Rais ana ajenda ya democrasia nchini, lakini tucta bado wanataka mfumo wa chama dume!

Weakman

JF-Expert Member
Jul 23, 2021
860
1,382
Nimeshangaa mzee wa tucta kwenye Mei mosi anawashurutisha wafanya kazi waungane na Rais wa CCM kwenye uchaguzi ujao!
Wafanyakazi Ni Raia, Wana haki ya kuchagua yoyote awe Rais wao!

Tucta bado, Wana dhana ya siasa za chama dume! Kwamba Kuna vyama vingi ila Kuna chama dume!
 
Hiyo tucta Bora isiwepo tuu. Viongozi wake hawajitambui kwanini wapo pale.
 
Wapuuzi
Nimeshangaa mzee wa tucta kwenye Mei mosi anawashurutisha wafanya kazi waungane na Rais wa CCM kwenye uchaguzi ujao!
Wafanyakazi Ni Raia, Wana haki ya kuchagua yoyote awe Rais wao!

Tucta bado, Wana dhana ya siasa za chama dume! Kwamba Kuna vyama vingi ila Kuna chama dume!
Wapuuzi ndo maana hata mishahara hawapewi,
 
Back
Top Bottom