Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23...
3 Reactions
9 Replies
350 Views
Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais Samia Suluhu. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman...
5 Reactions
30 Replies
919 Views
  • Redirect
Uchambuzi wa video na picha ulikuwa sehemu kubwa katika uchambuzi wa tume, hususan katika kuelewa madhara ya kibinadamu. Jumla ya picha mnato 450 na picha mjongeo (video) 880 zilikusanywa kwa njia...
0 Reactions
– Replies
– Views
Jaji Chande akielezea kuhusu vichocheo vya matukio ya Oktoba 29, 2025 amesema kuwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto za wananchi zilizotokana na vyanzo mbalimbali kama fursa...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Huu ndio utabiri wangu huku Tundu Lissu akiwa ndio mlengwa mkuu ili tu isionekane ameshinda kesi ya uhaini bali ametoka kutokana na mapendekezo ya Tume. Pia, mtarajie habari ya maridhiano...
4 Reactions
9 Replies
216 Views
Kazi ya uchunguzi ilihusisha maeneo 202 yaliyoathirika zaidi katika wilaya 21 na mikoa 11, tume pia ilitembea Zanzibar na Kilimanjaro kama sampuli ya maeneo ambayo hayakuwa na ghasia ili kujifunza...
0 Reactions
3 Replies
287 Views
  • Redirect
Jaji Chande amesema baadhi ya Wanasiasa na wanaharakati walishawishi Wananchi kushiriki ghasia
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Jaji Chande ni nguli kweli kweli kwenye mambo haya!.. 🚨Tuna imani kubwa sana kuwa ripoti hii itaeleza ukweli wa nani alikuwa nyuma ya vurugu za 29 Oktoba 2025 🚨Kwa uzoefu huu wa Jaji Chande...
1 Reactions
– Replies
– Views
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa tasnia ya mazao ya bustani siyo tu sehemu ya sekta ya kilimo, bali ni sekta ya kimkakati ya biashara ya kimataifa inayounganisha Tanzania na Masoko...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Jaji Chande anasema kuwa kuna vyama vya siasa vichache, wanaharakati, wanasiasa na viongozi wa NGo wachache walioalikwa kufika mbele ya tume lakini hawakufa hivyo
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Asema kuna miradi inakwama utekelezaji sababu ya migawanyiko WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa waepuke migogoro na mizozo kwa sababu kuna miradi...
1 Reactions
0 Replies
139 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa tasnia ya mazao ya bustani siyo tu sehemu ya sekta ya kilimo, bali ni sekta ya kimkakati ya biashara ya kimataifa inayounganisha Tanzania na Masoko...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.
0 Reactions
0 Replies
186 Views
Namuona hapa Kaimu Balozi Andrew Lentz akiwa Ikulu akisubiri ripoti ya Jaji Chande Wachina na Warusi sijawaona hapa, au hii ripoti haiwahusu? ?
1 Reactions
7 Replies
193 Views
Tume ilipewa majukumu 6 kwa mujibu wa hadidu za rejea (ToRs) mara baada ya kuundwa kwake ambazo ni; 1. Kuchunguza na kubainisha chanzo halisi cha ghasia zilizotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu...
1 Reactions
10 Replies
210 Views
  • Redirect
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel...
0 Reactions
– Replies
– Views
Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima...
12 Reactions
85 Replies
2K Views
RIPOTI YA JAJI CHANDE JE NI MWISHO WA CHADEMA KISHERIA? Leo tarehe 23 Aprili wakati ukweli wa matukio ya tarehe 29 Oktoba ukiwekwa hadharani na Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman tunaona...
0 Reactions
14 Replies
300 Views
Toka Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kwakweli tumeona mabadiliko makubwa sana kwenye masilahi ya kiutumishi, amekuwa akipandisha madaraja analipa arrears anapandisha mishahara...
2 Reactions
21 Replies
394 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…