Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari Member's [emoji871]Katika ufanyaji siasa za upinzani nchini,tunavyo vyama vingi vya siasa na kila kimoja kikiifuata na kuitekeleza katiba yake. Kwa mujibu wa sheria ya usajili wa vyama...
23 Reactions
60 Replies
4K Views
Mengi yanayoipata nchi yetu kubwa likiwa ni kuzidi kuwa tegemezi kwa wahisani kisababishi kikubwa ni roho ya uoga tulijengewa na wakoloni na kisha muhasisi wa baba wa taifa akaja akagongelea...
1 Reactions
4 Replies
429 Views
Makamo wa Rais Mama Samia amesema leo ndiyo mwisho wa tatizo la kukatikakatika kwa umeme nchini Muheza. Makamu wa Rais nchini Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema tatizo la kukatika umeme mara...
6 Reactions
60 Replies
8K Views
MVUVI HALISI MITEGO HAKOSI. Mjadala mzito wa chuki, kiburi, ujuwaji na tambo unaendelea kupamba moto mitandaoni. Si kuwa tayari kupitwa kwa vile dhulma sio tu kama naichukia, bali napambana nayo...
1 Reactions
3 Replies
581 Views
Hii ni Summary. Utaongezea nyama ili ambaye hakuwa anaifuatilia apate kuelewa zaidi. Kwa mtazamo wako Je?. wana kesi ya kujibu au Lah. Kwa mtazamo wangu. Mbowe na wenzake hawana kesi ya kujibu...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Tundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri...
37 Reactions
134 Replies
9K Views
Mtu yoyote awe Rais au nani hawezi kuishinikiza mahakama kufanya maamuzi kwa matakwa yake. Mahakama inapofanya maamuzi inatakiwa kuzingatia katiba ya JMT na sheria za nchi. Presha na ngojera...
1 Reactions
7 Replies
903 Views
Nikiri wazi mimi nimekuwa muumini wa siasa za upinzani tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini. Kwa hiyo haya maoni sio kwa sababu ya chuki na wapinzani. Sina historia yoyote...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Freeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo Moyo wako unajua Nia yako uliyodhamiria kuitendea hii nchi Kuna mengi mazuri umeyafanya...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Mabalozi kadhaa wanaowakilisha nchi zao za Ulaya na Maeneo mengine ikiwa ni pamoja na jumuiya za kimataifa , EU na UN , leo wameonekana Mahakamani wakifuatilia hukumu ndogo dhidi ya Mwamba wa...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Hii ndio Kashfa mpya inayozunguka kwenye Manispaa hiyo kwa sasa , ikiwa ni siku chache tangu kashfa ya Mwenyekiti wa ccm wa wilaya hiyo kutafuna zaidi ya sh. mil 300 za vikundi kuibuliwa...
7 Reactions
43 Replies
5K Views
Binafsi na kwa Umri wangu huu sijawahi kuona Rais mnyenyekevu na mpole kama huyu (She is so simple ever). Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba na kuwasihi watanzania wote wanaopenda amani, utulivu na...
19 Reactions
73 Replies
6K Views
Umoja wa wasomi wa vyuo vikuu wanaotokea wilayani Ngorongoro wamezungumza masuala mbalimbali kuhusiana na wilaya yao. wameeleza sababu za wao kujaza mifugo hifadhini humo walipozungumzia habari...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwenye turntable DJ ni Julius Malema akiwarusha wafuasi wake wa EFF: Kwetu Sirro akisikia Chadema wana shughuli, tegemea kuwaona Kingai na Msemwa wakiwa na DR mkononi kutokea kusikojulikana...
12 Reactions
28 Replies
3K Views
Kama Kiongozi kamwe usiwe katikati, chagua upande ambao utaona unakufaa na uende mazima siyo nusu nusu, nusu nusu itakufaa tu kama kila kitu kiko sawa, lkn kikinuka hauna msaada wowote na...
1 Reactions
4 Replies
960 Views
Mfumo wetu wa kuongoza nchi, ni mfumo wa kufikirika, ni mfumo wa kinadharia, ni mfumo wenye hadaa nyingi. Siku zote anayekuajiri, anayekupa kazi, ndiye mkuu wako wa kazi, ni kiuhalisia katika...
5 Reactions
7 Replies
774 Views
Ukisikiiza hii video hasa hizo figure zinatajwa hapo utagundua J Makamba anahitaji atupe maelezo ya kueleweka kuhusu UMEME. Lakini pia utagundua Hayati JPM tunamuonea sana, nimewaza tu hapa...
2 Reactions
6 Replies
724 Views
Mwanaharakati na Wakili msomi Ole Nguruma amesema hata kama itakuwa ni lazima kuwahamisha wamasai kutoka hifadhini basi wasipelekwe nje ya wilaya ya Ngorongoro. Ole Nguruma amesema Ngorongoro ina...
13 Reactions
60 Replies
5K Views
Wakuu, Kama kichwa cha thread hapo juu kinavyosomeka, Kuna Jambo la kujiuliza , ikiwa washtakiwa wamekutwa na kesi ya kujibu, kwanini jaji wa case hii na Wakili wa Serikali wanaforce Wakili wa...
11 Reactions
68 Replies
7K Views
Waziri Mbarawa yuko sahihi Askari wa Traffic wanachangia ugumu kwenye sekta ya Usafirishaji Alikuwa akiongelea kuhusu kupunguzwa kwa vituo vya mizani ili mizigo iwahi inakoenda alisema ni vizuri...
2 Reactions
4 Replies
873 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…