PostGE2025 Tulia kawa kama Ndugai, kuna siku mtashangaa kaita press

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,762
Reaction score
37,390
Maisha ya kuja na kuondoka yana tesa watu usiombe, mfano mwaka jana umepata cheo, gari, pesa, kiburi na majigambo alafu mwaka huu umekuwa wa kawaida.

Hapo lazima ujione umekuwa mkiwa na kutokubari kuwa umekataliwa.

Huyu Tulia kwa sasa msipo mfunga kamba na kuwa na elimu ambazo sijui elimu zake ila cheo cha uspika kitamfanya kama Ndungai .

Kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii unaona kabisa wa kumfunga kamba.
 
Waswahili wa Pwani walisema malipo ni hapa hapa duniani
 
Tatizo lao kubwa wanadhani vyeo wameumbiwa wao tu
 
Aite press adai mgao wa mali za ccm au aeleze nini?

Ndugai alieleza lakini aliisha chelewa.
 
Maisha ya kuja na kuondoka yana tesa watu usiombe, mfano mwaka jana umepata cheo, gari, pesa, kiburi na majigambo alafu mwaka huu umekuwa wa kawaida.

Hapo lazima ujione umekuwa mkiwa na kutokubari kuwa umekataliwa.

Huyu Tulia kwa sasa msipo mfunga kamba na kuwa na elimu ambazo sijui elimu zake ila cheo cha uspika kitamfanya kama Ndungai .

Kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii unaona kabisa wa kumfunga kamba.

Huyo siku zake zinahesabika...it's just a matter of time
 
Maisha ya kuja na kuondoka yana tesa watu usiombe, mfano mwaka jana umepata cheo, gari, pesa, kiburi na majigambo alafu mwaka huu umekuwa wa kawaida.

Hapo lazima ujione umekuwa mkiwa na kutokubari kuwa umekataliwa.

Huyu Tulia kwa sasa msipo mfunga kamba na kuwa na elimu ambazo sijui elimu zake ila cheo cha uspika kitamfanya kama Ndungai .

Kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii unaona kabisa wa kumfunga kamba.

Kwanza akiona tu mwenza katumbuliwa pale Ewura hiyo itakuwa wake up call...akiendelea watapita nae...najua ameumia maana alikuwa Boss wa Maspika wote Duniani...!
 
Hata watch ⌚️100 atafikia nyakati kama hizi, no stone will remain unturned!!

Ukiuwa utauwawa tu!
Ukitesa na kudharau(kama Tulia) utateswa na kudharaulika tu. Ona sasa anaandika vibonzo tu huko FB hana nguvu tena.

It's nature, you guys call it karma!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom