Kwa bahati nzuri nilifika ofisini ya wizara ya elimu tena kipindi kile wizara ya elimu iko Magogoni (Obama) road nikifuatilia scholarship ya kwenda Russia masomoni ndipo nilipopamba na Mr...
Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.
Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa...
Uchaguzi wa 2020 ulikuwa wa kughushi-forgeries, kwa vigezo vyote.
Hata CCM wanalijua hilo.
Mazingira na mipango yote ya serikali ilitayarishwa ili mtu mmoja aamue, na ni kwa matakwa yake tu...
Msikilizeni hapa.
Rais anasema anataka RECONCILIATION.
Najiuliza reconciliation na nani, kwa jambo gani?
Je, Rais anaungwa mkono ktk jambo hili?
Kama yuko genuine kwanini asiunde TUME kama...
Kama mbwai na iwe mbwai, Nashauri spika azuie fedha hizo zisichukuliwe na Chadema kwa kuwa wameonyesha kwamba Mdee na wenzake hawakuwa wabunge.
Huwezi kula usichopanda.
Maana hiki chama kikiona...
Kwann mdee na wenzake hawawez kwenda mahakamani:
Baada ya Baraza Kuu la Chadema kutupilia mbali Rufaa zao na kuthibitisha kuwafukuza uanachama wa Chadema, Halima Mdee na wenzake hawatathubutu...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema watu waliokuwa wakisema miradi iliyaochwa na mtangulizi wake, Hayati John Magufuli haitaendelezwa, hawakuwa sahihi kwa sababu Serikali inayoongoza nchi ni ya Chama...
Sakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho...
Paul C Makonda ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa Dares salaam historia inaonyesha hajaanza leo wala Jana kuwaburuza vibaya mno chadema kila wanapojaribu kufuata nyayo zake. Ikumbukwe kila jambo...
Bila kuficha wala kuogopa, kwamba Rais Magufuli alifanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na uongozi bora na alikuwa akitupeleka kwenye hali mbaya sana kama taifa la Tanzania. Alikuwa na kauli za...
Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameendelea kuibua madudu serikalini
====
Sh. Milioni 215 zaliwa na wafanyakazi 3 MSD
Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika moja ya ziara zake kurekodi The Royal Tour, 2021
Tumesikia na kuona Rais Samia akiwa katika kile kilichojulikana kama The Royal Tour, lakini huenda kuna...
Baraza la mawaziri la JMT linaundwa kwa mujibu wa sheria na Rais wa JMT ndio mwenyekiti wake.
Sasa ACT wazalendo wameunda Baraza kivuli la mawaziri lenye jumla ya mawaziri 24.
Naomba kuuliza...
Ndugu Mh. Waziri Ummy - Waziri wa Afya, kwanza kabisa tunakupongeza sana kwa kuaminiwa tena na Mh. Rais Samia kwa kuiongoza tena Wizara ya Afya - karibu sana.
Nakumbuka mara bada tu ya kuapishwa...
Nawasalimu kwa Jina la Tanzania.
Nadhani nitakuwa Sahihi nikisema kuwa WATUMISHI Mtetezi wao ni VYAMA vyao vya WAFANYAKAZI ndivyo vinavyowasemea MADAI yao kwa SERIKALI kama Vile Mishahara na...
Ndugu wanabodi habari zenu!!
Niende moja kwa moja kwenye mada.Ndugu Zitto Kabwe amekuwa akimshambulia mara kwa mara marehemu Rais wetu mpendwa ,kwa maneno makali.Na maneno haya yamekuwa hayana...
Kufungua uchumi kama hakutahusisha watanzania kuruhusiwa kununua hisa masoko ya hisa makubwa duniani itakuwa kazi bure umaskini hautaisha
Watanzania waweza miliki makampuni makubwa duniani kama...