Umoja Party, chama kipya kinachoenda kushika Dola. Time will tell

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Aise nilisema muda kuwa naachana na siasa ila mimi kama Mzalendo nimeona nchi yangu inapoelekea siwezi kukaa kimia maana sitaki kukosa majibu nitakayoulizwa na wajukuu zangu kwanini nilikua kijana nikaruhusu walafi waaribu nchi yetu siwezi kukubali ichi kitu

Pia nimepata nguvu ya kurudi kundini kwa sababu hakuna hata mmoja nilie muambia kuhusu Umoja part akashindwa kukubali kila mmoja anauliza anajiunga vip yan katika kazi zitakua rais kwenye uchaguz wa nchi hii ni kuitoa CCM madarakani iwe kwa kutangazwa au mwa Maandamano mana tutaandamana kama tulivyoenda kumzika mzee wetu Magufuli Dunia itashangaa time will tell

Pia napenda kuwaambia watanzania wote wazalendo kua muda wetu ni huu sasa chama chetu cha Umoja part kitakapo tangazwa rasmi tunaomba msisite kunitokeza kwa wingi vijana kwa wazee hii nchi tusipo igomboa itatuharibikia mikononi kwetu kisa matumbo ya wazee wachache walafi wa mali
 
Aise nilisema muda kua naachana na siasa ila mimi kama Mzalendo nimeona nchi yangu inapoelekea siwezi kukaa kimia mana sitaki kukosa majibu ntakayo ulizwa na wajukuu zangu kwa Nini nililua kijana nikaruhusu walafi waaribu nchi yetu siwezi kukubali ichi kitu

Pia nimepata nguvu ya kurudi kundini kwa sababu hakuna hata mmoja nilie muambia kuhusu Umoja part akashindwa kukubali kila mmoja anauliza anajiunga vip yan katika kazi zitakua rais kwenye uchaguz wa nchi hii ni kuitoa Ccm madarakan iwe kwa kutangazwa au mwa Maandamano mana tutaandamana kama Tulivyo enda kumzika mzee wetu Magufuli Dunia itashangaa time will tell

Pia napenda kuwaambia watanzania wote wazalendo kua muda wetu ni huu sasa chama chetu cha Umoja part kitakapo tangazwa rasmi tunaomba msisite kunitokeza kwa wingi vijana kwa wazee hii nchi tusipo igomboa itatuharibikiamikonon kwetu kisa matumbo ya wazee wachache walafi wa mali
Umoja Part au Umoja Party?

Chama kina itikadi gani?
 
Umoja Party twende na Dr Slaa
 
dola ya vocha umenikumbusha kipindi kile unaingiza kwenye simu kwa sasa ni shilingi
 
Chama itikadi yake itakua ya usawa pia ukwel na uwazi tukichukua nchi tu tutaanzisha mchakato wa katiba mpya ili kukwepa matapel wanao pitia mlango wa nyuma wa katiba Pale Rais anapo kufa
Usawa ukweli na uwazi si itikadi, hayo ni mambo ya msingi katika kila nchi.
 
Aise nilisema muda kua naachana na siasa ila mimi kama Mzalendo nimeona nchi yangu inapoelekea siwezi kukaa kimia mana sitaki kukosa majibu ntakayo ulizwa na wajukuu zangu kwa Nini nililua kijana nikaruhusu walafi waaribu nchi yetu siwezi kukubali ichi kitu

Pia nimepata nguvu ya kurudi kundini kwa sababu hakuna hata mmoja nilie muambia kuhusu Umoja part akashindwa kukubali kila mmoja anauliza anajiunga vip yan katika kazi zitakua rais kwenye uchaguz wa nchi hii ni kuitoa Ccm madarakan iwe kwa kutangazwa au mwa Maandamano mana tutaandamana kama Tulivyo enda kumzika mzee wetu Magufuli Dunia itashangaa time will tell

Pia napenda kuwaambia watanzania wote wazalendo kua muda wetu ni huu sasa chama chetu cha Umoja part kitakapo tangazwa rasmi tunaomba msisite kunitokeza kwa wingi vijana kwa wazee hii nchi tusipo igomboa itatuharibikiamikonon kwetu kisa matumbo ya wazee wachache walafi wa mali
Usharipoti Malawi ubalozini? Mpina kapoa kwelikweli siku hizi
 
Mwenyezi mungu atulinde nahilogenge la kutuzuru wavuvi ,kukota watu kwenyeviroba,kuteka kina mo saa8 kanguye nk tuendelee kupumua asante mungu hutoliacha taifa hili kwasasa lipo kwenye mikono salama
 
Aise nilisema muda kua naachana na siasa ila mimi kama Mzalendo nimeona nchi yangu inapoelekea siwezi kukaa kimia mana sitaki kukosa majibu ntakayo ulizwa na wajukuu zangu kwa Nini nililua kijana nikaruhusu walafi waaribu nchi yetu siwezi kukubali ichi kitu

Pia nimepata nguvu ya kurudi kundini kwa sababu hakuna hata mmoja nilie muambia kuhusu Umoja part akashindwa kukubali kila mmoja anauliza anajiunga vip yan katika kazi zitakua rais kwenye uchaguz wa nchi hii ni kuitoa Ccm madarakan iwe kwa kutangazwa au mwa Maandamano mana tutaandamana kama Tulivyo enda kumzika mzee wetu Magufuli Dunia itashangaa time will tell

Pia napenda kuwaambia watanzania wote wazalendo kua muda wetu ni huu sasa chama chetu cha Umoja part kitakapo tangazwa rasmi tunaomba msisite kunitokeza kwa wingi vijana kwa wazee hii nchi tusipo igomboa itatuharibikiamikonon kwetu kisa matumbo ya wazee wachache walafi wa mali

Chama kitashikaje dola bado hakisajiliwa? Kwa ushauri msianzishe kwa minajili ya uchaguzi Bali anzisheni chama kwa minajili ya kukijenga kikue na kupata wanachama wakutosha na uungwaji mkono.

Msirudie makosa ya ACT Wazalendo walioamini watachukua dola 2015, mwishowe wakaanguka chini na kuambulia kura 90,000 za urais na mbunge mmoja.
 
Mchawi jeshi na polisi wawe upande wenu, Maadamu polisi na jeshi litaendea Kuwasapoti CCM, hamuwezi kushinda.

Hata CCM bila jeshi hawatoboi
 
Aise nilisema muda kua naachana na siasa ila mimi kama Mzalendo nimeona nchi yangu inapoelekea siwezi kukaa kimia mana sitaki kukosa majibu ntakayo ulizwa na wajukuu zangu kwa Nini nililua kijana nikaruhusu walafi waaribu nchi yetu siwezi kukubali ichi kitu

Pia nimepata nguvu ya kurudi kundini kwa sababu hakuna hata mmoja nilie muambia kuhusu Umoja part akashindwa kukubali kila mmoja anauliza anajiunga vip yan katika kazi zitakua rais kwenye uchaguz wa nchi hii ni kuitoa Ccm madarakan iwe kwa kutangazwa au mwa Maandamano mana tutaandamana kama Tulivyo enda kumzika mzee wetu Magufuli Dunia itashangaa time will tell

Pia napenda kuwaambia watanzania wote wazalendo kua muda wetu ni huu sasa chama chetu cha Umoja part kitakapo tangazwa rasmi tunaomba msisite kunitokeza kwa wingi vijana kwa wazee hii nchi tusipo igomboa itatuharibikiamikonon kwetu kisa matumbo ya wazee wachache walafi wa mali
Wewe ndiye ulizimia na mfuko wa sangara mkononi ?
Katika_Historia%3A%0APamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hak...jpg
 
Back
Top Bottom