Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Mh Tundu Lissu , leo ametangaza Hadharani kwamba tayari amekwisha kusanya virago vyake huko Ubelgiji , akiwa Tayari kwa safari ya Kurejea Nchi aliyozaliwa ya...
15 Reactions
30 Replies
3K Views
Naangalia Movie ya Royal Tour, kuna kipande Rais anauliza wanafunzi 'Wangapi wanataka kuwa marais' wanafunzi wamenyoosha mikono wengi. Nikawaza swali kama hili wakaulize kwenye Chama halafu kina...
23 Reactions
41 Replies
4K Views
Watanzania naona tulisahau kabisa ajenda ya ufisadi wakati wa Magufuli, mpaka sasa kuna ufisadi umefanyika fasta fasta bila ya watu hata kushtuka. Mkataba uliosainiwa baina ya Serikali ya...
34 Reactions
238 Replies
24K Views
Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi. TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi...
9 Reactions
251 Replies
21K Views
Ni muda sasa chama chako hakina imani nawe. Naona hata Iringa tu hawawakukubali. Sababu hazinihusu. Ila karibu sana CCM huku nadhani utapata nafasi ya kuweza kufanya mambo yako vizuri.kwa uhuru...
3 Reactions
5 Replies
930 Views
Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana? Rais akinunua ndege mtaandamana? Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi. What is Royal tour by the way mpaka...
5 Reactions
71 Replies
4K Views
Yawezekana mimi ambaye sijawahi kupitia chuo cha uongozi "Uongozi Institute" sijui namna bora ya kuongoza lakini kwa busara tu za kawaida siyo sahihi kabisa kwa waziri mkuu kumkaripia mkaguzi wa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wadau wa JamiForums, poleni na majukumu pia poleni kwa ugumu wa maisha na mfumuko wa Bei mama anaupiga mwingi naomba mjitokeze kwa wingi tukaangalie royotua Turudi kwenye Mada Hii serikali...
12 Reactions
77 Replies
5K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Cde Shaka Hamdu Shaka amejumuika pamoja na wanachama wa Tawi la CCM Buyu Pwani, Mkoa wa Magharibi, Wilaya ya Dimani, Ndg Shaka Hamdu...
6 Reactions
51 Replies
4K Views
Me naona legacy kubwa ya Magufuli alitufanya tujue rangi halisi za wapinzani. Kabla ya Magufuli baadhi tulikuwa tuna amini nchi hii ina upinzani wa kweli though sio kama nchi nyingine za Africa...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Hatimaye Filamu maalum ya kutangaza utalii wetu imezinduliwa rasmi. Mapokeo ya filamu hiyo miongoni mwa Watanzania wengi yamekuwa makubwa sana huku matarajio ya kupaa kwa utalii wetu yakipaa juu...
7 Reactions
52 Replies
4K Views
Kwa nini mafuta yanapanda kwa namna hii huku kumbe yalinunuliwa zaidi ya miezi minne iliyopita. Kwa nini yapande sasa hivi mwaka huu 2022. Kwa nini huyu waziri wa pesa na tozo hajajiongeza...
1 Reactions
9 Replies
809 Views
RAIS SAMIA NI JASUSI WA KIUCHUMI TUMUUNGE MKONO. Kuna wakati ili Utalii wetu upanuke zaidi tunahitaji jasiri wa kusimamia lakini si kwa kutoa majibu mepesi kwa industry yenye kuhitaji majawabu...
2 Reactions
6 Replies
936 Views
MPANGO WA KUMCHAFU MBUNGE WA HAI SAASHISHA MAFUWE WANASWA, RAIA WA SWEDEN AHUSISHWA Anaandika Eliamini Lema, Katibu wa Chadema Narumu. Baada ya kupata mapokezi hafifu kutoka Kwa wakazi wa wilaya...
6 Reactions
71 Replies
6K Views
Haiwezekani Serikali ilazimishe wananchi wake waanze kulumbana nayo kwa kuisema vibaya na kuichukia kwa sababu ya mtu mmoja tuu Huyo Waziri wa Nishati anafanya nini hapo? Kwanini anafanya...
2 Reactions
15 Replies
903 Views
Nauliza tu. Tangu lipofariki JPM na wengi tukambatiza kwa jina la Mwendazake, mvua zilikata na hazijawahi kunyesha kabisa kwa baadhi ya mikoa na maeneo mengi nchini ukilinganisha na kipindi cha...
16 Reactions
85 Replies
4K Views
Watanzania hatujawahi kusikia huyu Waziri Makamba akija na mkakati wowote ule wa kulikwamua taifa letu na tatizo la gharama kubwa za nishati ya umeme. Mradi wa JNHP ulikuwa ni moja ya njia ya...
5 Reactions
93 Replies
5K Views
Aise nilisema muda kuwa naachana na siasa ila mimi kama Mzalendo nimeona nchi yangu inapoelekea siwezi kukaa kimia maana sitaki kukosa majibu nitakayoulizwa na wajukuu zangu kwanini nilikua kijana...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Katiba yetu ipo wazi pasipo shaka kwamba Rais akiondoka mamlakani either kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake kwa sababu za ugonjwa au kifo Makamu wa Rais atakabidhiwa mikoba. Ni haki tena...
34 Reactions
228 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…