Tusipozinduka sasa, tutakuja kuamka na kukuta majirani wako dunia nyingine, Pamoja na hali ya siasa za ndani Uganda kuwa ni za kidikteta, Lakini taifa hilo linazidi kupiga hatua kubwa, Kupitia...
Ni lini Samia awapo Tanzania Ikulu haikuwa hewani? Nikumbushwe huenda nimesahau.
Hakika sikumbuki.
Tangu awe Rais kwa bahati mbaya dada huyo kila uchwao awapo Tanzania ni lazima Ikulu iwe...
Nimewaza hapa na kujiuliza , je, ningekuwa kiongozi ningetatua vipi kadhia za Bandari ya Dar es Salaam na Bandari zingine kwa manufaa ya taifa?
Suluhisho nambari moja ni kuunda wizara maalumu...
Tunaongozwa na psychopath, unahamisha raia 150 000 (laki moja na nusu) kwa nguvu kupisha uwindaji wa Otterlo Business Corporation OBC Emirat?
Mji wa Moshi wote una wakazi laki mbili fikiria...
Baada ya taarifa za kuwepo harakati za muungano wa Tanzania na Burundi. Ni wakati Sasa jambo hili lipewe nafasi na lifanyike Kwa haraka.
Jamii ya warundi ni tiifu Kwa Tanzania na miaka yote...
Ukipewa madaraka tegemea siku inakuja utatenguliwa, Ukifurahia picha ya pamoja pale ikulu ukiwa na familia yako pembeni ya Rais jua kuna siku hao hao watakuliwaza jioni baada ya barua yako...
Kwenye hotel ya Golden Tulip mjini Zanzibar kuna hafla kubwa ya kusherekea mwaka mmoja wa nafasi ya urais wa Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi.
Hafla hii imejumuisha viongozi wakuu wa kitaifa...
Watu huko nje bandari zinaendeshwa kwa kasi kubwa na biashara zinakuwa kwa kasi kubwa, kupitia bandari zetu sisi bado tuna suasua wawekezaji wanakuja ni kuzungushwa mwanzo mwisho nasema bandari...
AMOS MAKALLA – RC DAR ES SALAAM
Mh. Rais SGR itategemea sana bandari. Nikushukuru sana kwa kutoa fedha bilioni 210 za kuboresha Bandari.
- Bandari zimeboreka, mizigo kibao
Fedha zile ulizozitoa...
Kwa nchi yetu kupuuza elimu inayohusiana na mambo ya kilimo lilikuwa kosa kubwa sana lisilosameheka.
Mikoa yote ya Tanzania ukiondoa dar salam msingi wao mkuu wa uchumi na ajira ni kilimo Kwa...
Wakuu natanguliza salamu, baada ya salamu hizi naingia moja kwa moja kwenye mada.
Tulishasema humu mara kadhaa na labda turudie tena kwa wale ambao hawakuelewa , CCM BILA POLISI NI WEPESI KULIKO...
Niombe mwenye CV ya Mkurugenzi Mpya wa TPA lakini pia tupate experience yake pamoja na Miradi au ofisi alizowahi kuhudumu na mafanikio au mabadiliko aliyosababisha katika ofisi hizo.
Tumekuwa na...
Nazani wengi tuna mkumbuka huyu Mdada Sylivia wa Safaricom Kenya jinsi alivyo fanyiwa figusi za hatari na watu sijui Uhamiaji ili kumfurahisha Jiwe ili tu asipate kibali cha kazi Tanzania alikuwa...
Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) limesikitishwa kuendelea kushikiliwa kwa Mratibu wa Uhamasishaji Bavicha Taifa Ndugu Twaha Mwaipaya na Jeshi la Polisi. Twaha Mwaipaya alikamatwa Juni 30, 2022...
Serikali imeunda kamati maalum inayoongonzwa na Prof. Penina Mlama kwa ajili ya kuweka utaratibu wa kutambua na utoaji tuzo kwa waandishi mahiri wa riwaya nchini kuanzia mwaka huu wa fedha...
Wana Jf
Tulizoea vijana wengi wakata insurance kusheheni mjini kwa violist vingi vya ujanja ujanja huku wakiwapiga wateja. Vijana na wajanja wa mjini walikuwa wanachukua fedha nyingi za wateja...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa leo tarehe 13 / 08/2021 amekagua ujenzi wa Ikulu ya jijini Dodoma ambao mpaka sasa umefikia hatua ya finishing.
Waziri mkuu amerishishwa na maendeleo...
KENANI KIHONGOSI AWASIHI VIJANA KUMUUNA MKONO MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
UVCCM HQ
JULAI 03, 2022
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Ndugu Kenani Kihongosi amewataka Vijana kumuunga mkono...
Leo nimemkumbuka sana ndugu yangu na rafiki yangu Ndugu Othman Masoud Othman aliyekuwa Mwanasheria mkuu wa Zanzibar kabla ya uteuzi wake kutenguliwa kwa kuwa tu aliipigia kura ya hapana katiba...