Who owns BP Tanzania Ltd? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who owns BP Tanzania Ltd?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Aug 8, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kama serikali ya Tz inamiliki 50% ya hisa za BP tanzania iweje kampuni hii "igome" kuuza mafuta?ina maana serikali imeamua kuhujumu watu wake?
  Huyu mmiliki mwingine ni nani?ana uwezo upi wa kuzuia uuzaji wa mafuta?
   
 2. g

  godbiy Member

  #2
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 3
  Mmiliki mwingine kwa sasa ni BP yenyewe kupitia Africa arm. Ingawa kwa wale waliobahatika kusoma press release ya FCC (fair competition commission), BP wameuza kwa Puma Energy (subsidiary of Trifigura).

  Kuhusu kugoma,hilo swali kwa kweli ni gumu kwani maamuzi ya kuuza au kutouza yanafanywa na board members ambayo 50/50 kati ya BP na Serikali. Hilo ni moja lakini la pili ambalo ndilo ninalohisi ni sababu ya tatizo lenyewe ni kwamba,haya macampuni ya kigeni (i.e Oryx,BP,Total etc), mfumo wao wa biashara ni kwamba, kituo kinakuwa chini ya umiliki wa kampuni lakini uendeshaji anapewa dealer ambaye kazi yake ni kununua mafuta kutoka kwa kampuni yake lakini anakuwa na 100% mamlaka ya uendeshaji wa kituo, kwa lugha ya kigeni wanaita "Company owned but dealer operated" sasa kutofungua inawezekana supplier ambaye ni BP ameamua kutouza mafuta au huyu dealer ameona hatapata faida kama akinunua mafuta kwa bei ambayo atauziwa na supplier wake.

  This is my view
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nashukuru kwa ufafanuzi!kwa maelezo yako yawezekana dealer ndiye anayecheza mchezo mchafu,ni vizuri tukamjua huyo 'dealer' anayemtunishia misuli mmiliki!
   
 4. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Ukweli ni kuwa serikali ni legelege!! Ni ajabu kuona wafanyabiashara wa mafuta wanaitunishia misuli serikali!!

  Phweeew!! Yaani leo wese nomaaaa!!!
   
 5. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280

  Nadhani haiwezekani labda ni 49% kwa 51%
   
 6. ubun2

  ubun2 Senior Member

  #6
  Aug 8, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 7. M

  Mkandara Verified User

  #7
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Wow! Jamani mnataka kunambia serikali yetu ina own - BP Shell? au mimi ndio sielewi mchokizungumza hapa...Au mnazungumzia BP as a Franchise maanake nijuavyo wenye vituo hununua haki miliki (franchise) kutoka BP na kuifanya biashara hiyo kitkt eneo husika kwa niaba (under licence) unakatiwa cha juu.
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wameshindwa kufanya maamuzi ili kulinda nidhamu na uwajibikaji ndani ya chama, sasa wanashindwa hata kusimamia wauza mafuta? What do we need the government for? Hivi Ngeleja akibeba mikoba yake kwenda kazini kesho anaenda kufanya nini hasa kama hata kutoa kauli juu huu mgomo ameshindwa?

  Wakati mwingine serikali inajitakia kulaumiwa. Hivi kweli wameshindwa kutatua huu mgomo?
   
 9. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Lege lege,.......
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  radio mbao zinaniambia ni 50%
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ni BP Tanzania!
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  imefika mahali tuisaidie kazi wizara husika na serikali kwa ujumla,inasikitisha kuona wafanyabiashara wanaiendesha serikali namna hii mara leo sukari kesho mahindi keshokutwa mafuta.huyu dealer ni nani huyu?
   
 13. l

  lebabu11 JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 1,649
  Likes Received: 517
  Trophy Points: 280

  Kauli ya serikali kuhusu mgomo wa wauza mafuta yaweza kuwa hivi;

  ''HAWA WATU NI HATARI, TUKIWAGUSA NCHI HAITATAWALIKA!''
   
 14. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Serikali ina own 50% ya BP Tanzania now acquired by Puma Energy.
   
 15. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  NAIROBI (Reuters) - Tanzania's competition regulator on Friday approved the sale by London-based BP of a 50 percent stake in a fuel marketing business in the east African country to Puma Energy, a subsidiary of Dutch commodity trader Trafigura.
  The deal follows an announcement by the oil major in November that it had agreed to sell its southern African network to Trafigura for $296 million, part of a trend that oil majors are exiting fuel retail businesses.
  The go-ahead was granted by Tanzania's Fair Competition Commission (FCC) after BP announced it would sell interests in forecourts and supply businesses in Namibia, Botswana, Zambia, Tanzania and Malawi to Puma Energy.
  Oil traders such as Trafigura have not historically involved themselves in fuel retail business.
  Tanzania's government, which owns the remaining 50 percent stake in BP Tanzania, did not object to the acquisition.
   
 16. Linyakalumbi

  Linyakalumbi JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamani 50% ni January Makamba and the Washikajiz,Huyu Dogo anautaka sana Uwaziri wa Nishati na Madini.Kwa hiyo atafanya bidii zote kuonyesha Weakness za Ngereja ili JK amtimue ampe yeye shavu,alianza na Umeme amempata,sasa ilibaki mafuta tu,and there he is now!!Hahaaaaa Go January,next week Yule mpangaji wa Magogoni atakuona,na ndio maana kauchuna kwa sababu anajua kinachoendelea,Husein Mwinyi kajenga shell(Lake Oil) barabarani ili jembe mzee wa barabara asibomoe,Nchi2 & Liz(Camel oil) ,Liz anamiliki malori ya kusafirisha wese,sasa kuna nini hapa.Wanajenga mazingira ya kuonesha kijana anafanya vizuri na kamati yake ya Mashati ya Majini,nashangaa mpaka leo nayeye kauchuna wakati kwenye umeme alikuwa anbonga sana huyu dogo mithili ya baba yake mzee yusuph!!!!!!!!!Swaumu kali kama nimebugi mnanicheki kwenye phone Wakuu.
   
 17. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,302
  Trophy Points: 280
  Kuna kitu kimoja hatukielewi hapa, haya makampuni hakuna anaesema amegoma, bali wanakuambia wana-review (calculate) price ili kuangalia kama wanaweza match na Ewura.
  So hata BP hawawezi kudai kua wamegoma.
  EWURA ingeacha ubabe katika hili suala tusingefikia hapa tulipo. Ewura inatumia U-Serikali kuwatishia waagizaji mafuta ikitegemea wataogopa kutokana na Ugeni wao nchini
   
 18. n

  niweze JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  This is a good question. Waandishi wa habari kama mnategeme kila kitu ni chadema tu basi hakuna industry ya news Tanzania. Imeonekana kwabisa waandishi wengi wa habari hawaulizi ccm na kikwete wao kwanini nchi haijui waamiliki wa hizi kampuni hapa nchini? Nchi gani ina population 43 million lakini anayefahamu mmiliki wa bp ni kikwete na wizara ya nishati ya madini? Hapa kuna tatizo na journalism Tanzania nayo imekuwa dhaifu mno na muamke na kuacha kuwaachia chadema wakitetea nchi yao kila siku, journalists nendeni nje ya ofisi ya ngereja na uwanja wa ndege muwasubiri kikwete na mke wake wakitaka kuondoka usiku.

  J
  ournalism sio makala ya vichekesho, starehe na pombe its leadership and sacrifices too.


   
 19. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  i smell something kwenye hii migomo...big bon ya pale sinza kwa remmy watu wanagombania mafuta kila siku,yeye hagomi??kweli ridhiwani mjasiliamali
   
 20. T

  Tata JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Source please.
   
Loading...