Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Kombo akutana na Balozi wa India nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa...
1 Reactions
4 Replies
279 Views
Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa viongozi wa dini nchini wanapaswa kuhubiri amani na upendo, badala ya kutoa matamko yanayoweza kuashiria uchochezi. Ameeleza kuwa mara kwa mara...
1 Reactions
10 Replies
409 Views
Katika numerolojia maisha na matukio yake yanaweza kupunguzwa na kuonesha nguvu yake katika namba. Angalia hii: Tarehe 29/10/2025=2+9+1+0+2+0+2+5...
13 Reactions
35 Replies
2K Views
Hapo vip! Viongozi wa kiafrika wengi huwa wanajiona ni watu special sana na wanauwalali wa kuishi kuliko mwananchi yeyote,hii tabia inatafsiri jamii ambayo bado haijastarabika na ambayo bado...
0 Reactions
1 Replies
160 Views
Unajua watu wazima wanaziba ufa kwa kusema UONGO,wanayoiharibu inchi ni CCM na serikali kwa ujumla,hivi hakuna mtu asiyejua chanzo cha haya matatizo ni mama kujipitisha kugombea peke yake na tume...
2 Reactions
15 Replies
309 Views
Akizungumza na mtangazaji Chief Odemba, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa madai kuwa aliwapongeza vyombo vya habari kwa kutokutoa taarifa ni upotoshaji. “Sikuvipongeza vyombo...
2 Reactions
10 Replies
357 Views
Binafsi ninakerwa na serikali hii inavyofanya mambo yake. Kuna mambo yanahitaji diplomacy kidogo tu ila cha kushangaza serikali inatumia nguvu kupitiliza hadi inaamsha hasira za wananchi. Kuna...
-1 Reactions
9 Replies
289 Views
  • Featured
Novemba 13 ilifunguliwa kesi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imepokelewa na mchakato unaendelea chini kwa chini. Hivi karibuni itasikika sana. Swali langu ni - Je, nini itakuwa hatma ya...
75 Reactions
296 Replies
18K Views
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Mwaka 2025 umeacha kovu ambalo halitafutika kirahisi si tu kwa sisi walaji wa habari, bali kwa Wanahabari wenyewe ambao wamejikuta wakivunjwa moyo, wakinyimwa nafasi...
1 Reactions
0 Replies
177 Views
Kitendo cha X kuvunja sheria za nchi na mkawaambia wajirekebishea ili muwafungulie. Na wao hawajajirekebisha hili kosa . Kama ni kosa kwa nini wewe undelee kulitumia kama njia ya kupeleka habari?
5 Reactions
6 Replies
252 Views
Mtangazaji wa CNN na mwandishi wa makala kuhusu matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea Tanzania amesema kuwa hajalipwa na mtu yeyote kwa lengo la kuichafua nchi yoyote. Ameeleza kuwa badala ya hoja na...
1 Reactions
9 Replies
316 Views
One-on-one kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, Katika mahojiano hayo, Gerson Msigwa amesema moja ya kauli zake aliyowahi kuitoa hivi karibuni kuhusu...
4 Reactions
17 Replies
738 Views
Kupitia ukurasa wake Mtandao wa Facebook Asofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza amehoji; "Raia wakichochea wanatekwa, wateule na Polisi wakichochea nani awateke? Tumkamate aliyempiga Fr. Kitima ndipo...
4 Reactions
2 Replies
278 Views
Guys Yule binti wa mbeya aliyeuawa kikatili jeshi la polisi lilichukua wiki tuu watuhumiwa wote wakawa wamekamatwa na tukatangaziwa Sasa huu ukimya kuhusu kifo cha MC PILIPILI unamaanisha kitu...
6 Reactions
21 Replies
876 Views
Hamjambo Wakuu. 1. Ni vizuri kama kweli inania watu wasiandamane Siku ya tarehe 9 basi ni muhimu kutangaza mapema kabisa; 2. Kwamba Tarehe 9 watu wakae ndani. Kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 6...
8 Reactions
53 Replies
2K Views
Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana...
16 Reactions
91 Replies
4K Views
Kupitia ukurasa wake Mtandao wa Facebook Asofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza TUMEISHAANDAMANA; GEN-Z TUPE NAFASI TUJUTE KWANZA. Leo tarehe 6 Desemba, ni siku yangu ya kuzaliwa. Sina furaha kama...
16 Reactions
21 Replies
817 Views
Maisha ya kuja na kuondoka yana tesa watu usiombe, mfano mwaka jana umepata cheo, gari, pesa, kiburi na majigambo alafu mwaka huu umekuwa wa kawaida. Hapo lazima ujione umekuwa mkiwa na...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi ameitaka Wizara ya Muungano na Mazingira kujipanga katika suala la elimu ya muungano hususani kwa vijana kwani wengi...
2 Reactions
23 Replies
736 Views
Sasa wewe nenda kinyume na hiki Kichwa changu cha Habari hapa hiyo Wiki ijayo ujue kwanini Nyoka hana Ugoko Ok? Nimemaliza.
3 Reactions
39 Replies
756 Views
Back
Top Bottom