadharisha kuwa bila kusimamia utu, Chama cha Mapinduzi (CCM) inaweza kuondoka madarakani hivyo akaonya wanachama ndani ya chama hicho wasione aibu...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiwasili viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu ambapo wanakutana kujadili mambo mbalimbali ya kiuchumi na...
Kesi ya jinai inayomkabili Katibu Mkuu Mstaafu wa BAVICHA Taifa, Yohana Kaunya Rugembe, pamoja na washtakiwa wengine 20, imeendelea leo Ijumaa, Februari 6, 2026, katika Mahakama kwa hatua ya...
Mzee wa Msoga hawezi kosekana kwenye Epstein files
Ukaribu wake na Bus na Elite families unatilia mashaka makubwa
Ukaribu wake na Tony blair pia
Ilifika mahali hadi Bush akawa anakuja kwa...
Sio kwamba CCM ni chama kibaya, wala kwamba sera zake ni mbaya au kwamba watu wake ni wabaya au kwamba wanachama na viongozi wake hawana uwezo; hayo yote ni HAPANA.
Ndani ya CCM kuna watu makini...
Dictators lugha wanayoielewa ni Vitendo, Actions! Bila kusikia risasi madikiteita wanakuwa na dharau isiyo kifani.
Bila uprising, armed resistance madikiteita wanakuwa sugu!
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HAFLA YA KUSIMIKWA KWA UONGOZI MPYA WA BARAZA LA MAKANISA YA PENTEKOSTE TANZANIA
▪️ASISITIZA VIONGOZI WA DINI KUMUOMBEA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA TAIFA...