Kumekucha wana JF
Niende kwenye Mada kiufupi sana.
Binafsi nimekuwa disappointed na hii Wizara. Na Moja ya Jambo la hovyo kabisa ni kusema Vijana watume Maombi kwenye E-mail address ya Wizara of...
Binafsi naamini teyari kuna watu wanajua kilichopo kwenye hiyo ripoti ya Jaji Chande wakiwemo watuhumiwa wakuu wa mauaji ya Oktoba 29.
Kwahiyo, kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari cha huu...
Naambiwa leo Jiji la dar polisi wenye silaha wametapakaa kila kona.
Ni wazi kesho CHANDE Anakuja kuongea visivyoeleweka
Usitegemee jipya kesho jiandae kupasuka moyo mara 200..by SATIVA
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema wanatarajia kupokea taarifa ya Uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Mshauri wa chama hicho, Ali M. Kibao aliyeripotiwa kuuawa na watu...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kukusanya ushahidi kutokana na taarifa ya Hilda Newton aliyochapisha na kusambaza katika Mitandao ya Kijamii tarehe 10.4.2026...
Unaandikwa kwenye vitabu vya wauaji na kutetea uovu. Chande jiuzulu, achana na UOVU unaotarajia kuutangaza kwa Watanganyika ( wazazibari hayawahusi).
Unajiwekea laana kwa Mungu wetu wa mbinguni...
Wakuu,
Mzigo unaangushwa kesho mezani, tujue nini hasa tume ya Chande imekikusanya kutokana na hadidu rejea walipewa. Toka wiki iliyopita tunaona video baada ya video za mahojiano na watu...
Guys guys
Kweli waliosema hii tume ni sawa na mwanaume ajichunguze mwenyewe kama ana mchepuko imedhihirika wazi wazi kabisa.
Hii tume inatarajia kutuletea madhara tu wala si kusema nani...
MAELEZO MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKIWASILISHA USHAHIDI WA VIELELEZO KWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. TULIA ACKSON (MB) KUHUSU...
Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.
Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania...
Madogo wa Malawi katika baadhi ya taasisi zenye herufi 3 hadi 7 wanakula mema ya nchi, na hakuna wa kuwahoji wamezipataje, kila mtu yupo bize na urefu wa kamba yake.
Wanaosema matumaini na tume! Je mna matumaini na Mama! Ile ya jinai ilikuwaje?
Hata tume iseme nini kama hakuna utekelezaji na Mama akaendelea kudanganya na kujidanganya hii tume itakuwa...
Licha ya Mataifa ya Afrika kuridhia mfumo wa vyama vingi kuanzia miaka 1989, baadhi yao yameshindwa kuendeleza demokrasia ya vyama vingi, huku watawala waliochaguliwa na wananchi wakiziendesha...
Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais Mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera leo Aprili 10 amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya vyama vya siasa na watendaji wa Serikali jijini...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Emmanuel Nchimbi, amewashukia viongozi wanaotumia vibaya dhamana ya uongozi kwa ajili ya kujinufaisha, badala ya kuwatumikia wananchi waliowachagua. Akizungumza...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiinuliwa na Mungu hakuna awezaye kukushusha na kukuvuta nyuma. Hakuna mwanadamu awezaye kuondoa kibali apewacho Mwanadamu kutoka kwa Mungu. Aliyebarikiwa kabarikiwa tu...