Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuyaruhusu na kuyarahisisha maandamano, ndo mbinu nzuri ya kuzuia machafuko yanayotokana na maandamano. Maandamano yakifanywa kuwa kitu cha kawaida kwa watanzania; basi ustaarabu wa kuandamana...
1 Reactions
20 Replies
451 Views
Watu hawadanganyiki kizembe tena. Yale mambo ya kupigwa makofi halafu kupewa peremende kama watoto wadogo sasa yamekwisha. UZI TAYARI.
8 Reactions
9 Replies
291 Views
Nina uchungu nalia hakika Leo hii angekuwepo Nyerere Angelia mara mia ya Mimi. Kitendo Cha kusherekea uhuru wa miaka 64 paspo kwa kufungiwa ndani ni UPUMBAVU wa Hali ya juu mno. Tunajiuliza...
5 Reactions
10 Replies
311 Views
Polisi wamejazana mijini hata waandishi wa habari wamezuiwa hii ni mbinu ya kutaka watu wasielekee ikulu na kuficha upatakanaji wa habari
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa Kanisa Katoliki linasimamia ustawi wa jamii, heshima...
11 Reactions
54 Replies
1K Views
Kama ambavyo tumeshuhudia shughuli nyingi zikisimama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma, hali iliyo tofauti na ilivyozoeleka katika siku za kawaida. ambapo katika baadhi ya mitaa...
1 Reactions
0 Replies
180 Views
Jeshi la Polisi limewataka wananchi kupuuza picha mjongeo inayosambaa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha." Polisi wamefafanua kuwa...
1 Reactions
5 Replies
293 Views
Hivi watawala wataishi kwa kuogopa mpaka lini? Hii dhuruma waliyoifanya itawaandama kila siku,kwa nini msiwape wanainchi wanachokitaka,wamue yaliyomo ndani ya mioyo yao. Huu ushindi wa asilimia...
2 Reactions
4 Replies
166 Views
Ni huyu Rose Mayemba na genge lake huko ukimbizini Kenya. Wanapost video za Oktoba 29 kiasi cha kutoa morali ya wapenda mabadikiko. Inaonekana ni upuuzi. Hawako serious.
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Hii ndiyo hali ya mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Kahama kama unavyoona pichani. Baadhi ya watu wameendelea na shughuli zao kama kawaida huku idadi kubwa ya biashara zikiwa zimefungwa, Vikosi vya...
1 Reactions
1 Replies
272 Views
Jeshi la Polisi lingependa kueleza kuwa, kuna hii picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza. Hakuna jambo kama...
2 Reactions
3 Replies
312 Views
Mkoa wa Iringa asubuhi ya leo 9 Disemba 2025 katika siku ambayo ni Sikukuu ya Uhuru Nchini
0 Reactions
1 Replies
232 Views
Wanaukumbi. Ni mtu mjinga tu ambaye angeweza kudhania kuwa Rais Samia angejitokeza hadharani na kuongea na wazee wa Dar Es Salaam na kuanza kutiatia huruma na kubembeleza watu!.. Rais Samia...
10 Reactions
109 Replies
3K Views
Ukaguzi wa Usalama kwa Njia ya Anga, Helkopta ya Kijeshi Ikizunguka Maeneo mbalimbali ya Dar Es Salaam wakiangalia Usalama. Vipi hali huko mitaani wakuu?
0 Reactions
4 Replies
248 Views
Rasmi leo Disemba 6 adhabu ya kufungiwa kwa jukwaa letu pendwa la JamiiForums imemalizika JF Ilipata ban tarehe 6 September 2025 kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na...
18 Reactions
100 Replies
4K Views
Hii Ndio Hali Halisi Ilivyo Mitaa ya Kwa Msuguri Mbezi Jijini Dar Es Salaam Leo Disemba 9, 2025 . Kuna Hali Ya Utulivu kufuatia Maagizo ya Serikali ya Kuwataka Wananchi wasio na Ulazima Wa Kutoka...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Huo ndio ukweli mchungu. Mambo hayo yanaweza kupatikana ai kufanikiwa tu wakati Samia na watuhumiwa wenzake wakiwa wanajitetea ICC au teyari ni wafungwa katika magereza mbalimbali duniani na si...
1 Reactions
0 Replies
134 Views
Hivi ndivyo hali ilivyo siku ya leo Disemba 9 mkoani Ruvuma katika maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika.
0 Reactions
2 Replies
270 Views
Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____ Utesaji unalivunjia heshima taifa letu. Zipo taarifa za uhakika kuwa katika jitihada za vyombo vya ulinzi...
1 Reactions
3 Replies
290 Views
Wakaazi wa jiji la Dar es Salaam Tanzania waelezea adha ya usafiri mapema leo. Leo ni sikukuu ya Uhuru nchini Tanzania, na siku ambayo pia yamepangwa kufanyika maandamano ya kuipinga serikali...
1 Reactions
4 Replies
305 Views
Back
Top Bottom