Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Namibia ⁦Netumbo Ndemupelila Nandi-Ndaitwah na Rais wa zamani wa Tanzania ⁦Jakaya Kikwete Mkutano wa Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) Jijini Addis Ababa⁩.[/URL]
3 Reactions
41 Replies
992 Views
Ni vizuri Watanzania tupiganie kwa namna yeyote ile hadi tupate Katiba mpya kabla ya muhula wa rais Samia. Katika katiba hii lazima kipengee cha kiongozi kuweza kushtakiwa kiwemo. Tena kipengee...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Wanasiasa wa Tanzania wanalakujifunza kuhusu issue ya Epstein. Mjue kuwa mambo yenu machafu mnayofanya ili mbaki madarakani kama mauaji ya October 29 na ushetani mwingine mwingi siku moja...
10 Reactions
19 Replies
497 Views
Aisee hii habari imenisikitisha na kufanya nifikirie mara 2 mbili kwamba hizi Nchi za watu weusi zinaweza kitu gani hasa Cha maana zaidi ya kuzaana? Yaani Afrika Kusini,Kenya na Tanzania ndio...
0 Reactions
1 Replies
220 Views
Sababu nambari 1 kwanini nimeamua kuwa upande wa Samia hata kama ana ubaya ni Watanzania kumwabudu Jiwe. Jiwe mtu mwovu sana . Yote kwa yote katika kipindi cha utawala wake wananchi waliishi...
2 Reactions
23 Replies
374 Views
Hivi karibuni kumekuwepo na Kesi ya , Sasa katika uendeshaj wa Kesi hii kumekuwepo na mapungufu mengi, kuanzia Offisi ya mwendesha Mashtaka, na ma mashahidi wenyewe, kiasi kwamba Nina jiuliza...
5 Reactions
6 Replies
236 Views
Kwa wakati huu, wasio wanachama wa CCM wanaiona CCM kama ni ya watu wakatili, wauaji, mafisadi, wenye kiburi, wasio na uzalendo nk. Umewahi kujiuliza Chadema wakichukua nchi watafanyaje kwa hawa...
2 Reactions
3 Replies
267 Views
Habari za Wakati huu; Kuna mambo ukiyatazama kwa mbali na hata kwa ukaribu huwezi kuelewa kabisa. 1. La kwanza ni hili la Tundu Lisu.Tundu Lisu amewekwa Gerezani takribani Mwaka mmoja.Amewekwa...
3 Reactions
6 Replies
341 Views
Alichosema mtengeneza maudhui ya kukosoa serikali ya Tanzania ni kuwa Humphrey Polepole amekuwa akihamishwa hamishwa sehemu anazohifadhiwa. Amedai kuwa anapohamishwa huvishwa nguo nyeusi...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Inajulikana ndani ya mahakama kunakuwa na mchuano mkali wa hoja za ,utaratibu na ushahidi bila mihemuko. Je ni sahihi kuwa na mashabiki wa pande mbili kila mmoja akivutia upande wake? Wakati...
1 Reactions
3 Replies
224 Views
Jana 12. Mwezi wa Pili Mwaka 2026, ilikuwa P11 atoe ushahidi wa kificho, lakini Shahidi husika Hakutokea . Uwezekano mkubwa ukiwa ni kutokula Kwa siku kadhaa akihofia maswali atakayo ulizwa , na...
3 Reactions
13 Replies
440 Views
Nilikuwa nikisikia kwa jirani ila Leo yamenifika, sikufanikiwa kumzika Claudia Mwana wa MASSAWE kutoka mkoa wakilimanjaro Binti pekee aliyetegemewa na Baba yake Mzee MASSAWE pale Rau. Hakika ni...
6 Reactions
5 Replies
360 Views
VILIVYOUMBWA HAVINA U-milele! Nimetoka kanisani. Watu walifunga ndoa nyingi jana. Leo wamekuja wachache. Nimekuta Gen Z Masalia wamejaza simu yangu kwa maswali yaliyoibuliwa na Gen Z mwenzao...
1 Reactions
0 Replies
149 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam...
1 Reactions
4 Replies
295 Views
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetangaza kuwa matokeo ya Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa wa Chama cha Wananchi (CUF) wa Desemba 2024 ni batili na kuelekeza chama hicho kurudia...
2 Reactions
1 Replies
309 Views
Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, leo katika Ibada kanisani kwake ametoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 na kupona baada ya oparesheni nne. Askofu Gwajima...
4 Reactions
8 Replies
481 Views
Huu uzembe ndio tunasema hatuwezi kuuvumilia, wakatwe mishahara yao kufidia hasara waliyosababisha - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Amesema hayo leo Ijumaa Februari 13, 2026 wakati akizungumza...
1 Reactions
1 Replies
227 Views
Kikwete ndiyo alianza mambo ya mitandao , akaja dikteta fake mwendazake Magufuli na huyu Mama wa machawa Samia. Hawa wamechangia sana kwenye kudidimiza tamaduni na ndiyo waliouwa demokrasia
3 Reactions
1 Replies
195 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…