Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira!
Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia...
Nimejaribu kuangalia faster faster sijaiona sura yoyote ya Kijani. je CCM wameshindwa kupeleka Mwakilishi kwenye Mkutano wa CHADEMA? Bado hawaamini kuwa Zama zinabadilika? Hawaamini kuwa Nanihiii...
Mbowe ni kibaraka wa CCM na watu walishampuuza kabisa.
Wananchi sasa wapo serious kupambana na maisha magumu hivyo hawataki usanii wa kipuuzi juu ya hatima maisha yao.
Kujifanya wajanja ili...
Wanasiasa
Wanazuoni
Wasomi
Wachambuzi wa masuala ya historia
Wanadiplomasia
Wana usalama
Naombeni majibu katika hili.
Je, mtanganyika hana nafasi zenji ila mzenji ana nafasi Tanganyika?
Je...
Hii ni wake up call sasa kwa spika wao atake asitake ni lazima apimwe afya yake ya akili kama anastahili kuendelea kushika nafasi hiyo.
Mkidharau ndio madhara mnakuwa na mtu ikulu chizi, bungeni...
"Vipo vyombo vimeibuka na kusema mimi Nicodemus Maganga ni kichaa, niliugua wiki chache zilizopita, ni kawaida kuugua , suala hili liliibuka na kwenye kipindi cha uchaguzi. Hivyo niwaombe ndugu...
Naona CHADEMA wamemualika Bobi Mpinzani Mkuu kutoka UG kama mgeni rasmi, najiuliza kwa nini wao akina Mbowe hawaalikwi au ni lini waliwahi kualikwa popote na kuwa wageni wa heshima?
Watanzania...
Rais wa nchi kupitia Intelligence(Usalama wa Taifa) huwa anajua siri zote za watendaji wake, yaani kuanzia Vice President hadi mkuu wa Wilaya.
Rais anajua tabia zao,mienendo yao yote kwa ujumla...
Nimetumiwa ujumbe na mtendaji wa kata nifuate kibao cha namba za makazi niende na shilingi 5000 ya kulipia , ilipo nyumba nyingine mtendaji kanitumia meseji niende nikalipie 5500 , hivi, hivi...
Nchi ya Rwanda imekubali kupokea waombaji wa ukimbizi waliongia nchini Uingereza kwa njia zisizo halali.
Watu hao wakifika Uingereza watakuwa wanapelekwa Rwanda wakati maombi yao yakifanyiwa...
Kwa muda mrefu kidogo sijaandika kuhusu Mwenyekiti wangu Freeman Mbowe. Leo nimeona niandike kidogo kumshauri nikiamini reflections alizofanya wakati akiwa magereza zimemwezesha kuona umuhimu wa...
Mkulima huyu anadai ilikuwa ikiongezwa Tsh 1,000 anamwambia Waziri rudisha Tsh 50,000 Waziri wa sasa alikuwepo akiwa Naibu.
Siku amekufa kesho yake kabla hajazikwa ikaongezwa Tsh 20,000 ikawa...
Kuna watu hawajui kwamba hii ya wapinzani kuhamia CCM inajenga mazingira ya kutengeneza upinzani wa kizazi hiki,
We must have transformation, upinzani wa sasa bado hauna ari ya kuongoza nchi...
Kichwa cha habari chajieleza..
Huu mwaka wa pili tangu hizi nguzo zisimamishwe baada ya agizo la Hayati Magufuli alipopita kwenda ziarani Iringa..
Alisema haiwezekani anapita mjin halafu kuna...
Ni mtazamo wangu tu....
CHADEMA Kwanza kabisa nawapeni pole kwa kinachoendelea kwa Viongozi wenu na Makada pia ambao sasa wamepatwa na ' matatizo ' ya Kisheria na bado mnaendelea Kupambana ili...
Ndugu zangu;
Siku chache zilizopita alianza Yericko Nyerere kuleta uzi wa kukshifu na kulaani Maalim Seif kuungana na Zitto Kabwe (ACT). Haikuwa bahati mbaya, ni maagizo ya uongozi wa juu Chadema...
Hakuna kipindi ambacho CCM ilikua kwenye hati hati kama siku za tuna imani na Lowassa,
Hakuna kipindi ambacho CCM ilikuwa kwenye wakati mgumu kama kipindi cha mwenyekiti wake aliyetake mambo...
Kuna issue mbili zinaikanganya CHADEMA kuhusu Covid19, Inasemekana wajumbe wengi wanakubaliana kwamba ili kuonyesha ukomavu na uvumilivu kisiasa basi wanachama hawa wasamehewe lakini wavuliwe vyeo...