"Hebu tafakari:
Mwanasiasa anasimama mbele ya wafuasi wake na kuanza kuwaponda viongozi wa Serikali kuwa hawana akili au ni wajinga, akidai hawawezi kuleta maendeleo; wakati huo huo, huko...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akizungumza na vyombo vya habari leo Jijini Dar es Salaam, John Mnyika ametangaza Kamati kuu ya chama hicho kufanya kikao maalum Aprili...
Kwa wanaoelewa huwezi kuwa mzalendo halafu ukaunga mkono kupinduliwa kwa demokrasia waziwazi October 29.
Pigania nchi na acheni ujinga kwa kuona powa hata kama wewe sio mpinzani.
Kuna watu...
UWAJIBIKAJI
Namna ya kufikia uwajibikaji ina vipengele vitatu:
1. Uwajibikaji binafsi – mtu kuwajibishwa kwa kosa alilotenda yeye mwenyewe, iwe ni kosa la madai au jinai, kwa kuzingatia vigezo...
BONI YAI AKUMBANA NA AIBU NZITO BAGAMOYO
Picha hii iliyopigwa Bagamoyo Aprili 26, 2026 katika Mkutano wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jacob (BoniYai) inaacha ujumbe mmoja mzito kwamba...
"Africa inasalia kuwa bara pekee duniani ambapo kiwango kikubwa cha wanaharakati na wanasiasa wenye 'unguchiro' wanadai haki, ilihali wao wenyewe wanashindwa kuitekeleza misingi hiyo.
Ni taswira...
Ndugu, wana Jamii forums,
Mjadala kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Umekuwa mzito sana, lakini ninadhani cha mhimu ni kuuweka ukweli hapa Jamii forums, yaani nyaraka halisi za Muungano...
Balozi Luteni Jenerali Paul Mella moja wa wajumbe wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, akijibu swali la Mwandishi wa habari kuhusu Madai ya Mtaani kuwepo...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, John Heche amelitaka Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kuwaachia viongozi na wanachama wa mkoa huo wanaodaiwa kukamatwa Aprili...
Haya nawaulizeni nyie Wazushi na Watu wenye Chuki za Kishamba na Kipumbavu kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali yake je, na hizi nchi zingine tajwa hapa katika hii Taarifa ya Reuters nazo pia...
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Mhe. James Bwana, amefafanua kuwa video inayosambaa mitandaoni haihusiani na matukio ya hivi karibuni ya vurugu dhidi ya raia wa...
Jaji Mkuu Mstaafu Ibrahim Juma, Mjumbe wa Tume ya kuchunguza matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu 2025, amesema hayo leo Aprili 28, 2026 wakizungumza na vyombo vya habari
Taifa liweze kupona msingi wake lazima huwe ukweli na uwajibikaji sasa hii Tume Jaji chande imejikita kwenye propaganda za kitoto Je kweli nyie mnataka kuliponya Taifa...
Salaam,
Leo Makamu Mwenyekiti akiwa kwenye Mkutano wa Ndani ya chama huko Kibamba Shule Dar Es Salaam, amesema Huyu mama anayeongoza Nchi, alitoa ndege ifuate ndugu zake na Familia yake huko...
Watanzania wengi wamesikitika sana kuona kuwa eti Act Wazalendo inaungana na Chadema kupinga ripoti ya kada wa CCM Chande Othman.
Act Wazalendo ilikuwa pamoja na CCM mtandao. Chama cha mafisadi...
Jaji Mkuu Mstaafu Ibrahim Juma, Mjumbe wa Tume ya kuchunguza matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu 2025, amesema hayo leo Aprili 28, 2026 wakizungumza na vyombo vya habari
Nyumba kwa nyumba wanachama washawishiwe kujiandikisha. Iundwe timu maalumu kushughulikia hili.
Ndani ya miezi sita Chadema itakuwa na wanachama wengi.
Gen Z iwe kipaumbele. .Baada ya hapo...
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026