Mama Mpendwa Shalom
Mwenendo uliopo mpaka sasa, japo tunakupongeza kila kona kwamba unaupiga mwingi mambo ni magumu.
Hawa walioko vijijini ambao ndo hasa wapiga kura wako hawajui habari ya...
Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu?
Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60.
Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo...
Akiwa mbunge wa Kigoma Mjini kupitia Chadema mh Zitto Kabwe alikataa kupokea Sitting allowance pale bungeni na alipolazimishwa alimtaka Spika Makinda aielekeze jimboni Kigoma kwa wapiga kura wake...
Siku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi.
Je...
Kilichopelekea Chadema kufanya vibaya uchaguzi uliopita pengine ni kukosa Uhuru wa Kufanya Siasa, Uhuru wa kuwafikia watu, uhuru wa kufanya mikutano ya hadhara, uhuru wa mikutano ya ndani, na...
Viongozi wetu mnafanya kazi kubwa sana katika kuhakikisha Jamii inafika au inapata kile ambacho inakusudia kupata kutoka kwa viongozi waliowachagua au kuwaweka madarakani. Katika kuhakikisha hili...
Kuna baadhi ya vitu vinavyotokea ambavyo viko nje ya uwezo wa mtu mmoja au kundi fulani la watu. Kwa mfano, suala la upandaji wa bei ya mafuta katika kipindi hiki cha vita ya Urusi na Ukraine liko...
Walimu wawili wakifundisha katika jengo moja lenye wanafunzi wa madarasa tofauti, la pili na la tatu katika Shule ya Msingi Ifua, Kitongoji cha Ifua wilayani Kilolo, mkoani Iringa
Jengo lenyewe...
Awali ya yote niipongeze serikali na viongozi wake kww kazi wanaifanya japo kama Taifa tunaona kuna mabadiliko makubwa ya kimfumo yanatakiwa kufanyiwa kazi ili Taifa hili liweze kwenda mbele...
LISSU NA GENGE LAKO HIZI SIASA ZIMEPITWA NA WAKATI
Siasa ni maisha ya watu lakini tunapoona baadhi ya vyama vya Siasa nchini vinageuza siasa kuwa uwanja wa chuki na kuneneana uongo ni jambo...
Wakuu
nawakumbusha tu wanachadema na wafuasi wa Lisu na Lema baada ya kukimbia nchi kwa sababu ambazo sasa hazipo umewadia
Lissu na Lema waliutangazia umma mwishoni mwa mwaka jana kuwa watarejea...
Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.
Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa...
Tunachagua kama vipofu, kisha tunalalama kama vichaa. Sasa tuamue: ama tuchague viongozi wetu kwa makini, au tukae kimya wakati wakitunyanyasa. Wachagua hovyo wasiwe wasema hovyo wakitendewa...
Mpaka wa Tanzania na Rwanda upande wetu Tanzania ndio mpaka pekee unaoweza kupitisha magendo ya aina yoyote iwe kutokea Rwanda ama Congo DR.
Ndio mpaka unaolindwa kizembe kuliko huenda kuliko...
Ikiwa leo ndio kumbukumbu ya Kifo cha mmoja wa waasisi wa Mungano wa Tanganyika na Zanzibar , viongozi wa Taifa letu waliopo sasa ni kama vile hawana hata habari , wanaendelea na mambo yao tu kama...
Hizi hapa ni malighafi ambazo Russia wanazisambaza duniani. wanasambaza 8.4 ya mafuta yote Duniani.
Mbolea inayotegemewa duniani wao wanategemewa zaidi ya 45% halafu waingie vitani uje kumlaumu...
UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao.
Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na...
Juzi Rais Samia ametangaza tozo ya shilingi 100 kwa kila lita moja irejeshwe katika kodi ya mafuta.
Hapohapo wafanyabiashara wa mafuta hayo hawajalalamika bali wamefurahi maana wao wapata faida...
Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi amesema kuna viongozi wa upinzani ambao badala ya kuunganisha nguvu na kuijenga Zanzibar wao wamekuwa mstari wa mbele kuisema vibaya serikali.
Dkt. Mwinyi amesema...
Nimeona kwenye news kuwa serikali imefanya malipo ya ndege tano mpya. Dreamliner moja, boeing 737-9 mbili na Dash 8 q 400 moja. Malipo haya kwa haraka haraka yanakadiliwa kugharimu zaidi ya...