Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wakuu sijawahi andika hapa kwenye hili jukwaa la siasa ila leo acha ni andike kidogo tu. Mhe Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye raisi wetu ameonyesha muelekeo mzuri kwa kiasi kikubwa katika...
14 Reactions
130 Replies
5K Views
Mei 11,2022 CHADEMA imeandika historia ya kuwavua uanachama, Wanachama wao 19 ambao wengi ni waandamizi na wamewahi kuwa viongozi wakubwa katika chama hicho. Baadhi ya Makosa makubwa...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT.. Moja kwa moja kwenye mada.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia S.Hassan amedhihirisha Nia yake ya kufanya mageuzi makubwa kwenye sekta ya kilimo Nchini...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Ni collusion ya nguvu ambayo imeundwa na mtandao wa wanaCCM waliopo madarakani na wapinzani uchwara. Hii ni baada ya kuona hayati JPM aligundua mianya ya upigaji na akadhibiti ukusanyaji mapato...
15 Reactions
63 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema amekuwa akifanya mawasiliano na Ikulu sio mara moja wala mbili na hataki kuwa msiri kwa msababu anampango wa kukutana na Rais Ikulu tarehe 11 na 12...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Hivi kweli huyu Makamba ni wa kumpigia debe kwa kejeli namna hii? Eti inafikia hatua baadhi yenu mnadai sasa Msambaa kapewa zigo na amelifikisha hii ni kebehi kubwa. Mpaka sasa nishati ya umeme...
8 Reactions
60 Replies
4K Views
Leo nimemkumbuka tu huyu kijana mwenzetu wa Arusha Kabla Baada Unajifunza nini kupitia hizi picha? Mambo unadilika, tumuombee Mungu jumapili hii ampeke wepesi huko aliko
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Kufuatia mawasilisho ya watu mbalimbali kumhusu Mheshimiwa huyu, nililazimika kufuatilia kila hatua anayokanyaga katika jukumu lake katika Wizara nyeti anayohudumu. Pia, nilisubiri kwa hamu kubwa...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Mashahidi wawili wa upande wa mashtaka, wameieleza mahakama namna wanyamahai, wakiwamo twiga wanne, walivyosafirishwa kwenda Doha nchini Qatar kwa kutumia ndege ya jeshi. Mashahidi hao, akiwamo...
13 Reactions
136 Replies
18K Views
SIRI imefichuka, kwamba kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Mbeya, kinatajwa kuwa ni kuficha udanganyifu kwenye mkopo...
7 Reactions
112 Replies
17K Views
Hili lipo wazi japo CCM wamekuwa hawalisemi sana hadharani, lakini unaona marekebisho yanayofanyika na ndipo hapa ninapojivunia kuwa mtanzania, wote hatujakubali uhayawani wa yule mtu na...
4 Reactions
15 Replies
737 Views
Wakuu salaam, Baada ya kulazimishwa na JF kuwa napata "threads" kutoka Jukwaa la Siasa, hiki ndicho nilichoamua kufanya. Nimeamua nami nianze harakati za kiungia kwenye list ya movers and shakers...
0 Reactions
4 Replies
515 Views
Naibu waziri wa ajira na kazi bwana Patrobas Katambi amewataka vijana kujikita kwenye vita ya uchumi ili wajikwamue kimaisha kuliko kushinda mitandaoni wakipika majungu na kuchafuana. Katambi...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Hii ni aibu kubwa sana badala ya kudili na taifa letu kuwa na uzalishaji mwingi na wa uhakika ili umeme ushuke bei na sekta binafsi iweze kukua kwa uzalishaji kuongezeka. Waziri wa nishati...
15 Reactions
94 Replies
6K Views
Kamanda Mbowe amekuwa na hulka tofauti sana tangu aanze safari za ikulu. Anawapa makavu vijana wanaojifanya wana uchungu na chama chake. Je, nini kimembadilisha? Ni muda ndio utasema.
14 Reactions
87 Replies
7K Views
Ripoti za ndani kabisa zinaonyesha kuwa hakuna kampuni yoyote ile iliyopokea mkopo wa bil 46 ili iweze kujenga kiwanda cha saruji huko Lindi. Ripoti za ndani zinaonyesha wewe ukiwa waziri wa nje...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Taarifa ya mwenendo wa watalii waliongia nchini ni miongoni mwa taarifa za muda mfupi (high-frequency data) zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu kwa mujibu wa Sheria ya Takwimu SURA 351...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Na Mwandishi wetu, Mihambwe KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na uenezi, Shaka Hamdu Shaka amepongeza ujenzi kituo cha Afya cha Kitama na kuhaidi kuishauri Serikali...
1 Reactions
1 Replies
555 Views
Miaka ya nyuma sana nchi yetu ilikuwa na vitu vya thamani sana kama madini ambavyo vilikuwa vinapatikana kwa Urahisi sana bila kutumia nguvu sana kama ilivyo sasa. Inasemekana watu wa Mataifa ya...
1 Reactions
9 Replies
772 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…