Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimependezwa jana na hotuba ya Jana ya Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya 2022/2023. Bajeti inekaa vizuri sana. Nampongeza Mh Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha. Hakika serikali imeonesha nia ya kubana...
8 Reactions
70 Replies
4K Views
Mambo ni mengi muda ni mchache. Basi mliopo eneo la tukio mtujuze yanayojiri tafadhali Mungu ni mwema wakati wote
3 Reactions
113 Replies
11K Views
Nilikuwa nashangaa nilipokuwa naona watu wa CCM na Chadema kwa kutanguliza interest za chama chao badala ya interests za Taifa. Mfano CCM wanaweza ona madudu ya Serikali na kuamua kuilinda...
0 Reactions
2 Replies
563 Views
Spika Tulia ametoa angalizo kuwa utaratibu wa bunge Kupongezana ni kupiga Meza na siyo kupiga makofi au vigeregere. Hivyo Wakati wa uchangiaji wa hotuba ya Bajeti zipigwe Meza tu Chanzo: Star tv...
2 Reactions
5 Replies
851 Views
Kada wa CCM aliyevuliwa uanachama Mzee Baraka Shamte amemuomba radhi Rais wa SMZ Dr Mwinyi kwa kumvunjia heshima Aidha Shamte ameiomba msamaha CCM akidai hili ni kosa lake la kwanza Mzee Baraka...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
Hii nchi ilipofikia nafikiri kilichobaki ni watu waamue kujitoa akili tu utaratibu uvurugike mazima hata nusu mwaka hivi then kitakachofuata baada ya hapo tutakaa kamati ya maridhiano maana dunia...
89 Reactions
123 Replies
8K Views
Mnamo 3/ 5/ 20 RAIS John Magufuli alitengua uteuzi wa Mkuu wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Laurean Rugambwa Bwanakunu, na badala yake kumteua Brig. Jen Dkt. Gabriel Sauli Mhidize kuchukua nafasi...
3 Reactions
65 Replies
10K Views
Naamini katika uafrika wangu, naamini katika tamaduni zangu, najivunia kuwa muafrika. Ninachukia ubeberu na ukoloni mamboleo. Nasikitika kuwa sisi wapinzani wa ubepari huwa hatueleweki kwa...
3 Reactions
214 Replies
27K Views
Askari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu kwenye Tarafa ya Loliondo. Taarifa hiyo imetolewa na...
7 Reactions
212 Replies
17K Views
Wakuu, Kwa heshima kubwa nachukua nafasi hii kuwashukuru wengi waliotupongeza kwa mchango wetu kutambuliwa na Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango mnamo jana, Juni 14, 2022 wakati Bajeti...
34 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wana JF , Serikali ya awamu sita imeonyesha dhamira njema katika kuleta maendeleo katika nchi yetu . Hicho inakusanya kodi kwa nguvu zote na imeongeza kodi na Tozo Mbali mbali ,yote hiyo...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Fuatilia siasa za nchi mbalimbali Duniani, RAIS wa nchi anapokuwa katika miaka ya uongozi ambayo siyo ya uchaguzi uwezi kusikia kusifu na kumwabudu Kama ilivyo Tanzania Hali inayoendelea nchini...
15 Reactions
43 Replies
3K Views
Baraka Shamte ni mwanasiasa nguli visiwani Zanzibar ambae pia ni mtoto wa Waziri mkuu wa Kwanza wa Zanzibar, Mohammed Shamte amesema Rais wa sasa wa visiwa hivyo, Hussein Mwinyi hatoshi kuendelea...
16 Reactions
67 Replies
7K Views
Vitali Maembe ‘Mswahili flani' Anuani: ‘Muziki flani' Pangani, Dar, Bagamoyo, Afrika. 27/01/2015 Mpendwa Rais wangu! Ndugu, Dokta, Jakaya Mrisho Kikwete. Natumaini utakuwa mpo...
8 Reactions
23 Replies
8K Views
Kila mwaka bajeti inaongezeka, nina wasiwasi inaongezeka namba tu lakini kwenye utekelezaji ni tuko palepale. Kwa kawaida ni kiasi gani cha bajeti hutekelezwa?
4 Reactions
10 Replies
783 Views
Habari ndiyo hiyo, watu wetu wanafukuzwa kwenye Ardhi yao kumpisha Mwarabu awinde, Habari kamili chini hapo. --- Ten Maasai leaders were detained and more than 30 people wounded during violent...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika Hotuba yake ya Bajeti, Mhe. Waziri amesema anashauri Interviews zifanyike kwa Kiswahili. Kuna uhusiano gani kati ya Interviews kufanyika na Wizara ya Fedha. Hakuna Wizara nyingine...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukifuatilia mitandaoni na kwenye vyombo mbali mbali vya habari utaona watu/waandishi wa habari wengi (wenye weredi mdogo wa uchambuzi wa masuala ya bajeti) wakiandika na kusifia yale mema tu...
2 Reactions
4 Replies
700 Views
Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndo habari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake. -------- Wawekezaji hao...
18 Reactions
199 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…