Zitto Kabwe ameunda Baraza kivuli la Mawaziri kwa kutumia sheria na kanuni ipi? Haya mambo siyo ya kuyachekea!

Baraza la mawaziri la JMT linaundwa kwa mujibu wa sheria na Rais wa JMT ndio mwenyekiti wake.

Sasa ACT wazalendo wameunda Baraza kivuli la mawaziri lenye jumla ya mawaziri 24.

Naomba kuuliza, Zitto Kabwe ametumia sheria gani kuunda hilo Baraza na mwenyekiti wake ni nani?

Maendeleo hayana vyama!
bro buku Saba huna za Lumumba .. mbn unahangaika na ya watu??!!!
 
Baraza la mawaziri la JMT linaundwa kwa mujibu wa sheria na Rais wa JMT ndio mwenyekiti wake.

Sasa ACT wazalendo wameunda Baraza kivuli la mawaziri lenye jumla ya mawaziri 24.

Naomba kuuliza, Zitto Kabwe ametumia sheria gani kuunda hilo Baraza na mwenyekiti wake ni nani?

Maendeleo hayana vyama!

4AB01E70-EC49-437A-BE21-9C1415553A9C.jpeg

92092D50-B84B-4A14-8893-8035EA4D66F7.jpeg
 
Baraza la mawaziri la JMT linaundwa kwa mujibu wa sheria na Rais wa JMT ndio mwenyekiti wake.

Sasa ACT wazalendo wameunda Baraza kivuli la mawaziri lenye jumla ya mawaziri 24.

Naomba kuuliza, Zitto Kabwe ametumia sheria gani kuunda hilo Baraza na mwenyekiti wake ni nani?

Maendeleo hayana vyama!
Kwani Sheria na katiba zinazuia vichaa kubeba makopo/makolokolo.....! Naomba tuanzie hapa kwanza.

Alichokifanya Zitto ni sawa na kichaa kutembea na makolokolo, kikubwa hadhuru watu wamwache na makolokolo yake siku yakimchosha au akili zikimrudia atayatupa mwenyewe bila shurti.
 
Baraza la mawaziri la JMT linaundwa kwa mujibu wa sheria na Rais wa JMT ndio mwenyekiti wake.

Sasa ACT wazalendo hslafu wameunda Baraza kivuli la mawaziri lenye jumla ya mawaziri 24.

Naomba kuuliza, Zitto Kabwe ametumia sheria gani kuunda hilo Baraza na mwenyekiti wake ni nani?

Maendeleo hayana vyama!
Baraza limesheheni wa imani moja; huyu jamaa ni mdini hatari.
 
Back
Top Bottom