Mtume Paul kuna wakati anawaandikia waraka Wagalatia alilazimika kutumia lugha nguvu, lugha ya hasira "Ni nani aliyewaroga".
Alishangaa kanisa la Galatia kuanza katika Roho na kumaliza katika...
Labda sina exposure ya kujua vingi au mengi. Lakini utimamu wangu wa akili unakataa kabisa.
Kwamba wahudhuriaji katika uwasilishaji wa ripoti ya mauaji wanashangilia na kupiga makofi!! Serious...
Mwendo hujaumaliza bali umeunajisi. Ni heri kufa kuliko kuishi kufanya ubatili kama uliousoma jana mbele ya MUNGU wa Mbinguni.
Heri kufa ukiwa na heshima yako kuliko kufa na aibu kama hii na hela...
Kwa mara ya kwanza tunaona kiongozi mkuu wa nchi akisimama hadharani na kuona idadi ya watanzania ambao amewatangaza kuwa wamekufa 518 na zaidi kwake anaona ni jambo la kawaida. Hashtuki...
Mange amesababisha vurugu watu wajinga wamepata madhara makubwa, ametukana watu na kuwadhalilisha Leo dhambi inamrudia.
tuwaheshimu watu bila kujar ni kiongozi au ni mtu yyte. Hatujaja Dunian...
Baadhi ya wajumbe walioshiriki katika kura za maoni za uteuzi wa Mgombea Ubunge Jimbo la Isimani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) wameibuka na malalamiko wakidai kutoridhishwa na mchakato...
Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga!
Samia yupo na tume ya mchongo!. Jana Daongote alikuwa anaongelea uwekezaji mkubwa wa kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga Tanzania...
Wakuu,
Huyu baba nlikuwa simpendi jamaniiiiii, bora wamekiondoa, kila kitu cha digitali kwake ni kama haramu, mbwa kabisa!!
YAH: UTEUZI NA KUPANGIWA KITUO BALOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Mtangazaji (Sky News): "Serikali haikuwa na wajibu [wa vifo vya waandamanaji]?"
Balozi Nyalandu: "Serikali haikuwa na wajibu wa vifo vya waandamanaji. Serikali ilikwenda kulinda kila mtu. Ilikuwa...
Ripoti mpya ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ya mwezi Aprili 2026 imeitaja Tanzania kuwa ya 3 kwa uchumi wake kupanda Afrika Mashariki
Kulingana na takwimu hizo, uchumi wa Tanzania...
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa msimamo wake wa awali kufuatia kupokea taarifa ya Tume ya Uchunguzi wa Mauaji ya Oktoba 2025 iliyowasilishwa leo kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kupitia taarifa kwa...
Binafsi nafikiri hiyo ndio sababu kubwa ingawa mtazamo wa wengi ni kuwa anakwepa watu kuichambua na kuonyesha mapungufu yaliyomo katika hiyo ripoti.
Inawzekana ICC wakaidai hiyo ripoti kabla ya...
Heche ameanza kuvuruga mambo maana Chadema ilishaanzaa kujenga imani kubwa sana kama chama ambacho hakinunuliki kama ilivyokuwa Wakati wa Mbowe.
Lakini kitendo cha kuanza kuwarudisha wasaliti...
Kutokubali kuwa raisa Samia anachukiwa na Wananchi sababu kubwa ni kuhusishwa na ufisadi na upendeleo huku yeye na familia ya Kikwete na wanaCCM mtandao ndio wanafaidi keki ya taifa.
Alafu kuja...
Umofia Wadau.
Nipo ndotoni ndugu zangu kiukweli, hivi watu wamekufa kiasi kile ila Viongozi hawajutii wala kusikitika wanachofanya ni kujipalilia waendelee "KULA"
Labda wale wa Rohoni mnipe...
Tume imeshauri kuwe na siku ya kumbukumbu ya muuaji ya halaiki ya Mo29 kila mwaka, ni jumbo zuri.
Rwanda kila tarehe 7 ya mwezi Aprili huadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya kimbari iliyotokea mwaka...
Iko hivi….
Kwa kawaida serikali nyingi duniani, hususan hizi za kwetu huku kwenye hizi jamhuri za ndizi, huwa hazitoi takwimu sahihi za wahanga wa majanga asili au majanga yasababishwayo na watu...
"Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndio zimefanya Tanzania iwe leo ilivyo. Vyenginevyo tungelikuwa tunazungumza hadithi nyingine. Lakini hapa mwenyekiti haimaanishi kuwa kwa wale...