Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Halima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika. "Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni...
6 Reactions
88 Replies
9K Views
Nimeona kitu kinachofanyika ama sijui ni tanesco ama ni jiji ila kwa namna nilivyoona ni uharibifu ni kweli inawezekana kwamba miti hii inazuia ama inaleta madhara kwenye nyaya na njia za umeme...
0 Reactions
3 Replies
646 Views
Salamu kwenu wadau!!! Nchi yetu kupitia jeshi la polisi imeingia dosari kubwa baada ya polisi kuhussishwa na mauaji mengi ya RAIA nchini, hii nikutokana na aidha majukumu yao au ni ishara ya...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Nimeshindwa kuwaelewa Watanzania msimamo wenu uko vipi? Je ni kweli tunajua ni kitu gani tunahitaji au ni yupi tunamtaka.....Yawezekana hata tungeongozwa na Malaika bado lawama haziwezi kukoma...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Lutenant Denis Urio kwa Sasa anateseka na pande mbili, upande wa Kwanza ni upande watetezi wa Mbowe na washitakiwa wenzake. Pia upande wa pili ambao unamtesa Leutenant Denis Urio ni upande wa...
12 Reactions
39 Replies
4K Views
Mzee Siro ni Moja ya IGP aliyewahi kuongoza jeshi kipindi Kuna mauaji mengi Sana akifutiwa Kwa karibu na Mzee Mahita. Siro amepokea jeshi kipindi Cha saga la Kibiti na Toka hapo mauaji yaliendelea...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nawaletea maelezo live
1 Reactions
526 Replies
51K Views
Humphrey Polepole amesema kuwa "Mambo ya Machifu yanatusaidia nini kama taifa?nasema jambo hili sio jema,naliona linadhoofisha Utanzania wetu,likiendelea bila kukemewa litaibua tuliyoyazika ya...
41 Reactions
185 Replies
13K Views
Rais Samia Suluhu akiwa mkoani Mara kuweka jiwe la msingi kwenye mradi wa maji ameongelea suala la miradi ya Serikali. Ameuongelea mradi huo ulioanzishwa na Serikali ya awamu ya tano lakini...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amezungumzia mauaji yaliyotokea Mtwara ambapo maafisa wa Jeshi la Polisi wanatuhumiwa kuhusika na mauaji ya mfanyabiashara Mussa Hamisi ambapo Jeshi limeunda kamati...
12 Reactions
146 Replies
12K Views
Tuhuma za kijana wa ACT Wazalendo kupigwa siku ya mkutano wa kuwachagua viongozi wao pale Mlimani City Abdu Nondo leo amekiri ni kweli alipigwa makofi mawili matatu tu. Wanachama wa visiwani...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM. Akizungumza leo Jumapili Februari 6, 2022...
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Wazee wa Chadema mkoani Kigoma wamemchukulia fomu Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake Freeman Mbowe leo kutaka agombee uenyekiti katika uchaguzi wa Septemba mwaka huu. Wazee hao...
10 Reactions
319 Replies
32K Views
Nilikuwepo Februari 1977, nilishiriki paredi ya chipukizi wa chama kipya cha CCM, wakati ule hata Mwenyekiti na viongozi wenzake hawakujivika mavazi yenye rangi kama bendera. Leo wanafiki wanavaa...
4 Reactions
19 Replies
769 Views
Ikumbukwe kwamba mradi wa hospitali hiyo ulianza kutekekezwa na kusainiwa katika serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa DR JOHN POMBE MAGUFULI mradi huuu kabla hajafariki ulikuwa umefikia...
2 Reactions
1 Replies
601 Views
Kiukweli hata ikitokea akastaafu leo IGP Sirro atakumbukwa kwa uongozi wake wa kisayansi ambao haukuamini katika kutumia maguvu bila akili. Kadhalika wanasiasa tutamkumbuka kwa namna ambavyo...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Eti Polepole anapinga uchifu awamu hii ya sita wakati awamu ya tano hakupinga - Acha ikae hivyo hivyo! Eti alipata kura za Uspika 100% wakati za chinichini zinaonesha kuna waliomkataa - Acha ikae...
23 Reactions
50 Replies
3K Views
Nina tatizo la waandishi wa habari wa Tanzania - huwa hawajui kufuatilia mambo, na mara nyingi wanaishi kwa ajii ya siku iliyopo tu. Kuna wakati kurugenzi ya Habari ilitangaza kwamba Chancellor...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi. Majaji na mahakimu wa Kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya...
5 Reactions
55 Replies
4K Views
Wanabodi JF! Nawasalimia popote mlipo. Moderators JF! Pia nawasalimia,nikiwatakia kazi njema. Twende kwenye mada yangu! Hivi sasa nchini imekuwa jambo la kawaida, kuwaona au kuwasikia viongozi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…