Zitto Kabwe ni mbunge pekee wa CHADEMA zama zile aliyekataa posho ya Kukaa bungeni na kugoma kuipokea, huo ndio uzalendo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,779
141,663
Akiwa mbunge wa Kigoma Mjini kupitia Chadema mh Zitto Kabwe alikataa kupokea Sitting allowance pale bungeni na alipolazimishwa alimtaka Spika Makinda aielekeze jimboni Kigoma kwa wapiga kura wake zikajenge madarasa na vituo vya afya.

Huyo ndio Zitto Kabwe wa Buzwagi the Original.
 
Akiwa mbunge wa Kigoma mjini kupitia Chadema mh Zitto Kabwe alikataa kupokea Sitting allowance pale bungeni na alipolazimishwa alimtaka Spika Makinda aielekeze jimboni Kigoma kwa wapiga kura wake zikajenge madarasa na vituo vya afya.

Zitto ni mjumbe pekee mwenye tabasamu hapo:

IMG_20220406_115702_280.jpg
 
Akiwa mbunge wa Kigoma mjini kupitia Chadema mh Zitto Kabwe alikataa kupokea Sitting allowance pale bungeni na alipolazimishwa alimtaka Spika Makinda aielekeze jimboni Kigoma kwa wapiga kura wake zikajenge madarasa na vituo vya afya.

Huyo ndio Zitto Kabwe wa Buzwagi the Original.
Zitto ni Mzalendo wa ukweli

P.
 
Si walisema ziliwekwa kikanuni (Fedha za Makalio/ Sitting allowance) hivyo Mbunge anapozipinga zilikua ni 'Siasa hewa' wakati alikua anaingiziwa kwenye account.

Hivi kulikua na ushahidi wa dhahiri kabisa kwamba Fedha zile zilikwenda huko ulikotueleza?
Zilikwenda bwashee.

Ila wale akina Nassari waliendelea kuingiziwa kunako account!
 
Akiwa mbunge wa Kigoma mjini kupitia Chadema mh Zitto Kabwe alikataa kupokea Sitting allowance pale bungeni na alipolazimishwa alimtaka Spika Makinda aielekeze jimboni Kigoma kwa wapiga kura wake zikajenge madarasa na vituo vya afya.

Huyo ndio Zitto Kabwe wa Buzwagi the Original.
Na alipohamia ACT posho ikaenda wapi!?
 
Akiwa mbunge wa Kigoma mjini kupitia Chadema mh Zitto Kabwe alikataa kupokea Sitting allowance pale bungeni na alipolazimishwa alimtaka Spika Makinda aielekeze jimboni Kigoma kwa wapiga kura wake zikajenge madarasa na vituo vya afya.

Huyo ndio Zitto Kabwe wa Buzwagi the Original.
Zitto ni mchumia tumbo, haaminiki hata kidogo. Kila anachokifanya hamaanishi
 
Na alikuwa akichukua bahasha za mashirika ya umma alipokuwa PAC
MZigo wa nssf waliufaidi na ustadh Dau
 
Akiwa mbunge wa Kigoma Mjini kupitia Chadema mh Zitto Kabwe alikataa kupokea Sitting allowance pale bungeni na alipolazimishwa alimtaka Spika Makinda aielekeze jimboni Kigoma kwa wapiga kura wake zikajenge madarasa na vituo vya afya.

Huyo ndio Zitto Kabwe wa Buzwagi the Original.
To be honest namkubali sana Zitto, Zitto ali-play part kwa nafasi ya nchi mzima.
Zitto alikuwa akimama kulielezea suala la mkoa wa Lindi mathalani waweza fikiri kuwa huyu Zitto ni Mbunge wa jimbo mojawapo la mkoani Lindi.
Alikadhalika akiongelea masuala ya Kilimanjaro hali ni hiyo hiyo hama kweli Zitto ni wa hivyo.
 
Back
Top Bottom