Inaonesha wazi kabisa Serikali hii imepania kumchafua Hayati Magufuli

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Habari wadau wa JamiForums, poleni na majukumu pia poleni kwa ugumu wa maisha na mfumuko wa Bei mama anaupiga mwingi naomba mjitokeze kwa wingi tukaangalie royotua

Turudi kwenye Mada
Hii serikali iliopo madarakani Sasa inaonyesha wazi kabisa kuwa wanafanya kila jambo kumchafua Magufuli ndio maana pamekuwa na watu wengi wanajitokeza na kumuongelea Vibaya Hayati ili tu kuwafurahisha viongozi wa sasa

Pia napenda kuwapongeza wote mnaodumbuliwa na unafiki wa kusema Magufuli alikuwa Rais mbaya ambae alisababisha maisha ya mtanzania kuwa magumu na wakati huo huo mnamdifia Mama anaupia mwingi

Hi Peter

Pia wale vijana wasomi mlio kua kila siku mnamwota Hayat Magufuli Rais wa hovyo endeleen kuota joto la jiwe Mungu awabariki maisha yanavyo zid kwenda mtatubu tu na kumlilia hayat

Pia ombeni Sana corona isirud kwa kas mana mtaonja ile ladha ya lock down mlio kua mnaililia kila siku

Wanafki wote mnao sumbuliwa na ukwel polen endeleeni kula tambi za elf 2 mbil 2a mzee ziliuzwa buku
 
Samia mpk matunda yamemkataa
IMG_20220508_205448.jpg
 
Habar wadau wa jamiforums polen na majukum pia polen kwa ugum wa maisha na mfumko wa Bei mama anaupiga mwingi naomba mjitokeze kwa wingi tukaangalie royotua
Turud kwenye Mada
Hii serekali iliopo madarakan Sasa inaonyesha wazi kabisa kua wanafanya kila jambo kumchafua Magufuli ndiomana pamekua na watu wengi wanajitokeza na kumuongelea Vibaya Hayat ili tu kuwafuraisha viongoz wa sasa

Pia napenda kuwapongeza wote mnao dumbuliwa na unafki wa kusema Magufuli alikia Rais mbaya ambae alisababisha maisha ya mtanzania kua magum na wakat huo huo mnamdifia Mama anaupiga mwingi

Hi Peter

Pia wale vijana wasomi mlio kua kila siku mnamwota Hayat Magufuli Rais wa hovyo endeleen kuota joto la jiwe Mungu awabariki maisha yanavyo zid kwenda mtatubu tu na kumlilia hayat

Pia ombeni Sana corona isirud kwa kas mana mtaonja ile ladha ya lock down mlio kua mnaililia kila siku

Wanafki wote mnao sumbuliwa na ukwel polen endeleeni kula tambi za elf 2 mbil 2a mzee ziliuzwa buku
Pale chato wenzako walipewa koleo warushe mchanga kaburini, wewe ulipopewa koleo,ukarusha akili kaburini, Sasa zimeoza
 
Habar wadau wa jamiforums polen na majukum pia polen kwa ugum wa maisha na mfumko wa Bei mama anaupiga mwingi naomba mjitokeze kwa wingi tukaangalie royotua
Turud kwenye Mada
Hii serekali iliopo madarakan Sasa inaonyesha wazi kabisa kua wanafanya kila jambo kumchafua Magufuli ndiomana pamekua na watu wengi wanajitokeza na kumuongelea Vibaya Hayat ili tu kuwafuraisha viongoz wa sasa

Pia napenda kuwapongeza wote mnao dumbuliwa na unafki wa kusema Magufuli alikia Rais mbaya ambae alisababisha maisha ya mtanzania kua magum na wakat huo huo mnamdifia Mama anaupiga mwingi

Hi Peter

Pia wale vijana wasomi mlio kua kila siku mnamwota Hayat Magufuli Rais wa hovyo endeleen kuota joto la jiwe Mungu awabariki maisha yanavyo zid kwenda mtatubu tu na kumlilia hayat

Pia ombeni Sana corona isirud kwa kas mana mtaonja ile ladha ya lock down mlio kua mnaililia kila siku

Wanafki wote mnao sumbuliwa na ukwel polen endeleeni kula tambi za elf 2 mbil 2a mzee ziliuzwa buku
Ambacho kitamlinda Magufuli ni mazuri yake tu. Kama yapo basi usiwe na shaka yatamlinda, kama hayapo basi pole yake.
 
Siyo kwamba serikali inamvhafua. Magufuli alijinajisi mwenyewe akiwa hai. Kwahiyo usitegemee atapewa sifa akiwa jehanamu.

Na bado. Atatukanwa mpk na vitukuu vya nchi hii kwa unyama na ujinga aliyoufanya. Huko aliko azidi kuungua.

Mama mungu akulinde na uendelee na roho yako hiyo ya wema na kuwapenda wananchi wako. Hakika chini ya uongozi wako wananchi wote tunafarijika Sana.
 
Habar wadau wa jamiforums polen na majukum pia polen kwa ugum wa maisha na mfumko wa Bei mama anaupiga mwingi naomba mjitokeze kwa wingi tukaangalie royotua
Turud kwenye Mada
Hii serekali iliopo madarakan Sasa inaonyesha wazi kabisa kua wanafanya kila jambo kumchafua Magufuli ndiomana pamekua na watu wengi wanajitokeza na kumuongelea Vibaya Hayat ili tu kuwafuraisha viongoz wa sasa

Pia napenda kuwapongeza wote mnao dumbuliwa na unafki wa kusema Magufuli alikia Rais mbaya ambae alisababisha maisha ya mtanzania kua magum na wakat huo huo mnamdifia Mama anaupiga mwingi

Hi Peter

Pia wale vijana wasomi mlio kua kila siku mnamwota Hayat Magufuli Rais wa hovyo endeleen kuota joto la jiwe Mungu awabariki maisha yanavyo zid kwenda mtatubu tu na kumlilia hayat

Pia ombeni Sana corona isirud kwa kas mana mtaonja ile ladha ya lock down mlio kua mnaililia kila siku

Wanafki wote mnao sumbuliwa na ukwel polen endeleeni kula tambi za elf 2 mbil 2a mzee ziliuzwa buku
Mkuu, mbona yeye magufuli aliongoza kuichafua serikali ya kikwete?.,
 
Wanaomsema vibaya JPM ni vishoka tu wala hawana jipya hata moja.

Uzuri ni kwamba, tumeshagundua kuna mkakati maalumu wa kumchafua JPM.
Kuna KENGE mmoja hivi wa Kigoma na wengine wachache. Hao wamepewa kazi hiyo ya kumchafua JPM.
Amini amini nakwambia, hawataweza kamwe. Hata walale waamke wakimtukana JPM haitawasaidia kwa chochote.
 
Magufuli alijichafuwa mwenyewe, damu zisizo na hatia zitaendelea kumwandama popote pale hadi huko kuzimu.
Ajali zinazotekea kwa ivi karibuni takribani kila siku hazimwagi damu za watu wasio na hatia, toka serikali ya awamu ya sita iingie madarakani tumeshudia ajali ngapi utafananisha na kipindi cha magufuli. Acheni kuaminisha watu uongo juu ya magufuli na fikra zenu zilizo ndogo.
 
Ambacho kitamlinda Magufuli ni mazuri yake tu. Kama yapo basi usiwe na shaka yatamlinda, kama hayapo basi pole yake.
We hujui kwamba hata mazuri yanaweza kutumiwa kumshambulia mtu?!
Unaweza kupata mwamke mzuri toka kagera ana mizuri minene, watu wakasema ana miguu kama ana matende!
 
Back
Top Bottom