Je tume ya Raisi inaweza kusema ukweli kwamba tatizo kubwa ni dharau za Raisi Samia!. Tatizo na hizi tume ni za kichawa hawawezi kusema ukweli ndiyo maana ni lazima tume iwe ya nje kwa...
Wakuu,
Jaji Chande ameshauri serikali kuchukua hatua za kuimarisha huduma za msaada wa kisaikolojia na kijamii kwa kuandaa mkakati maalum wa kitaifa, kutenga rasilimali zinazohitajika ili...
Kinyume na madai ya maandamano ya amani, vitendo vilivyoonyeshwa vilitaka maisha, mali na usalama wa raia wasiohusika. Hivyo maandamano yalivuka mipaka ya sheria ya Tanzania na viwango vya...
Ushahidi unaonyesha kuwa maandamano yalikuwa na lengo la kuzuia wananchi kupiga kura. Vitendo vya kushambulia vituo vya uchaguzi na maafisa vinathibitisha nia ya kuharibu demokrasia ya Tanzania...
Polisi na vyombo vya usalama walikabiliana na vijana wenye silaha kama mapanga na mafuta ya kuunguza. Walitumia teargas na vifaa vya kudhibiti umati kulingana na kiwango cha hatari katika kila...
Katika miaka ya mwanzo ya uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan alionekana kubadili upepo wa kisiasa kwa kuonesha utashi mpya uliogusa moja kwa moja masuala ya demokrasia, uhuru wa vyombo vya...
Rais Samia akipokea ripoti amesema; "Kwa desturi ya waungwana, linapotokea jambo la hasara na kuumiza mioyo, matarajio ni kufarijiwa badala ya kuzodolewa kwa vyovyote vile. Kwa vyovyote vile...
Maandamano ya Oktoba 29 yalizuka kutokana na kero za muda mrefu za wananchi kama vile madai ya demokrasia halisi na katiba mpya, hali ngumu ya kiuchumi ikiwemo kupanda kwa gharama ya maisha...
Siwezi kupoteza muda wangu kwa kusikiliza vihoja vya Tume ya uchunguzi!
Hii repoti inaongeza hasira kwa wahanga. Ukiisikiliza kwa makini na zile key points inaoneka ilikuwa imeshiba,ila ukija...
Wakuu,
Si hata Mungu mwenyewe anaona vile wanatusogezea sabufa na wali wa hitima!
Yaani yeye na genge lake wakiendelea kuanguka mmoja baada ya mwingine mabosi huo msiwe na hiyana, Boss...
Ukisikiliza hotuba za Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, unaona ni hotuba zilizobeba uzalendo, hekima, unyenyekevu na busara ya Hali ya juu sana.
Nimekuwa nikifatilia hotuba za Marais wa bara la...
Simba na Yanga zinapotajwa kukutana, focuss yote huwa inahama
Kuna uwezekano mkubwa wa Simba na Yanga kukutana fainali za Muungano cup April 29 na siku chache baada ya hapo kukutana tena Mei 3...
Tume imejikita zaidi kusema sababu za vurugu. Kwa Watanzania wanataka kujua kuhusu wauaji hasa kiholela sio maneno ambayo hayavunji mfupa. No reform no election inahusika vipi na kupigwa risasa...
kupitia ripoti ya tume hii Serikali itachukua hatua za haraka kama ifuatavyo
1. Itaunda tume ya marudhiano ikijumuisha wadau wote muhimu itakayosimamia na kuongoza majadiliano ili kuziba mianya...
Sehemu yoyote ile duniani haijawahi kutokea walioshika madaraka ya kisiasa wakakubali kuyaachia au kudhibitiwa(checked) tu bila uwepo wa mifumo huru, upinzani wa nguvu, shinikizo kali kuwaonyesha...
Wachache wenye uelewa hatukutegemea jambo jipya kutoka kwa Tume ya Jaji Chande. Hata hivyo, ukifuatilia kwa makini uwasilishaji wa ripoti hii, unaonekana kama utetezi kwa Samia na serikali yake...