Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
“Kuna jina kutoka Arusha ametoa ushahidi kuwa alipewa Shilingi 50,000 ashiriki maandamano na akapewa ahadi ya Shilingi Milioni 5 akishiriki Maandamano”___Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Tume ya uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, imesema hakuna ushahidi uliothibitisha kuwepo kwa makaburi ya halaiki katika eneo la Kondo, jijini Dar es Salaam. Hayo yameelezwa leo...
1 Reactions
Replies
Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinarejea msimamo wake wa awali wa tarehe 19 Novemba 2025 kutotambua mchakato mzima wa Tume iliyoundwa na Samia Suluhu Hassan, na kinapinga kwa ujumla...
8 Reactions
11 Replies
581 Views
Jaji Chande anasema tume ilipata taarifa ya mauaji ya watu 13 katika kibanda cha kuonesha video ambapo anasema kuna shahidi alisema wanaodhaniwa kuwa askari walivamia kibanda hicho na kuwapiga...
0 Reactions
18 Replies
490 Views
Wakati wa uwasilishaji rasmi wa Ripoti ya Chande uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam tarehe 23 Aprili 2026, viongozi mbalimbali wa dini na siasa waliohudhuria walipongeza kazi ya tume hiyo na matokeo...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Namuona Nchimbi anaenda kuchekea bafuni! Akiwa kama mnufaika mkubwa wa Ripoti ya Chande hasa pale Jaji kuonekana chawa kwa kuto kusema ni nani alitoa amri ya mauaji.
0 Reactions
1 Replies
200 Views
  • Redirect
Raisi Samia ameomba mtu yoyote hatakiwi kuomba Ripoti ya Tume ya Jaji chande kwasababu hiyo Ripoti imeandaliwa kwaajili yake na yeye ndio aliounda hiyo tume.
2 Reactions
Replies
Views
📍NIRC Dodoma. Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde, amezindua Baraza la Sita la Wafanyakazi la Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), huku akitoa wito kwa watumishi wa Tume hiyo kudumisha...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
  • Redirect
23 Avril 2026 Dar es Salaam, Tanzanie LA PRÉSIDENTE SAMIA HASSAN REÇOIT LE RAPPORT DE LA COMMISSION D’ENQUÊTE SUR LES TROUBLES ÉLECTORAUX DE 2025 https://m.youtube.com/watch?v=B_iAgTSLBrU Son...
2 Reactions
Replies
Views
Katika kipindi cha miaka mitatu, Jaji Chande amesema jumla ya raia 758 waliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutekwa au kujiteka, ambapo 113 walipatikana huku 445 wakiendelea kutafutwa hadi...
0 Reactions
4 Replies
195 Views
Mapungufu: Tume kuwauliza Polisi na usalama nani ni watekaji na wauaji? wakati tunajua watekaji wa wanasiasa na wanaharakati ni Polisi na wauaji wa vijana October 29 ni polisi na usalama
1 Reactions
2 Replies
180 Views
📍USHAHIDI WAONYESHA GHASIA ZA OCTOBA 29 ZILILENGA KUVURUGA UCHAGUZI Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa na Rais Dkt. Samia kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu October...
0 Reactions
1 Replies
171 Views
Kwamba Jeshi la Polisi mnataka mie nifike kwa DCI? Mnataka nijilete kwenu nyie ambao April 24, 2025 mliniteka pale Mahakama ya Kisutu mkakaa na Mimi Central Police kisha mkanijazisha na...
14 Reactions
35 Replies
757 Views
Probative value ya mahojiano/ ushahidi wenu na so called mliwahoji iko wapi bila kusikiliza upande mwingine! Nilisema mnajiletea aibu mkiwa retired Chief Justices
0 Reactions
6 Replies
231 Views
  • Redirect
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinarejea msimamo wake wa awali wa tarehe 19 Novemba 2025 kutotambua mchakato mzima wa Tume iliyoundwa na Samia Suluhu Hassan, na kinapinga kwa ujumla...
1 Reactions
Replies
Views
Je tume ya Raisi inaweza kusema ukweli kwamba tatizo kubwa ni dharau za Raisi Samia!. Tatizo na hizi tume ni za kichawa hawawezi kusema ukweli ndiyo maana ni lazima tume iwe ya nje kwa...
5 Reactions
8 Replies
406 Views
Wakuu, Jaji Chande ameshauri serikali kuchukua hatua za kuimarisha huduma za msaada wa kisaikolojia na kijamii kwa kuandaa mkakati maalum wa kitaifa, kutenga rasilimali zinazohitajika ili...
0 Reactions
2 Replies
109 Views
Tafadhalini ndugu zangu. Msitume tena ujumbe PM. Nitasema kitu baada ya kuipitia ripoti nzima ya Jaji Chande.
3 Reactions
18 Replies
437 Views
  • Redirect
Kinyume na madai ya maandamano ya amani, vitendo vilivyoonyeshwa vilitaka maisha, mali na usalama wa raia wasiohusika. Hivyo maandamano yalivuka mipaka ya sheria ya Tanzania na viwango vya...
0 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…