Kweli hakuna mtu ajue kesho yake

Kweli hakuna mtu ajue kesho yake

big dreamer

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
401
Reaction score
1,091
Leo nimemkumbuka tu huyu kijana mwenzetu wa Arusha

Kabla
FB_IMG_1557581532675.jpg
Screenshot_20220605-105031_1.jpg
Screenshot_20220605-104222_1.jpg



Baada
Screenshot_20220605-104502_1.jpg
Screenshot_20220605-104338_1.jpg
Screenshot_20220605-104722_1.jpg
Screenshot_20220605-103826_1.jpg
Screenshot_20220605-104359_1.jpg
Screenshot_20220605-104413_1.jpg
Screenshot_20220605-104608_1.jpg
Screenshot_20220605-104244_1.jpg



Unajifunza nini kupitia hizi picha?
Mambo unadilika, tumuombee Mungu jumapili hii ampeke wepesi huko aliko
 
JamiiForums-786634611.jpg
 
Wanasemaga ili upate dhahabu nzuri lazima ipite kwenye moto mkali. Ole Sabaya ni kiongozi mkubwa nchi hii ajaye. Sasa hivi anakomazwa ili aje aisimamie nchi hii zaidi ya Jembe Magufuli!
 
Haya majambazi yaliyo haribu legacy ya JPM? Let them get their payment properly.
Hawa Sabaya, Makonda na mijibwa mingine imemuharibu nia njema ya yule Rais wa Tanzania.
 
Wanasemaga ili upate dhahabu nzuri lazima ipite kwenye moto mkali. Ole Sabaya ni kiongozi mkubwa nchi hii ajaye. Sasa hivi anakomazwa ili aje aisimamie nchi hii zaidi ya Jembe Magufuli!
Ah wapi dhahabu ipi hii takataka? Itaungua na kuwa majivu tu
 
Back
Top Bottom