Patrobas Katambi: Vijana pambaneni na vita ya uchumi na siyo majungu

Kana dharau siku hizi
Huyu alinunuliwa kama bidhaa asilete longolongo
FaceApp_1652952740443~2.jpg
 
Aiseee katambi anayejinasibu kuwa hana kitambi leo hii ni wa kudharau vijana wenzake kiasi hicho
 
Huyo ni Afisa, Sio mtu mdogo

Afisa Kipenyo huyo

Chadema alipenyezwa kama Spy tu

Mission alimaliza

Usifikirie ni mjinga kama wewe
Huna ujualo wewe ni kilaza tu. Na kumalizia mjinga ni mama yako kwani hapo ulipo humjui Baba yako halisi na yeye hamjui mimba yako ni zao la mikesha ya mwenge
 
Kama kuna kitu kimeishikilia hii nchi isisonge mbele ni kuwa na viongozi wasio na creativity, unaweza kumuuliza wewe ambaye anasema vijana wafanye kazi amesaidia job creation kwa percentage ngapi? Jibu ni hamna kitu.
(Kama haya maneno ametamka yeye, basi ajitafakari njia zake, akemee kiburi na majivuno vitamshusha)
 
Back
Top Bottom