Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mkoa wa Iringa, Ibrahim Myovella anadaiwa kupotea muda mfupi baada ya kuripoti kituo kikuu cha polisi mkoa huo Februari 18, 2026. Taarifa...
0 Reactions
12 Replies
331 Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, amesema kuwa thamani yake kama binadamu haijawahi na haitawahi kutegemea vyeo vya kuteuliwa au kuchaguliwa. Akizungumza katika mahojiano...
3 Reactions
15 Replies
540 Views
Hawa wanaojiita Tff unaweza kuwadharau. Kumbe uonevu umezalisha chuki
1 Reactions
9 Replies
330 Views
Ni jambo ambalo hadi leo linanikera, linaniudhi, na kunisikitisha sana. Tanzania katika miaka ya 1960 hadi 1990 ilikuwa mwanzilishi wa nchi tano zilizo mstari wa mbele katika ukombozi wa kusini...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 26, 2026 katika uwekaji jiwe la msingi jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kiteto amezitaka ofisi za umma kutatua kero za wananchi kwa wakati kwani...
4 Reactions
46 Replies
658 Views
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju, amesema Mahakama haiwezi kuendeshwa kwa utaratibu wa kusubiri maelekezo, bali inapaswa kuongozwa na uwajibikaji na kujituma kwa kila kiongozi...
8 Reactions
31 Replies
802 Views
Idara zetu zipo makini kweli ? nani katoa kibali kuruhusu website hii inayozagaa kwenye magroup kupewa ruhusa ya kuwekwa kwenye serva ? Pia kuna sehemu ya kurekodi majina, tuna uhakika gani...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Ndugu zangu Naona Zungu kajibiwa tena kwa mara ya tatu Akiwa anazungumza leo jijini Dar Es Salaam msemaji mkuu wa Serikali amesema kuwa kilichosababisha ndege kutokutua Mwanza siku chache...
1 Reactions
6 Replies
246 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika mkoani...
4 Reactions
46 Replies
1K Views
Ngome ya wanawake wa Chama cha ACT Wazalendo imetangaza maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani itakayofanyika Machi 8, 2026, kwamba wataiadhimisha kwa kuwakumbuka wananchi waliouawa Oktoba 29...
0 Reactions
2 Replies
246 Views
WAZIRI MKUU AAGIZA TAKUKURU KUCHUNGUZA UBADHIRIFU WA FEDHA JENGO LA DC KITETO. ▪️Ataka hatua za kinidhamu zichukuliwe licha ya fedha hizo kurejeshwa. ▪️Asisitiza hakuna kufanya ustaarabu kwa...
1 Reactions
0 Replies
186 Views
Nichukue nafasi hii kipekee kuwapongeza Air Tanzania kwa namna wanavyo badili ratiba za ndege mara kwa mara. Mfano leo ndege ya Air Tanzania iliyokuwa iruke kwenda Kigoma saa 5:40 imesogezwa mpaka...
5 Reactions
6 Replies
340 Views
Lissu Mwenyewe hajashangaa kuona yaliyotokea 29 octoba yamepangwa kuingizwa kwenye kesi Yake Zaidi sana anapigania utaratibu wa Mahakama kufuatwa kama ilivyoelekezwa kwenye commito, lakini...
10 Reactions
16 Replies
564 Views
Wakuu Nimeona kwamba ACT itaahirisha sherehe za wanawake mwaka huu ili kukumbuka vifo vya waliouwawa Oktoba 29 Sasa nauliza kwamba huu ni uamuzi sahihi kwa wanawake? Kwanini wasingeendelea tu...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
HOTUBA YA KIONGOZI WA WANAWAKE - ACT WAZALENDO KWA WAANDISHI WA HABARI NA TAIFA Kauli Mbiu: Machozi ya Mama – Deni la Taifa UTANGULIZI NA SALAMU YA CHAMA Ndugu Waandishi wa Habari, na...
2 Reactions
6 Replies
275 Views
Juzi ilikiwa hivyo na leo tena imetokea. ATCL inabidi wabadilike bhana
1 Reactions
24 Replies
469 Views
Ukiachilia mbali vikao maalumu vya kimkakati kidigitali ambavyo hufanyika mara kwa mara nchini kote, mipango mingi muhimu na mikubwa zaidi ndani ya ccm hufanyika pia kianalojia kulingana na...
1 Reactions
48 Replies
489 Views
Katika miaka ya karibuni , wizara hii ya Ujenzi imekuwa kichwa cha mwenda wazimu. Kila anyejifunza kunyoa anapelekwa hapo, na nywele anajua anakozipeleka. Siyo siri ,sasa Wizara , taasisi zake...
14 Reactions
106 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amewahutubia wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 2. Kiini cha ujumbe wake kilikuwa ni maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025. Kwa kiasi kikubwa hotuba yake ni kama...
2 Reactions
11 Replies
575 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…