Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

DC. Jokate Mwegelo: Ametoa siku saba kwa wenyeviti wa serikali za mitaa kuunda Vikundi vya Ulinzi Shirikishi katika Mitaa yao. Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Temeke...
7 Reactions
124 Replies
7K Views
Kati ya mwaka 2015-2020 chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kilikuwa na wabunge wengi bungeni pamoja na kufanya vizuri kwenye kura za urais. Hali iliyokifanya kupokea ruzuku ya serikali...
2 Reactions
10 Replies
897 Views
Pamoja na wafanyakazi kula msoto kwa miaka 7... Narudia Tena miaka SABA! Bado Kuna watu wamenuna mama kutangaza JAMBO lake kwa wafanyakazi... Basi kama Kuna mtu amekasirika aende kule lile kaburi...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakati Rais wetu akiita 'Jambo Letu'... “Lile jambo letu lipo. Ndugu zangu jambo letu lipo ila sio kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwa sababu mnajua hali ya uchumi wa nchi yetu na hali ya...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu , Idd Mbaraka ANSWAR SUNNA , baada ya salamu za IDD , niingie moja kwa moja kwenye mada , nimeona mabango Mengi ya Wafanyakazi wanaopita mbele ya Rais yakiwa yameandikwa jambo moja tu ambalo...
20 Reactions
75 Replies
5K Views
Lazima mapema iwezekanavyo tuwe na katiba mpya ambayo itaweza kumdhibiti na kumuawajibisha rais anayetumia madaraka vibaya. Rais ambaye anaweza kugeuza ikulu ni mahala pa biashara na kutumia...
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Leo Marekani imeweka historia baada Donald Trump wa chama cha Republican kutangazwa mshindi wa kiti cha Urais, na tayari ameanza kupokea pongezi kutoka kwa viongozi wa nchi mbalimbali ikiwemo Rais...
15 Reactions
363 Replies
57K Views
Wakati wa akina Bruno Mpangala, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi lilipokuwa huru na lina viongozi wenye weledi na calibre ya kuongoza si tu Vyama vya Wafanyakazi, bali hata kuongoza nchi; siyo...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Chama cha Mapinduzi kinawashukuru na kuwapongeza wafanyakazi wote nchini kwa kuendelea kuitekeleza kwa Vitendo Ilani yao ya Uchaguzi 2020|25, Ifahamike kuwa kila mfanyakazi anayefanya kazi...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
UVCCM Mwanza" watapeli" mamilioni ya pesa, viongozi wagawana Katika hali ya kusikitisha Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, wanadaiwa kutapeli zaidi ya milioni 80. Tuhuma...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimeshangaa mzee wa tucta kwenye Mei mosi anawashurutisha wafanya kazi waungane na Rais wa CCM kwenye uchaguzi ujao! Wafanyakazi Ni Raia, Wana haki ya kuchagua yoyote awe Rais wao! Tucta bado...
0 Reactions
3 Replies
653 Views
Kila awamu huacha kumbukumbu zake muhimu wengine hutumia neno "Legacy". Kwangu mimi ninaamini wananchi na Taifa litamkumbuka Rais Dr JPM kwa mambo yafuatayo baada ya muda wake kuisha: 1. Nidhamu...
8 Reactions
486 Replies
31K Views
Nimeuliza swali hili kutokana na kauli ya rais Samia leo kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi. Kwamba hapa nchini waajiri wengi wa wasaidizi wa kazi za ndani, hawazingatii maslahi ya hao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanabodi ,Mfumuko wa bei au wengine wanaita Inflation haujaathiri bei za bidhaa tangu mwaka 2014 .Kwa kuwa mfumuko wa bei haujabadilika na bei za vitu hazijabadilika ndivyo hivyo uwezo wa watu...
3 Reactions
58 Replies
5K Views
Ili kuongeza ufasini na Kasi ya kuunganisha umeme wateja,Tanesco itaanza kutoa tenda kwa kampuni binafsi kufanya Kazi hiyo huku wao wakijikita kwenye uzalishaji na usambazaji. Bila shaka italeta...
4 Reactions
62 Replies
6K Views
Usiri wa serikali kuhusu wafadhili wa "Royal Tour" na gharama halisi zilizotumika. Pamoja na ukubwa wa msafara wa uzinduzi. Kipindi ni Medani za siasa kwenye Luninga ya Star TV.jioni hii...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Salam za mei mosi ndugu watanzania. Salam za idd el fitri ndugu wananchi. Nipo hapa natazama TBC maadhimisho ya mei mosi 2022 huku nikipitia baadhi ya nyuzi za wadau humu. Ukitazama kila...
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Kama mnafuatilia siasa kipindi cha nyuma kabla ya Mwenda zake, Wastafu kama Hayati Kawawa, Kingunge, Msuya na sasa John Malechela, Piusi Msekwa na wengineo walivyo kuwa wanatumika kusafisha...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Serikali ya Tanzania imesema zaidi ya shilingi bilioni 7 zilikusanywa kutoka kwa watu binafsi ili kufadhili uandaaji wa filamu ya Royal Tour. Serikali inakiri mambo haya: 1. Serikali ndio...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…