Reuters - At least 518 people were killed in violence that broke out during Tanzania's elections last October, a government-appointed commission of inquiry said on Thursday, in the first official...
Mh Rais walio kufa ni watanganyika je walijua ilo?
Je wangapi na ni ndugu zako?
Je ni Rais yupi aliwai kuwa Rais kwa mauaji ya watu hata 300?
Tanganyika?walikufa ni wengi kwa Nini usiqchei nchi...
Tume ya uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, imesema hakuna ushahidi uliothibitisha kuwepo kwa makaburi ya halaiki katika eneo la Kondo, jijini Dar es Salaam.
Hayo yameelezwa leo...
Rais Samia Suluhu Hassan ametumia vifungu vya Biblia na Qur'an kutoa wito wa toba, unyenyekevu na kuomba msamaha kwa Mungu kufuatia Matukio ya Oktoba 29 yaliyoikumba nchi.
Akinukuu Biblia katika...
“...vilevile inawezekana kulikuwa na majeruhi ambao waliamua kutibiwa nje ya mfumo rasmi, na wakafariki bila taarifa zao kufikishwa panapostahili.
Tume pia ilipokea ushahidi na madai kuhusu watu...
Baraza kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) limekutana kujadili na kuweka mwelekeo wa vipaumbele vya Mamlaka kuelekea mwaka wa fedha 2026/2027...
Nacheka kama mazuri Wakuu ila daaah ni zaidi ya kupewa za uso😂🤣
Eti jamani, si hata Chande angesema mirioni mirioni angalau hata tungeshawishika kidogo🤣🤣. Kweli jamani mtu akarisk na kupigwa...
Tunao usalama hata hapa nilipo kaa lipo linakunywa mabia tyuuuu!
Simlaumu yoyote nje ya boss wao yaani mpaka watu wanaingia nchini wanajificha wewe hukuwa na news au wataka niamini ulikuwa...
Hahahahahhhhhh hicho ni kilio sio kicheko, je walikufa ni wachache au wengi?
Nauliza je walikuwa wanawapinga wakina naninwasiingie ikulu?je uliepinga uliua 500 watu wajiskiaje?
“Kuna jina kutoka Arusha ametoa ushahidi kuwa alipewa Shilingi 50,000 ashiriki maandamano na akapewa ahadi ya Shilingi Milioni 5 akishiriki Maandamano”___Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio...
Tume ya uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, imesema hakuna ushahidi uliothibitisha kuwepo kwa makaburi ya halaiki katika eneo la Kondo, jijini Dar es Salaam.
Hayo yameelezwa leo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinarejea msimamo wake wa awali wa tarehe 19 Novemba 2025 kutotambua mchakato mzima wa Tume iliyoundwa na Samia Suluhu Hassan, na kinapinga kwa ujumla...
Jaji Chande anasema tume ilipata taarifa ya mauaji ya watu 13 katika kibanda cha kuonesha video ambapo anasema kuna shahidi alisema wanaodhaniwa kuwa askari walivamia kibanda hicho na kuwapiga...
Wakati wa uwasilishaji rasmi wa Ripoti ya Chande uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam tarehe 23 Aprili 2026, viongozi mbalimbali wa dini na siasa waliohudhuria walipongeza kazi ya tume hiyo na matokeo...
Namuona Nchimbi anaenda kuchekea bafuni!
Akiwa kama mnufaika mkubwa wa Ripoti ya Chande hasa pale Jaji kuonekana chawa kwa kuto kusema ni nani alitoa amri ya mauaji.
Raisi Samia ameomba mtu yoyote hatakiwi kuomba Ripoti ya Tume ya Jaji chande kwasababu hiyo Ripoti imeandaliwa kwaajili yake na yeye ndio aliounda hiyo tume.
📍NIRC Dodoma.
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde, amezindua Baraza la Sita la Wafanyakazi la Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), huku akitoa wito kwa watumishi wa Tume hiyo kudumisha...
23 Avril 2026
Dar es Salaam, Tanzanie
LA PRÉSIDENTE SAMIA HASSAN REÇOIT LE RAPPORT DE LA COMMISSION D’ENQUÊTE SUR LES TROUBLES ÉLECTORAUX DE 2025
https://m.youtube.com/watch?v=B_iAgTSLBrU
Son...