Kila mmoja anajua figisu figisu kuhusiana na wabunge hawa 19 almaarufu kama wabunge wa covid 19.
Ni fedheha sana kuona jinsi sheria na kanuni zikipindishwa ili tu kuoneshana ubabe juu ya jambo...
Kwa ujumla hali za wafanyakazi na wastaafu kwa kipindi cha miaka 7 iliyopita ziliathirika sana kutokana na ukosefu wa nyongeza ya malipo hayo.
Baada ya tangazo la Rais Samia kuongeza mishahara...
Umofia kwenu..
Haya ni maneno ya Katibu Mkuu anaeshughulikia uwekezaji kama alivyonukuliwa na vyombo vya habari...
Uwekezaji ukishuka hadi kufikia dola za Marekani 600,700 tuu lakini kwa Mwaka...
Mh. Rais Samia kurasimisha kupanda bei hadharani kunahamasisha wafanya biashara kupandisha bei hata vitu visivyo hitaji kupandishwa gharama tena wanafanya hivyo kwa makusudi kabisa
Nikuombe mama...
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino
Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa...
Kama barabara hizi hazitatumika kusafirisha mazao, mifugo na bidhaa kwenda na kutoka zinakopita zitatumiwa na wananchi kusafirisha vyuma vya madaraja na alama za barabarani vya barabara hizo...
Leo nikawa nasikiliza Bunge, kwanza wakavuruga ratiba na kuweka session ya kumpongeza Rais Samia kupata tuzo kila mmoja akawa anampamba anavyoweza, kama ungekuwa humjui wanaemsifu haki ungejua...
Hii ndio Taarifa mpya kutoka BAVICHA, ambayo ni Taasisi Bora kabisa ya Vijana Barani Africa kwa sasa waliyoisambaza kwa vyombo vya Habari .
Ikumbukwe kwamba Jana Bavicha wakinywa kahawa na...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia Ackson amepiga marufuku Wabunge kufanya vituko kama kupiga magoti au sarakasi wakati wakichangia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge...
Kuna mambo yanashangaza na kutia sana hasira.
Mwenyekiti amekuwa akiliweka jina la Mpenzi wake anayeanzia kwa herufi J na kuishia kwa herufi M. Kila mara uchaguzi ukiisha zikitoka nafasi za viti...
Wanabodi,
Hivi karibuni, wana CHADEMA kadhaa wakiongozwa na mwenyekiti wao Freeman Mbowe, walifanya mazungumzo na Rais Samia Ikulu katika kuhakikisha kwamba kuna maridhiano kati ya serikali na...
Kwema jamani?
Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu?
Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast...
Hakika Hali ya MIGOGORO ya ARDHI kila Mkoa Wilaya na Vijiji ilikuwa Imepungua kwa kiasi Kikubwa Kutokana na Usimamizi wa Karibu wa WAZIRI HUSIKA.Toka kufanyika Mabadiriko ya UONGOZI ktk WIZARA ya...
Kutokana na taarifa za kuenea kwa ugonjwa unaosababishwa na #MonkeyPoxVirus, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa hadi sasa hakuna kisa kilichorekodiwa cha mgonjwa wa virusi hivyo...
Rais SSH na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania
Kwa mujibu wa utafiti wa Kitengo cha takwimu cha Taifa wa mwaka 2020, yaani NBS, takwimu za uhalifu nchini Tanzania zinaonyesha kuwa katika makosa ya...
Tarehe 31 October 2021, waziri wa Nishati, January Makamba akiwa Arusha alitangaza serikali kuanza kununua mafuta ya petroli na dizeli moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji wa nchi rafiki, kupitia...
Aprili 19 Ofisi ya Takwimu (NBS) walitoa data za kuonesha uingiaji watalii nchini ambayo kwa takwimu zilizopo ukilinganisha na mwaka 2021 utalii umeongezeka. Naweka Jedwali kwa mujibu wa press...
Chama pekee ambacho kimeitoa jasho system ya utawala Tanzania ni chadema. Hii ni kutokana kuwa na uongozi na taasisi ambazo haziyumbishi pamoja na kitengo makini cha ujasusi.
Vyama vingine vyote...
Taifa Digital Forum imefanya ufuatiliaji wa kina juu ya ongezeko la Bei ya Mafuta ya Nishati Nchini na kubaini kuwa katika kupindi cha Mwezi Machi 2022, bei ya mafuta ghafi katika soko la dunia...
Walionunuliwa Kwa vipande vya fedha Sasa hivi Kwa aibu wanajifanya maafisa vipenyo kwamba walikuwa upinzani Kwa KAZI maalumu; waache ushamba njaa ni njaa tu.
Tulitumia nguvu kuwataja lakini Sasa...