Wakuu,
Ni mara chache sana kusikia mtu mwenye cheo huko Polisi ku-advocate masuala ya haki za binadamu na utawala bora
Tunaelekea pazuri?
==========
Kamishna wa Polisi Zanzibar (CP) Kombo...
My Take
Hakuna kumung'unya maneno Inawezekana kabisa kwamba magenge ya wahalifu wa Kimataifa wamepata Uchochoro wa Kusajili Meli zao hapa Bongo Kwa rushwa Ili zikatumike kwenye Uhuni.
Mwaka 2018...
DKT. MWIGULU ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA KARDINALI PENGO
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Februari 27, 2026 ameshiriki ibada ya kuaga mwili wa Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar...
Moja ya kiongozi wa Kundi la Tanzania Freedom Fighters(TFF) amefafanua na kueleza maana halisi ya kundi hili
Amesema TFF ni kundi la wananchi wa Tanganyika Wazalendo na sio kundi la kigaidi au la...
Kuna haja ya kuangalia haya mambo kwa macho manne.
Nilifuatilia hii sijui mnaita misa ya kumuaga askofu sikujua Father Kitime ni yupi ila nyie elimu ni silaha, elimu ni ngao, elimu ni njia huyu...
My Take
Nalipongeza gazeti la Habari Leo Kuanzisha Kitengo Kwa Ajili ya Kuibua upuuzi wa Wakenya ambao hawakutaka wengine wajue kwa kuweka wazi kwenye Mitandao ambapo Sasa Wamekuwa busy...
Katika Jamii ya Kidemokrasia, uwazi na uhuru wa Vyombo vya Habari ni nguzo muhimu za uwajibikaji. Hata hivyo, pale ambapo Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na...
Wakati Serikali ikiahidi kutoa kiasi cha Sh 200 Bilioni, kwa mikopo ya vijana, wanawake, na watu wenye ulemavu, baadhi ya Vijana na wanawake wamelalamika kuwa mikopo hiyo inatolewa kwa misingi ya...
Zaidi ya kuzua taharuki na kuatract public sympathy, kuna kitu cha ziada kundi hili la malofa lenye nia ovu dhidi ya Tanzania hupata kutoka kwa mabwana zao wanaowatuma na kuwafadhili?
Na ni...
Wapo wazanzibari wanamiliki migodi Geita, Mbeya, Mara, Mererani, Ruvuma, n.k. Mtanzania wa Bara huwezi kugusa mgodi unaomilikiwa na m=Mzanzibari hadi upewe ruhusa yake na hata ukiruhusiwa...
Sasa tujiulize Raisi mwenyewe kapatikana kwa kudanganya hata kura hazikuhesabiwa kabisa! Lakini kuna watu tena wengi tu wanajidanganya pamoja na kujua ukweli kwamba tulikuwa na chaguzi.
Kila mtu...
Salaam Wakuu,
Inadaiwa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, wanakufa kama Nzi au Mbu huko Kongo.
Hii habari nimeiona mtandaoni. Je, hizi habari ni za kweli?
Sasa kwanini Wananchi...
Inashangaza sana Azam/UTV ambacho inawezekana kikawa ni kituo kikubwa cha kitanzania kwa habari za kimataifa za Kiswahili nchini kumtumia mchambuzi mmoja tu wakati wote kijana aitwaye Rahby ambaye...
Wakuu
Picha za leo kwenye uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa ambalo pia ndiyo Makao Makuu ya JWTZ na Wizara ya Ulinzi iliyopigwa na Ikulu zikimuonyesha amepungua sana! Tofauti na...
Kamishina Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (HRC) Volker Turk ameeleza masikitiko yake kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu duniani, huku akipongeza hatua ya Tanzania kuanzisha...
Kwa siku za hivi karibuni nimekutana na video kadhaa za Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka akiwa katika warsha ya kuwakaribisha watumishi wapya wa umma.
Cha kushangaza, video hizo zimejaa...
Asalam Alleykhum ,
Mara zote Mwenyezi Mungu ametuasa kuwakumbuka watu wenye matatizo , hasa wakati wa Ramadhan , kwamba ikiwa tunao uwezo basi ni vema tukawafuturisha , Mayatima , Wajane na...
NAIPONGEZA JAMHURI na KUISHAURI
Wale mnaopenda kuwapopoa kwa mawe wale msiokubaliana nao, nawaomba mnipopoe.
Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili “Mtundu” wa Taifa, Tundu Lisu, imeamua...
Kwanini meli nyingi zinazotumia bendera Yake zinadakwa na unga?
N.a. Je ni akina nani wanaousambaza unga huo?
Kumbuka Mkuu wa kitengo cha kudhibiti unga ametangaza hadharani kwamba wanatishwa...