Jaji Chande amesema kuwa tume imebaini kuwa kuhusu maridhiano na katiba mpya, tume imebaini kuwa matukio ya Oktoba 29 pamoja na changamo vimesababisha nyufa na majeraha kwa taifa hivyo maridhiano...
"Ile ni ngazi ya kwanza ambayo polisi tu, kwa sura yake na nguo alizovaa, inasambaza makundi yaliyokusanyika. Lakini yapo pia maeneo mengine kutokana na kiwango cha tishio kwa uhai wa askari au...
Heri ya Mwaka mpya 2026 kwa kila mmoja, Mungu awe pamoja na kila mmoja kwa mwaka mzima.
Katika hotuba ya Mhe.Rais ya kuaga mwaka 2025 na kukaribisha mwaka 2026 alizungymzia suala la kuanzisha...
Sheria za kimataifa za kitaifa na kikanda, haziruhusu maandamano na waandamanaji kubeba silaha.. waandamanaji walibeba silaha mbali mbali za kijadi hivyo kuwa ni machafuko si maandamano
Wakuu
Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025...
Utabiri wangu ni huu;
1) Hakukuwa na Maandamano bali matendo ya uvunjifu wa amani
2) Jeshi la polisi katika kujihami lilitumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya waandamanaji
3) Jeshi la polisi...
Kwa mujibu wa Jeshi la polisi sababu za kupotea watu ni kwa sababu ya mapenzi, imani za kishirikina, waliotekwa na watu wakitaka pesa ama mali, wahalifu ambao wanalipiana kisasi na wengine...
"Pasipo na shaka, kuwa matukio ya ghasia ya tarehe 29 Oktoba yalipangwa, yaliratibiwa, yalifadhiliwa na kutekelezwa na watu waliopata mafunzo.
Waratibu walitumia mbinu mbalimbali, ikiwemo...
Jaji Chande anasema katika ghasia za Oktoba 29, sekta ya fedha pia ilipata hasara ambapo kiasi cha tsh. milioni 627.7 ziliporwa na kuibiwa katika ATM za CRDB, NMB na NBC
"Tume pia ilifanya ukaguzi na kubaini
kuwa eneo la makaburi ya Kondo linazungukwa na makazi ya watu, na ambalo bado linatumika kwa shughuli za kilimo cha msimu na lina ulinzi muda wote. Kutokana...
Vilevile, Tume iliwashirikisha wataalamu mbalimbali ili kufanya uchunguzi wa kisayansi kuhusu madai hayo ikiwa ni pamoja na picha ya satelaiti iliyotumika. Maoni ya wataalam hao, wakiwemo wa...
MADAI YA KUWEPO KWA MAKABURI YA HALAIKI
“Kulikuwepo na madai kupitia vyombo vya habari vya kimataifa na mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa makaburi ya halaiki katika eneo la makaburi ya Kondo...
Jaji Chande amesema hayo wakati Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025...
Kumbe waliwapa watu simu ili wapige picha na kurekodi video ili kutuma kwenye mitandao ya kijamii ili watumie kama hamasa ya watu kupata hasira na kutoka nje?
#UkweliOktoba29
JAJI CHANDE AKIWASILISHA MUHTASARI WA RIPOTI YA TUME YA UCHUNGUZI
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Mkuu...
Tanzania katikati ya matumaini na mashaka, ikisubiri ripoti ya Oktoba 29
Tanzania kwa sasa iko katika wakati wa kipekee na wenye uzito mkubwa wa kihistoria. Ni kipindi cha kusubiri, kutafakari...
Tume ilibaini kwamba, ghasia na maandamano yale yalipangwa, yaliratibiwa na yalifadhiriwa….na wale walio ratibu na kufadhiri, wali train pia watu wa kufanya ghasia zil
Mfano; watoto wanaoishi...
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman akisoma Muhtasari wa Ripoti ya...