Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta.
Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka...
Kuna kisa kimoja niliwahi kusimuliwa na rafiki yangu kuwa kuna mpishi mmoja alipika donati kisha akawaalika Maprofesa na Madokta wa Chuo Kikuu kimoja cha Afrika waje kula.
Chakula kila kilikuwa...
"Kamati ya Kitaifa ya Rais ya Kutangaza Tanzania, imesema kuwa Mei 8, 2022 Filamu ya Tanzania ‘The Royal Tour’ itaoneshwa vituo vyote vya Runinga Nchini ili watanzania wote wapate nafasi ya...
Ukweli wa mambo upo wazi Sasa kuwa Mambo yameharibika,zama za upigaji zimerudi,wananchi wamechoka ,watu wamekata tamaa,vitu vimepanda bei.
Kila Kona vilio na majuto hakuna furaha tunadanganywa...
Hali ndivyo ilivyo hapo.. Wana raisi wao na huku pia ni lazima (sio ombi) aidha awepo raisi au makamu wa raisi wa Zanzibar mwenye kitambulisho cha uraia wa Zenji.
Achana na bei za mafuta kwa...
Propaganda hazikimbiwi wala kuondolewa bali hutafutiwa njia mbadala na kujibiwa kwa taarifa sahihi, Taarifa sahihi ndio kivutio cha utalii na wawekezaji, Hakuna muwekezaji atakuja akipata taarifa...
Kutokana na adha ya usafiri katika jiji la Dar es salaam hasa kuanzia saa 12 jioni mpaka around saa 3 na saa 4 usiku, nashauri serikali iruhusu magari ambayo yanaweza kubeba abiria(mifano NOAH)...
TUNAANZA NA TUME HURU YA UCHAGUZI
Hoja ya ACT Wazalendo Juu ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya.
Utangulizi.
Tangu kurejeshwa upya kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini, hoja ya...
Kwa uzoefu wangu wa awamu za Urais hapa nchini kuna jambo nimekuwa nikiliona. Hasa awamu za karibuni.
Nalo ni Viongozi wetu kutowaamini wasaidizi wao kwa mambo ambayo ni yakawaida sana.
Mfano ni...
1. Je, ni nani aliyeleta IDEA ya Royal Tour kwenye meza ya IKULU na ni nani aliyependekeza Rais wa nchi awe Tour Queen na kuzunguka na mwandishi wa habari kukamilisha zoezi hilo?
Kuna Wizara ya...
CHALLENGE TO KIGWANGWALA & NCHEMBA ON ECONOMICS/ EDUCATIONAL DEBATE
You cannot talk about economic progress without talking about education. Neither can you talk about employment without talking...
Taasisi ya John Mashaka Foundation pamoja na American Engineering Group (AEG) hatimaye imeweza kuwasaidia wanakijiji 3,500 katika kijiji cha Manila wilayani Rorya kupata maji safi na salama.Mradi...
Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima, ametoa pole ya shilingi laki moja kwa kila mwananchi aliyekatwa mapanga na vijana wanaodaiwa kuwa ni Panya road katika mtaa wa Mtongani Kunduchi usiku wa...
Tanzania sio Nchi Pekee duniani yenye wanyama hai na mazingira mazuri ya kuvutia watalii.
Kuna nchi mbali mbali duniani ambazo hazina wanyama wala mazingira mazuri ya kuvutia lakini zinapata...
Kama serikali ya Tz inamiliki 50% ya hisa za BP tanzania iweje kampuni hii "igome" kuuza mafuta?ina maana serikali imeamua kuhujumu watu wake?
Huyu mmiliki mwingine ni nani?ana uwezo upi wa...
Soon after assassination of president John F Kennedy those days,main stream media zilimuapproach Alhaj Malik Elshabaz a.k.a Malcom X,na kumuuliza kuwa,je nin views zako kutokana na kifo hiki...
RAIS SAMIA AKISHIRIKI UZINDUZI WA FILAMU YA THE ROYAL TOUR - JNICC, DAR ES SALAAM
Tulianzia Marekani kwa kuwa utalii uliathirika na COVID na watalii kutoka Marekani walipungua.
Sekta ya...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Meli ya MV. Mwanza ‘Hapa Kazi Tu’ na kubaini ukiukwaji wa makubaliano ya kimkataba ya ikiwa ni pamoja na Kampuni ya Korea ya...
Hakika kati ya watu walioenguliwa na CCM katika kugombea Ubunge, mmoja wapo wa wananojulikana sana ni Juma Nkamia wa jimbo la Chemba kule Dodoma.
Huyu Mbunge amekuwa akijipendekeza kinafiki na...
Rais wetu anakubalika sana kimataifa na ameweza kutufungua kimataifa. Ni rais pekee, executive president, mwanamke barani Afrika na wengi wako tayari kumsaidia ili kuonesha ulimwengu hasa wa...